Search results

  1. djwalwa

    Kakobe vs Vyama vya Upinzani?

    Kuna sababu gani ya kuanzisha utitiri wa vyama vya upinzani wakati tungeweza kuvipa support hivyo ambavyo vipo tayari?
  2. djwalwa

    JK Rais asiyejiamini..!!!

    Leta data wewe usiropoke tu
  3. djwalwa

    Membe & Kabaka: Lindi kuanzisha University!!

    Kuanzisha University kwenye mkoa fulani haimaanishi watu wa mkoa husika tu ndo wasome. Pia inaweza kutumika na watu kutoka nje ya mkoa husika ambao watapenda. Watu kutoka nje pia wanaweza kuwa chachu na kuhamasisha watu wa mkoa huo kuchangamkia opportunity hiyo.
  4. djwalwa

    Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

    Je CHADEMA wataendelea na ushindi katika jimbo hilo? Je NCCR,CUF na TLP wataweza kuwashawishi wananchi? Je CCM itatumia Mbinu zipi kulichukua Jimbo hilo Patamu hapo
  5. djwalwa

    ivo 1-0 kaseja...the sagga continua

    Huko tuinapoelekea, Kaseja na Ivo zitaanza kutembea "ndumba". Ee Mungu tuepushe hili balaa
  6. djwalwa

    Mengi: Manji anatoa wapi kiburi na ujasiri?

    Huyu Mengi naye ni mtu anayependa Public Sympath. Anataka tumwone kwamba kila anachofanya yeyeni sawa tu, akifanyiwa yeye kidogo antuonesha kwenye media zake kwamba kaonewa. Huu ni upuuzi kabisa
  7. djwalwa

    Raila Odinga Anena Kuhusu Ufisadi Kenya.

    Hata hao wakiingia serikalini, bado kutakuwa na uozo huo huo tu wa kutetea blunder za serikali inapotokea wanachemka. na ndio maana tunakuwa na upinzani ili kuiamsha serikali
  8. djwalwa

    KIGOGO WA CELTEL anaswa na TAKUKURU

    Ni kamtandao kakubwa ndani ya kampuni, naomba TAKUKURU wapamulike vizuri
  9. djwalwa

    Rostam Aziz kugeukia Waislamu, Kuibua wengine CHADEMA

    Vita ya panzi, furaha ya kunguru. Chadema waache porojo zao kwenye media, wakae chini na kutatua matatizo yao ndani. Hii inatuletea wasiwasi sisi ambao tumekiamini chama na tunaona kwamba ni mtetezi wa wanyonge. Sasa leo wanaanza kutupiana matusi. Je tutafika kweli?
  10. djwalwa

    Orijino Komedi: Kwa faida ya nani?

    Hayo maono yako hatuyaoni. Watu wanatafuta hela wewe unapiga kelele. Kwani lazima kuangalia? Kwanza inaonekana ni mpenzi mzuri sana wa hiyo show
  11. djwalwa

    Je F.Mbowe anafaa kuwa RAIS?

    Hafai kuwa Rais huyu. Hana exposure wala elimu ya kutosha kuongoza vichwa vya Kitanzania. Ni mtu anayeigiza vizuri sana kwamba ana uchungu na nchi yake lakini kwa dhati kabisa amekaa kibiashara zaidi kuliko kujitoa kutumikia Taifa. Angalau kijana wake Zitto anaonekana ni mtu mwenye uelewa na...
  12. djwalwa

    CHADEMA kweli ni shwari au ni kauli za kisiasa tu ?

    CHADEMA nao wanaboa kweli, wakiulizwa ishu zao lazima wachomekee ishu za CCM.
  13. djwalwa

    CHADEMA flip flopping at its best! Jisomee mwenyewe uone

    Haya malumbano tuliyategemea. Ndiyo tatizo la vyama vyetu vya upinzani, ndiyo maana havitaweza kukamata rungu. Zitto kuwepo kwenye kamati sioni kama ni tatizo, kwani alitafuta nafasi ya kuweka mambo bayana bungeni akabaniwa. Sasa huu ni wakati wake wa kufanya kweli halafu mnaanza kugawanyika...
  14. djwalwa

    Chadema na yatakayojiri wiki hii

    Tumeshazizoea hizo hapa bongo, ni kama tamthilia za PANGAKO SAYO tu. Leo unaona kama ndiyo imefika mwisho, kesho kinatokea kipya inaanza upya
  15. djwalwa

    Tanzania to go Wireless

    LAKINI SI MAHALI PAKE
  16. djwalwa

    Chadema na yatakayojiri wiki hii

    Kwani kuna msomi yoyote makini hapa DAR hasa wa UD ambayae bado anahitaji kufafanuliwa juu ya huu UFISADI? Hizi habari hapa Dar tumeshazielewa, hebu sasa mkaziendeleze huko mikoani hasa remote areas kwenywe watanzania wengi. Halafu waje na WAY FORWARD sio kutaja list tu. Hali inaonyesha kuna...
  17. djwalwa

    Aibu tupu Dodoma

    Ha ha ha ha ha ha Hii si NYWEPWESI tu, nadhani itafutiwe jina la juu zaidi ili kuonyesha high degree ya UNYEPWESI, labda NYEPWESWI
  18. djwalwa

    CCM yampongeza Richard

    Huu ni upumbavu kabisa, yaani anapongezwa kwa kuonyesha uwezo wake wa kufanya ngono hadharani? Hii BBA ni upuuzi ambao tumeuiga kutoka nchi za Magharibi kwa hiyo Watanzania na Waafrika kwa ujumla hakuna kitu cha maana tunachojifunza hapo. Bora mamiss wetu angalau wana nidhamu kwenye...
  19. djwalwa

    Kwa mawazo yako una ipa miaka mingapi CCM

    CCM itaendelea kuwepo kwa muda mrefu tu unless juhudi za makusudi kabisa na za dhati zitafanywa na upinzani. kuna maeneo kadhaa ambayo wapinzani wanatakiwa wayaangalie. Kwa mfano kujitangaza zaidi maeneo ya vijijini ambayo pengine bado wanajua Rais ni Nyerere. Huko ndiko kwenye wapiga kura...
  20. djwalwa

    Bendera ya CCM yachomwa na Wamachinga

    Kuonyesha hasira kwa kuchoma moto kwangu mimi haionyeshi chochote zaidi ya ushabiki usiokuwa na maana. Kwanza wamesababibsha usumbufu mkubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo, pili usumbufu kwa wanafunzi waliokuwa wanasoma pamoja na hayo pia wamesababisha woga kwa wananchi wa eneo husika. Ingekuwa...
Back
Top Bottom