Search results

  1. RAKI BIG

    Uchaguzi 2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

    hahaha maisha yanakwenda kas sana mpaka mabaamedi watakogombea safari hii
  2. RAKI BIG

    Matatizo ya kushindwa kupumua yanaua watu kimyakimya

    mkuu limonia inasumbua sana msimu huu wa baridi hasa wazee wanaopenda kuanika vidari vyao nje kwenye kucheza draft na kwenye kahawa
  3. RAKI BIG

    Uchaguzi 2020 Wasanii wanaogombea Ubunge 2020

    1.HARMONIZE Rajab Abdul ‘Harmonize' - Tandahimba Mkoani Mtwara kwa Tiketi ya CCM 2.SHILOLE Zuwena Mohammed 'Shilole' - Igunga Kwa Tiketi Ya CCM 3.STEVE NYERERE Steven Mengele ‘Steve Nyerere - Jimbo la Iringa Mjini kwa Tiketi ya CCM 4.KINGWENDU Rashid Mwinshehe ‘Kingwendu, - Pwani Kisarawe kwa...
  4. RAKI BIG

    Ambao hatukujaliwa mpaka sasa

    mkuu mimi naona ndo naanza alifu kwa ujiti sina hata mpango mmoja ulio tiki zaid ya kununua mashuka getto mambo hayaendi kabisa yan kudadeki
  5. RAKI BIG

    UPDATE: Zitto, Bwege na wenzake wasafirishwa usiku kutoka Kilwa hadi Lindi. Waachiwa kwa dhamana

    huyu bwege anaweza akafa jmn kwa presha hizi harakat amuachie zitto beberu
  6. RAKI BIG

    Hawa ndio wasomaji makala wenye sauti ya mvuto Tanzania

    poul james aka PJ unamuacha wapi mkuu
  7. RAKI BIG

    Mbowe utakizika chama

    :cool::cool::cool:
  8. RAKI BIG

    Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    safi kabisa ni ujinga kuwa na bunge la vilaza kichwana kwakwe unakuta hana article yoyote ambayo aliwa soma zaid ya mesej za kuchambana insta
  9. RAKI BIG

    Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    hawezi .kuwa na wabunge ambao hawajanda shule si tatizo kubwa sana
  10. RAKI BIG

    Ubunge sio the Comedy; Kwako Steve Nyerere

    kwakwel labda tukapime DNA yake ndo tutajua
Back
Top Bottom