Search results

  1. M

    Dr. Slaa amkosoa Rais Kikwete kuhusu Rwanda

    Dr Slaa namheshimu sana, ila hii tabia ya kukosoa kila jambo sikubaliani nayo. Wakati tafakari, unashusha hadhi tuliyokupa watanzania wengi.. Wewe ni raisi wa wengi nchi hii. Kikwete was right.
  2. M

    Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Umeshasema maswala ya kisheria, sio biological!!!!.. Biologically huyu mzee ana feelings ambazo wengi wetu tunajikita kufikiria tu uhalali wa kisheria tu kiasi kwamba hatuoni mzigo alio nao moyoni huyu mzee. Nasema hv kwa sababu inalekea wazi huyu nyaga ndo mkosaji. Baba anamuonya kuhusu...
  3. M

    Jengo la ghorofa zaidi ya 12 laanguka jijini Dar

    Wewe unaongea kama mtu mwenye upungufu wa akili... Hv hiyo DIT imekuwa university lini mpaka iwe na ma-engineer unaowasifia. Engeneers wote wanaoheshimika atleast sasa hv wengi wametoka UDSM. Sio ujione wewe na ka degree kako ambako c ajabu hata hujafanya kazi yoyote ujione basi waliotangulia na...
  4. M

    Mazishi ya Advocate Nyaga Mawalla utata mtupu

    Hakuna kitu kinaitwa Ghost la Marehemu, Hv tutaishi Dunia hii kwa Woga mpaka Lini. Mtu akifa habari zake zimepotea, wamzike waache kumzika, hakuna anapoenda na wala hakukuna kitakachotokea kutokana na Marehemu. Sayansi inafundisha hvo hata vitabu vya dini ( I mean Biblia here) vinafundisha hili...
  5. M

    Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Una agenda yako ya Siri, Magufuli jembe japo hajastahili kuwa Rais. Au na wewe (Jamaa yako) ni mmoja wa waliokuwa wameregister magari ya umma kwa jina binafsi.
  6. M

    Elections 2010 Mheshimiwa John Pombe Magufuli awe Rais wetu

    Hv wewe nani kakudanganya CCM wanaweza kuwa madarakani 2015 mpaka udiriki kusema Slaa hata akihamia CCM hawezi kuwa Rais. CCM imeshakufa. Kwa upande wa Magufuli ni mtendaji mzuri, sitaki kumbeza kazi anayofanya wote tumeiona, ila kwa nafasi ya Urais bado sana. Jamaa ni mtendaji mzuri ila sioni...
  7. M

    Tamko la Jumuiya za Kiislam kuhusu mauaji ya Viongozi wa Dini na uchochezi wa Vyombo vya Habari

    Huoni hata aibu...... nadhani mungu wenu ni mungu anayewataka kuwa wagomvi tu muda wote. HV na wakristo wakianza kudefine kila kinachotokea kwa mtazamo wa kidini si tutapigana mapanga....
  8. M

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    Mimi c mchangiaji wa mada katika jamvi japo ni msomaji mada kila mara, lakini hii mada ya huyu mzanzibar imenikera sana.. Ckutaraji kama nchi hii ina watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama huyu bwana. Yaani matukio ya kutisha yanayoendelea Zanzibar anaona tu ni chuki dhidi ya uislam. Swali...
  9. M

    Kagera: Tunahitaji bendera Mpya za CHADEMA na pia ziwe nyingi

    Jamani Chairman Mbowe, fanya haraka kuiamsha Ngara pia. Niko Dar lakini kwetu Ngara cjackia hamasa kama ya maeneo mengine ya kanda ya. Ziwa. Hilo pia ni jimbo la Chadema, tunahitaji kuwahamasisha tu
  10. M

    Mtei kasema UKWELI ULIOSHINDWA KUTAMKIKA, tuache unafiki!

    Hilo liko wazi sana Tanzania bara wakristo wengi kuliko waislam, pili ndo walienda shule mapema wakati waislam waking'ang'ania madrasa. Naitamani Tanganyika yangu jamani, hawa jamaa wanaolazimisha muungano wanatunyima haki zetu.
  11. M

    Naanza kumkubali/kumpenda JK

    Pamoja na mambo haya kunivutia na kumwongezea credit mheshimiwa Rais. Bado nayaona mapungfu mengi sana katika serikali yake. Mimi nakerwa sana naposikia habari za udini katika uteuzi wa nyadhifa mbalimbali kubwa, pia taasisi nyingine. Kama ni kweli Rais anailea tabia hii tutakuwa na Tanzania ya...
  12. M

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    Nalia na mkombozi wangu chadema, mbona mnajichanganya sana. Hatukuona makubaliano ya maana baada ya kikao na jk alafu mnatuambia amekiuka kusaini. Si kweli, jipangeni vizuri na mpunguze kukurupuka. Hizi thread ni za wanachadema na watu waliochoshwa na ccm. Tafadhali msivuruge wapiga kura...
  13. M

    Natafuta mchumba wa kihangaza

    nilidhani sunshow anataka kukkusaidia maaba alitangaza abataka mchumba pia;; mzee ukagowez, ulidhani maisha ni shule tu; nina dada wengi wa nyumban ntakusaidia
  14. M

    CUF wazidi kuiandama CHADEMA

    Hata kama hamtaki. Tanganyika ni tanganyika na lazima tusemee maslahi yetu. Ccm b wasitufunike midomo
  15. M

    Hivi kujiita Mtanganyika ni kosa?

    Kama wazanzibar waniatwa hivo na wanakubakubali,sioni shida mtu kuitwa mtanganyika. Mi najivunia asili yangu
  16. M

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Watanzania wengi wetu ni wepesi sana kusahau mabaya ya mtu. Lowasa hana jipya ni mwanasiasa mzoefu alyepikwa chungu kimoja na Rostam wakaiva vizuri katika mbinu za siasa ziwe za maneno hadaa au hata chafu sana. Anatumia fursa ya mgongano ndani ya CCM kujifanya ana uchungu na nchi na watu wake na...
Back
Top Bottom