Search results

  1. N

    Natafuta Fly Ash Class F

    Kwenye Jamii yetu linaonekana Jambo la Fly Ash ni Geni Kabisa....Hakuna anaeshiriki hata Mawazo tu.....
  2. N

    Natafuta Fly Ash Class F

    Ndugu yangu NATAFUTA mwenye Uwezo wa Kupata Fly Ash kwa Ajili ya Ujenzi. Nahitaji Kiasi cha Tone 40,000 Kwa Yeyote ambae anayo naomba Tuwasiliane kwa Namba hii 0715-011022
  3. N

    Shamba hekari 28 linauzwa Vigwaza Kibaha

    Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13 SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro. SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha. Linafaa kwa Viwanda au Shule na Uwekezaji Mkubwa zaidi kulingana na Mhitaji. UNAKARIBISHWA MHITAJI...
  4. N

    Akina mama ndio chanzo Cha laana kwa watoto! Wanapandikiza chuki watoto wawachukie baba zao !

    Unatoa ushuhuda wako wakati Baba keshafariki,sasa shuhudia laana yako,Komaa nayoo sasa ....
  5. N

    DOKEZO Kuhani Musa Richard Mwacha ashitakiwe kwa kuwadhalilisha watoto wadogo

    Wanakwenda pale Wagonjwa wanazuiwa kunywa Dawa kisa Eti anawaombea....Wakizidiwa akaona hali mbaya anapeleka pale Hospital ya Boch,Bahati mbaya wakifa wanakuwa hawajulikani wakifuatwa pale kanisani wanakana kutomjua Marehemu.....Upo umuhimu kumtazama huyu jamaa aiza yeye au kuna Watendaji wake...
  6. N

    Natoa msaada na ushauri wa masuala ya kodi na bure

    Mkuu mi ni mmojawapo wa wale wenye uhitaji mkubwa, sa hapa mtihani unakuja sijui kuingia PM. ......msaada Mkuu. .....!!!
  7. N

    Nyumba yangu haina umeme mwezi sasa, naombeni namba ya meneja TANESCO Morogoro

    0769-222997 ANAITWA JONSON MWIGUNE ni kati ya viongozi wazuri wenye kujituma vijana walio Ndani ya Tanesco, Jaribu kumtafuta kisha utatujulisha kupitia jukwaa hili yale utakayo kutana nayo kwake, Naamini hutajuta kuonana na Manager huyo
  8. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Dawa za kienyeji.......!!!
  9. N

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    Naomba msaada juu ya Dawa za kienyeji ambazo zinapunguza unene na KITAMBI, Je hazina mazara kwa sasa au baadae....??
  10. N

    Wafanyakazi kampuni ya malori ya AAA iliyomuua dereva wake wagawana mali njiani

    Bado mmoja yupo Chang'ombe Anaitwa Feythari anamiliki Campuny inaitwa Edha Awadhi....tabia yake ni hivyo hivyo kupiga kufunga Madereva,ila ukweli naamin ipo cku zamu yake itafika endapo hatajifunza juu ya hili la huyu mdosi....!!
  11. N

    Alama ya Apple, hii ina maana gani?

    Wenye hekima WACHACHE kuongoza wengi.....!!
  12. N

    Alama ya Apple, hii ina maana gani?

    Maana yake hicho kipande kidogo ni WENYE HEKIMA
  13. N

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    Maswari mazuri sana,ila sasa wa kujibu hayupo...ila ni Maswari yenye kuhitaji kujibiwa na Lowasa....!!
  14. N

    TANESCO wanamhujumu Magufuli na Silaa

    Mtoa mada umekurupuka....hujui hal halis ya huo umeme unaozungumzia,fanya Research kwanza kabla ya kulaumu Tanesco.....Kabla ya kutoa mada uwe unajirizisha kwanza mwenyewe kisha late huku jukwaani.....Asante
  15. N

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Kati ya EL na DR ni yupi mwenye ushawishi mkubwa kulinda,kuheshimu,kujitoa kulinda Chama.....?? Yupi kati ya EL na DR anaweza kushawishi wanachama kupiga kula na wakapiga....CHADEMA KWISHAAAAAA KABISA....!!mchaga na pesa.....hawafai,MBOWE KAUZA CHAMA....DUUUUH.....!!
  16. N

    Dr. Slaa tulia tu ila historia iko kwa upande wako!

    Mchezo mchafu sana kachezewa huyu mzee,kukaa kimya pia ni dawa.....!! Dr kaa kimya wafuasi wako wenye utimilivu wa kutosha kupambanua mambo wanafahamu ni nin kinaendelea zidi yako.....!!umuhimu wako hawawezi kuuona leo,subili muda waja kutambua umuhimu wako,ila kwa sasa kaa kimya angalia tu...
  17. N

    Leo ndio umeonekana umuhimu wa JamiiForums

    Duuuuh kuna ukweli hapo...
  18. N

    Dawa na matibabu kwa kutumia mawe

    Mawe haya kwa Dar yanapatikana kwa sehemu gan zaidi...!!
Back
Top Bottom