Search results

  1. Patra31

    Msaada wa tatizo la miguu kuwasha

    Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama wiki kama 2 sijavaa socks lakini bado miguu inawasha
  2. Patra31

    Nafasi 43 za kazi kwenye mradi Wa Julius Nyerere Hydropower Project (JNHPP)

    1) Motor Grader Operators —- 10 positions 2) Excavator Operators ——– 20 Positions 3) Bull Dozer Operators ——– 03 Positions 4) Pipe Fitters ——————- 04 Positions 5) Supervisor Piping ———– 01 Positions 6) Supervisor HVAC ———— 01 Positions 7) Wheel Loaders ————— 04 Positions Interested candidates...
  3. Patra31

    Unazikumbuka hizi cartoon?

    Zilitukuza enzi hizo mimi na jamaa zangu tulikuwa tuna ratiba nzima. Ilikuwa kila siku za juma3 had ijumaa kuanzia saa 15:00H - 18:00H channel 10, tv Mozambique, TIM, ITV na Agape TV walitupa burudani wapenz wa cartoons. Acha leo nikumbushie cartoon zangu za enzi hizo nakuwa:- 👉Pink and the...
  4. Patra31

    Change is inevitable, wameamua kutubadirishia

    Hii ni motor grader Tulikuwa na hizi 9 joysticks Sahivi ni 2 joysticks bila steering wheel
  5. Patra31

    Hodi humu ndani Jaman

    Mgeni wenu naomben mnipokee Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom