Search results

  1. M

    Habari na Picha: Kinana alipokutana uso kwa uso na Mh. Shibuda jukwaani Meatu

    Du kinana yupo meatu? Nawahurumia tembo wa makao na maswa game reserve
  2. M

    live: Mkutano wa CHADEMA mkoa wa Shinyanga

    sijawahi kuhudhuria mkutano wowote wa kisiasa leo nimeshawishiwa na rafiki yangu hapa shy. Mbowe kaomba ridhaa kwa wananchi red brigade wafundishwe ukakamavu au la. Wote walioudhuria wamenyoosha mikono juu wakimaanisha wafundishwe. pia amelaumu vyombo vya dola kutenda unyama dhidi ya wananchi...
  3. M

    Maandamano (DEMOSTRATION)

    Maandamano mazuri ni ya usiku. mchana fanyeni kazi usiku mnalikita. ushauri tu.
  4. M

    Rished Bade kumsaidia Kitillya TRA

    Umekosea sana ninavyo ijua mimi TRA kitilya Huwa haingilii kabisa mchakato wa kuajiri. wala hua hajuii ni akinanani wameajiriwa. Kuna rafiki yangu ameajiriwa bila mizengwe yeyote. TRA wako fair sana kwenye mchakato waoo wa ajira pia maswala yote hadi interviews huwa wana outsource wenyewe...
  5. M

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Aibu haishi mpaka ujisafishe kwa mema
  6. M

    Siri nje kujisalimisha kwa anayedaiwa kumteka Dr. Ulimboka

    Hakuna kitu kama hicho kwa maoni yangu siamini kwa sababu zifuatazo 1. Mkenya afike nchini na kujua msitu wa pande kuwa kunafaa kutupa mtuyaani maficho ya mauaji. 2. Afike tu na kujua kanisa la kawe? kwa nini ameacha mengine mengi ya kilokole hapo kati kwa nini kwa huyo mchungaji? naye huyo...
  7. M

    If you have done your very best and you have failed, why don't you resign?

    leo bungeni kwenye maswali ya papo kwa papo, mh tundu lisu alimuuliza waziri mkuu kuwa aliahidi kuwa watashughilikia matatizo la madaktari na mgomo hautotokea tena. Sasa kwa nini umetokea ameshindwa kazi kwanini ajiuzulu?. Waziri mkuu akasema amejitahidi sana kwa uwezo wake wote lakini bado...
  8. M

    Tupia hapa: Jina la utani la mwalimu wako ulipokuwa xuli

    Fuvu - huyu alikuwa mwembamba alafu bonge la kichwa
  9. M

    UHURU: CHADEMA yapasuka

    Hili gazeti nadhani zaidi ya kuwa la ccm pia mhariri ni nape akisaidiana na gamba mwenzie mkama. So watanzania maposoma akili kichwani mwenu
  10. M

    Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    Hapa sio jangani mbona magorofa hayaonekani hii ni picha ya muda mrefu sana kabla ya vuguvugu la ukombozi kushika kasi labda ni kabla hata ya 2005.
  11. M

    Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    Cdm wanatisha magamba hawataki tu kukubali kwa kinywa ila moyoni washaona hali yao kiutawala ifikapo 2015 kuwa mashakani. Keep up cdm. Tupo pamoja daima. Pia pole kwa wana cdm wote kwa kuondokewa na mwenyekiti mstaafu. Mungu amlaze mahala pema peponi amina
  12. M

    Maandamano, mkutano wa CCM/Nape Njombe

    hapo Nape unasemaje huuoni unakufa na ng'ombe kama kupe jibu hili. NAOMBA NICHUKUE NAFASI HII KUMSHAURI NAPE KWA NIA NJEMA KABISA "NAOMBA NAPE UUNGANE NA VIJANA WENZIO KATIKA HILI VUGUVUGU LA MABADILIKO ACHANA NA CCM HAKITA KUFIKISHA POPOTE KISIASA ZAIDI YA KUKUPOTEZEA UMAARUFU. WEWE NAPE NAJUA...
  13. M

    Tiba ya kipara

    teh teh hiyo kali
  14. M

    Malipo TRA

    TRA Hakuna Allowances zozote zaidi ya mishahara tena haikidhi sikuizi inatofauti kidogo sana na ya watumishi wa kawaida wa serikali. watumishi wengi vijana hukimbilia taasisi zingine kutafuta ajira baada ya kupata uzoefu. Huo ndiyo ukweli wa mambo pia wamedhibitiwa sana hata rushwa hakuna siku hizi.
  15. M

    Tupia lako ulilosoma kwenye gari...

    nyuki hakumbatiwi unga robo usicheze mbali
  16. M

    Ni kweli wananchi wa kipato cha chini ndiyo wanao chagua ccm?

    wana jamvi naomba tujadili hili kwa kina. Jana nlikuwa nikizungumza na jamaa ambaye sikumfahamu kwenye baa fulani. Wakati tunaangalia kampeni ya ccm iliyokuwa inarushwa na itv yule jamaa akasema masikini(watu wa kipato cha chini) ndiyo mashabiki na wanaoipigia ccm kura. Akaendelea kusema pamoja...
Back
Top Bottom