Search results

  1. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hiki niandikacho ni kisa cha kweli na ndicho ninachopitia. Nikiri kwamba nimezaliwa kwenye umaskini na nimesomeshwa kwenye umaskini mpaka namaliza elimu yangu Nilisota kidogo tu kitaa baada ya kumaliza elimu nikapata kazi sehemu nikaajiriwa, baada ya mda kutokana na Tabia yangu ya ukimya na...
  2. M

    Biashara inataka watu wenye roho ngumu, fikiria nimewekeza 300M+ napata 5M kama faida Kwa mwezi

    Kuna muda unaweza kuwa kichaa kwenye haya mambo ya biashara. Nimewekeza Tsh. Million mia tatu(300m+), nimeanza biashara napata return ya 5m yaani million tano kwa mwezi. Hapo sijatoa mishahara ya wafanyakazi na gharama za kuendeshea ofisi. Wafanyabiashara mna roho ngumu sana, presha nje nje!
  3. M

    Msaada wa maoni kuhusu ununuzi wa kiwanja

    Wakuu habari zenu. Kuna kiwanja Kiko sehemu nzuri sana kimetangazwa kuuzwa. Mwenye kiwanja alishafariki, alikuwa anaishi na mwanamke lakini walitengana kabla marehemu hajafa, na baada ya kufariki familia ilimpa baadhi ya maeneo mke walietangana Ili aweze kumudu kuwahudumia watoto alioacha...
  4. M

    Nawezaje kuagiza Moja Kwa Moja kutoka kiwandani TBL na SBL kreti 1000 nazohitaji kuanza nazo kibiashara?

    Wakuu habari zenu, Nataka kuanza biashara ya vinywaji, maandalizi yote tayari. Naomba msaada kwenu wadau najua mna uelewa mpana wa haya mambo, hivi Kwa wingi wa creti ninazotaka kuanza nazo siwezi kuletewa na kiwanda Moja kw Moja mpaka nilipo au mpaka nipitie Kwa maagent wao?
  5. M

    Kama una kreti tupu za soda na bia na unataka kuziuza tuwasiliane

    Wakuu habarini za jioni. Kwa yeyote mwenye kreti tupu za soda na bia kampuni yeyote Ile na anataka kuziuza, naomba tuwasiliane. Hata kama unazo kreti 1000 au zaidi nitazinunua, nipo morogoro mjini.
  6. M

    Kuanzia leo naunga mkono siasa za Msukuma na Kishimba wasomi wa Darasa la Saba, hawa maprofesa wanaliangamiza taifa

    Ni bora akina Msukuma na Kishimba 100 pale bungeni kuliko maprofessor 5000 kama Manyele hapa nchini. Elimu zao hazisaidii nchi... Ng'ombe kutoa kinyesi cha kg25 kwa wakati mmoja na mkojo lita 20 ni kioja kingine kwa taifa. Huyu jamaa TAKURURU kwa nchi zinazojielewa wangekuwa washaanza...
  7. M

    Wakulima wa Tanzania hamko serious na Kilimo, Yaani Ng'ombe anatoa kilo 25kg za kinyesi kwa wakati mmoja na bado mnalia kwa kupanda bei mbolea ya YARA

    Kweli nimeamini sisi wabongo ni wavivu sana. Hebu fikiria kwa ripoti ya msomi wetu wa viwango vya juu kabisa, Le Professor mwenyewe kule mto MARA, ng'ombe mmoja kwa wakati mmoja tu anatoa kg 25, tufanye kwa hesabu ya chini kabisa, huyu ng'ombe atoe kinyesi mara moja tu kwa siku, zidisha kwa...
  8. M

    Nawezaje kupata mawasiliano ya Makerere University au Ubalozi wa Tanzania nchini Uganda?

    Habari zenu wakuu. Hizi taasisi mbili nimeshatumia njia za email kuwafikia naona hawajibu. Sijui ubusy au email zimekuwa nyingi sasa naomba aliye na mawasiliano ya pale au ubalozi anisaidie
  9. M

    Nani yuko Kambarage hapa Morogoro muda huu?

    Aliyeko hapa morogoro, Kambarage anitfute tupige mbili tatu...
  10. M

    Bodaboda wamegeuka kuwa wezi na vibaka

    Haya makundi ya bodaboda yaangaziwe kwa jicho lingine kabisa kwa watumiaji wake. Baadhi yao ni vibaka, wezi na wanyang'anyi.. Wamemkaba wife Leo mda mchache baada ya kuachana nae, bodaboda aliyemkodi ndie aliyemkaba huko njiani na kumnyang'anya pochi iliyokuwa na simu, pesa pamoja na document...
  11. M

    Hali ya Uhalifu mtaani kwa sasa inatisha. Waziri Mambo ya Ndani na Sirro mmeamua kushirikiana na majambazi?

    Kwa sasa hali ni ngumu sana mtaani kiusalama hasa sisi wafanyabiashara hali ni tete. Juzi mwenzetu anaeyejihusisha na Mobile money Transction amenusirika kuuawa baada ya kukwepa risasi iliyoelekezwa kwenye paji lake la uso na kwa bahati nzuri ikampata maeneo ya mkononi na paja lake la kushoto...
  12. M

    Namtafuta "Wall TV show Decorator" kwa morogoro

    Wakuu habari.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama wewe ni mtaalam wa decoration ya TV show kwa ukutani na uko morogoro mjini nitafte PM nikupe kazi
  13. M

    Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  14. M

    Magufuli kwa heri, hukustahili kuwa Rais

    Nawashangaa watu wanaomtetea Magufuli, wanapata wapi huo ujasiri. Huyu jamaa alikuwa muonevu aliyejivika ngozi ya uzalendo na utetezi wa wanyonge, huku akiwanyonga kwelikweli. Ameua ndoto za vijana kwa kuwanyima ajira akiwaambia wajiajiri huku watoto zake na watu wake wa karibu akiwapa...
  15. M

    Liswemwalo lipo: Je, ni kweli kuna uchotwaji wa kutisha wa pesa na madini huko BoT?

    Wakuu habari zenu, R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM. Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu wamekwapua pesa na madini. Hiki kilikuwa kipindi ambacho tetesi zimezagaa kwamba Rais anaumwa na...
  16. M

    Nawalaumu wanaume wanaotelekeza watoto, japokuwa wadada mmezidi kutubambikia watoto

    Habari ya mwaka mpya wakuu. Mwaka 2013 nilienda field mgodi wa Bulyanhulu huko kakora uliokuwa unamilikiwa na Accacia, kwenye kivuko pale Busisi nikakutana na dada mmoja mrembo sana. Tukiwa tunasubiri kivuko kianze safari nikasogea karibu naye nikaanzisha mazungumzo na yeye yaliyopelekea kukaa...
  17. M

    Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

    Habari zenu wanabodi, Kuna watu wengi hawafahamu kama serikali inazo shule zake za msingi za mitaala ya kiingereza (English medium) kwa gharama nafuu, Tusaidiane kufahamu majina na zilipo kwa kila eneo/mkoa hizi shule. Naanza 1. Olympio - Dar Es Salaam 2. Diamond - Dar Es Salaam 3. Magufuli -...
  18. M

    Kuoa wanawake wawili au kuwa na watoto wa mama tofauti kwa dunia ya leo ni kujitafutia matatizo

    Wanaume wenzangu, dunia imeshabadilika. Leo ukiwa na watoto wa mama tofauti kwenye familia yako jua unatengeneza kaa la moto baadae na kuwa na wake wawili ndio kabisa kwa asilimia kubwa unakuwa unajitengenezea jehanamu yako mwenyewe. Nimeshuhudia familia nyingi sana zinavurugana mpaka kufikia...
  19. M

    Nimefanikisha kutimiza ndoto za binti wangu wa kazi

    Habari zenu nyote, Ni takribani miaka 6 sasa tangu niwe na huyu msaidizi wa kazi za nyumbani, nilimchukua akiwa mdogo akiwa na umri wa miaka 15 baada ya kumaliza elimu yake ya msingi. Maisha ya nyumbani kwao yalikuwa ni duni sana, na wazazi wake walionekana kushukuru sana binti yao kupata hii...
  20. M

    Ulishawahi kukutana na mwanamke/mwanaume mtandaoni akaku-prove wrong kinyume na matarajio kabla ya kuonana live?

    Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu. Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
Back
Top Bottom