Search results

  1. 1 to 10

    WAJUZI WA SHERIA: Mgao wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Huyo baba alienda kwa huyo mama wa pili na mtaji alioupata kutoka kwa mama wa kwanza ndio ikaanzishwa hiyo investment kwahiyo mi naona wagawane kama watoto na sio kama wawekezaji, Wangekuwa wawekezaji ndio wangesema wafuate percentage Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
  2. 1 to 10

    Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

    Wakopaji wengi huanza kulalamika baada ua kutatua changamoto zilizokuwa zinakabili mkumbuke hiyo ni kama biashara zinginge na mbaya zaidi hii hiashara i atolewa macho na wengi Kimahesabu iko hivi 24,000,000 -10,000,000=14,000,000faida ikijumlishwa na garama za bima na uendeshaji wa biashara...
  3. 1 to 10

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Si tugawiane haya internet kabla hawajayakata Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
  4. 1 to 10

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Tupeane code tuteleze kitonga maana kuna siku itakuja kufugwa Sent from my SM-T225N using JamiiForums mobile app
  5. 1 to 10

    ‘Siwezi kulea mama mwingine, wakati wa kwangu nilishazika’. Kauli ya mke wa Jamaa!

    Cha kufanya Ni kwamba lazima anue tu kuwa Mama mzazi Ni mhimu kuliko huyo mwanamke kwa kuwa Kama hawezi kuwa na upendo na Mama yangu Ni kwamba ananipenda mm kweli? Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  6. 1 to 10

    Naombeni ushauri, nasumbuliwa na changamoto ya kukosa kujiamini

    Hela unazo? Isije kuwa hauna hela we unasema huna konfidensi Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  7. 1 to 10

    This is the next gift to my baby

    Kama una wazazi au ndugu wanategemea msaada toka kwako uwafanyie pia hasa kwenye mahitaji muhimu kwao hasa kipindi hiki Cha kuelekea mwisho na mwanzo wa mwaka ujizolee mibaraka kuanzia mwaka Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  8. 1 to 10

    Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

    Hamnaga kitu nyie mnaanza kusingizia tatooo mtoto amejileta na anajitambua kabisa huyo we unalala na usingizu unakuja kabisa huku tako la mtoto linakugusa kabisa Nasema hivi hamnaga kitu nyie masela kwenye Yale mambo yetu nyie hata nyeto inaonekana hamjapiga kwa style yenu mnaonekana Sent...
  9. 1 to 10

    Leo nimepatikana, ogopa vitu vyepesi

    Jichunguze kwa umakini uanaume wako aise, unaonekana we sio mlumendago, watu wanagonga mpaka wenye ngoma na maisha yanaendelea we umefail kisa tattoo Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  10. 1 to 10

    Nina wasiwasi na mke wangu...

    Akifika mwambie hivi safari yako niliamua kuifuatilia kwa ukaribu Sana kupitia simu yako hebu nielezekeze ulivyotembea nilinganishe na nilichofuatilia kupitia simu inavyoonyesha ulikopita na ulikokuwa
  11. 1 to 10

    Loan processing fee

    Wengine mnachanganywa tu mikopo yote karibu riba ziko sawa mkiambiwa % ndogo mnakimbilia mnasahau Kato lako moja la Kila mwezo liko na hiyo %, bima, processing fee, na principle. Wanachofanya Ni kupunguza huku na kuongeza huku ni kukuchanyanyia habari
  12. 1 to 10

    Usinunue simu za zamani zenye umri zaidi ya miaka 4

    Ni rahisi kwenye hili yaani sisi wa huku manzese midizini tuanzie wapi tuelekezeni wajuvi wa hizi mambo Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  13. 1 to 10

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Inaenda na line gani na setting zake unaziwekaje? Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  14. 1 to 10

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hebu niambukeni na mm hiyo vpn Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  15. 1 to 10

    Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

    Mtumie msg kuwa hela yako ingeweza kukuua umejifunza kitu kutoka kwake hivyo unamuomba msamaha kwa yaliyotokea kuqnzia leo hautamdai hiyo hela tena na Wala hauna chuki na yeye tuendelee na maisha ya kawaida tu ya Kila siku as if hakunaga kitu kibaya kilitokea then jione wewe ndo mshindi was Hilo...
  16. 1 to 10

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    We jamaa una roho mbaya maana aio mbaya Tena maana ukaona upeleke kizibiti nyumbani uwarahisishia mapongo ushahidi Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  17. 1 to 10

    Natamani kubeba mimba niwe mwanaume wa kwanza Afrika

    Hakunaga mwanaume mwenye mawazo Kama ya huyu chocolate Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  18. 1 to 10

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Kunja sura kunjua roho Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  19. 1 to 10

    Mwanamke akiondoka mwenyewe nyumbani akaenda kwao unatakiwa ufanyaje?

    Wajulishe ndugu zake na waambie kuwa Nia ya kuwajulisha hauhitaji usumbufu wa baadae Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
  20. 1 to 10

    Wife kaninunia kisa hiki

    Yanii mwanamke anakupangia mpaka kinyoa mavuzi? Mnajua kupenda aise Kwanza Mimi nilijifundisha kujitegemea tokea mdogo nafanya usafi wangu mwenyewe na sihitaji msaada wa mke Sent from my MI PLAY using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom