Search results

  1. M

    Mama anataka mtu wa namna gani kwenye nafasi ya uenezi wa CCM?

    Hivi Jumanne Sagini kapona? Naona wizara ya mambo ya ndani Ina naibu waziri mwingine
  2. M

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, kuwasaka Wavuta Shisha kila sehemu

    kwenye hii vita ya madawa ya kulevya, Serikali haiko serious
  3. M

    Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini, kuwasaka Wavuta Shisha kila sehemu

    Hii vita ya madawa ya kulevya serikali haiko serious kabisa
  4. M

    Mipango ya ovyo ya Serikali katika utoaji ajira

    Daah sikujua naongea na mtu asiyejitambua, baada ya kujibu hoja unaanza kubwabwaja. Tuishie hapa, Uwezo wako ni mdogo haufai hata kukujibu
  5. M

    Mipango ya ovyo ya Serikali katika utoaji ajira

    Dogo, ile kutukana tu inaonesha wewe ndio mpumbavu? unajua mifumo ya ajira inavyofanya kazi kwa sasa? waajira hewa wanapatikanaje kwa mifumo ya sasa ya ajira? Au hujui maana ya hewa?
  6. M

    Mipango ya ovyo ya Serikali katika utoaji ajira

    Waafrica ni watu wabinafsi sana, yaani asipopata yeye anatamani na mwenzake akose. Pambana mzee upate ajira sio lazma TPA, na usiwaonee wivu walioajiriwa. Siku yako itafika utaajiriwa
  7. M

    DOKEZO Rushwa kwa Watumishi wa TANESCO (surveyors) Kongwa

    MIMI nimelipia karibia 5m toka mwezi wa sita mpaka leo sijapata umeme.
  8. M

    You cant be a rich, without shady or dirty deals

    Ukiona unafanya kazi husongwisongwi na polisi, TAKUKURU na vyombo vingine vya usalama jua hiyo kazi ni ya kimasKini kabisa. Nafanya kazi ambayo kwa siku naingiza zaidi ya 3m NJE YA MSHAHARA NA POSHO ila vyombo vya usalama washakuwa sehemu ya maisha yangu. nishawahi kuelezea humu japokuwa watu...
  9. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Sijaandika kubishana, nimeandika ukweli wangu..Mimi wangu ndio huo kaka kama unaona ni uongo ni vema pia maana sipo hapa kukufanya uamini? Na sidhani kama kuna sehemu nimezungumzia wizi? Nilichosema ni kwamba natoka na zaidi ya 1m kwa siku. Ishu napataje hiyo wewe hutakiwi kujua Vinginevyo...
  10. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Wao nilikuwa siwajengea mkuu ila niliwapa mitaji ya biashara
  11. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Nilichogundua sio kwa ndugu zangu tu, maskini wana roho za husda sana
  12. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Usidhani kama unaweza kujua kila kitu kwa wakati wote. Anyway ungejua tu hata mfagiaji wa sehemu ninapofanyia kazi ungekuja kufuta haya maandishi yako
  13. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Sawa mkuu nshaamka, nilikuwa naota
  14. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Huwezi kuamini kwa sababu hujawahi kuingia kwenye mifumo ya pesa ukiingia huko hutoweza kubisha
  15. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Ungeamini unachoamini ingekuwa vizuri zaidi lakini nikuambie tu bado huelewi mambo mengi. Tufanye kwamba nilichoandika hapa ni uongo ili tuufunge huu mjadala wako
  16. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Sijaja hapa kutafutana no watu PM na wala sijawahi kufanya hivo na sitafanya hivo Nimeamua tu kupoozea machungu yangu hapa
  17. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Hizi ni akili za kimaskini mkuu na kukosa kazi ya kufanya, siku ukipata pesa utaona ni upumbavu kutukana watu mitandaoni usiwajua
  18. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Nimekwambia haina haja ya kujieleza nafanya nini mkuu. Amini unachoamini ila nilichoandika ndio ukweli wangu
  19. M

    Umaskini ni laana; nimeamini pia maskini ana roho mbaya sana

    Sawa, kwa sababu hatujuani sina haja ya kubishana na wewe.
Back
Top Bottom