Search results

  1. ndevu mzazi

    Wadaiwa sugu benki ya CRDB wataka Dr. Kimei asijiuzulu

    Mambo yenu ya kujaribu vitu ndio mkatuletea huyu namba 1
  2. ndevu mzazi

    IKULU: Balozi Mteule Dkt. Wilbroad Slaa akutana na Rais Magufuli na kufanya naye mazungumzo

    the good thing is people who are more interested na habari za DR. Slaa na Profesa Lipumba ni ccm.Have a nice day bandugu
  3. ndevu mzazi

    CCM mnapiga kampeni za nini? Mnashindana na nani?

    umeandika ya msingi sana ila hata waliojitoa walitoa sababu za msingi sana na mamlaka zilizotuhumiwa hazikujibu na zilikaa kimya
  4. ndevu mzazi

    Rugemalira aibua mapya, anataka kumtaja mwizi wa fedha za Escrow

    hizi sentensi zitafakarini kwa kina vijana msikimbilie tu eti anataka kumtaja jk,mie binafsi naona huyu anataka kuiumbua serikali,tuombe uhai
  5. ndevu mzazi

    Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    kwa chadema ili uwe mbunge wa viti maalum yakupasa uwe umekipigania chama na elimu yako iwe at least shahada moja,mngekuwa mnalijua hili msingeendelea kujadili upuuzi wenu
  6. ndevu mzazi

    Upendo Furaha Peneza: Gold in the rough. Vijana CHADEMA mpo?

    Ili uwe mbunge wa bunge la jamhuri ya tanzania yakupaswa ujue kusoma na kuandika,nyie mnaojadili elimu ya upendo mlipaswa kusisitiza kuhusu mabadiliko ya kipengele hiki kwenye katiba kama mnahitaji viongozi bora
  7. ndevu mzazi

    Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

    mbona yeye mwenyewe kaporwa mamlaka yake huyu,atuachie kelele zake.katika watu ambao heshima yao imepporomoka wa kwanza ni huyu
  8. ndevu mzazi

    Patrobas ni pengo kubwa CHADEMA

    nadhani unapaswa kufurahia mmepata jembe,litumieni au sio?
  9. ndevu mzazi

    Naunga mkono Uwanja wa Ndege wa Chato. Una justification, utakuwa kama Ggabolite au Yamoussoukro. Watalii watamiminika!

    vijana hampendi kusoma na kuelewa ndio mana mnacomment kitotot hivi
  10. ndevu mzazi

    World Bank lowers Tanzania growth forecast to 6.6pc

    kwanini usiongelee strategy mbovu za watawala wenu kuhusu uchumi?
  11. ndevu mzazi

    Nyalandu: Sikupata barua yoyote ya kunifukuza

    bado utakuta mtu mzima anasoma na haelewi,lazima umshangae
  12. ndevu mzazi

    Pongezi kwa Rais Magufuli kusitisha Bomoa Bomoa kwa kuongeza kigezo cha "Human Face". He's so Human!

    hamjamuelewa muandishi nyie mnaomponda,makala yake ni mtego mkubwa sana.someni tena alafu mtafakari na sio msome ili mjibu
  13. ndevu mzazi

    Kumbe Lazaro Nyalandu anakimbia mambo !!

    nimesoma andiko lako lote.hujajibu hoja hata moja ya nyalandu zaidi ya personal attacks.kwani mkikaa kimya kama hamna majibu ni dhambi? hoja zake ni hizi mkuu NIMEAMUA kujiuzulu NAFASI yangu ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM, pamoja na nafasi zote za Uongozi ndani ya Chama...
  14. ndevu mzazi

    Mark Mwandosya: Wachumi tusaidieni kutofautisha kati ya economic benefits na financial benefits

    nyumba za serikali na mv bagamoyo mmesahahu aliyefanya madudu
  15. ndevu mzazi

    Japo nimekosa kazi TRA lakini ningependa kuwashauri mambo kadhaa Utumishi

    kama TISS je?kuna usalama wa taifa kwenye mifumo yetu ya ajira.usishangae akawa mmoja wapo.relax mkuu
  16. ndevu mzazi

    Hakuna mwanasiasa mkosoaji aliyewahi kufanikiwa pakubwa

    wacha weee. nina maswali 2 kwako kijana 1.unajua siasa? 2.unajua shabaha ya chama cha siasa?
  17. ndevu mzazi

    Wasichokijua wenye akili fupi na za hovyo hovyo juu ya makelele yenye tija ya Tundu Lissu

    ungejiuliza na ccm wameanza kutawala lini mpaka wameyaona haya leo ingekua poa sana.kumbuka head of state alikuwa kwenye cabinet yote haya yakitendeka. asante
Back
Top Bottom