Search results

  1. D

    Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

    We mata.k.o.00 Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
  2. D

    Mwalimu wa Mathematics anatafuta kazi

    Niambie,una shahada au stashahada? Au ni mwl by just experience?
  3. D

    INAUZWA We sell Plastic timber and poles

    Taja maeneo ambayo hii huduma inapatikana
  4. D

    Spika Ndugai ataka Walimu waongezewe kazi wafundishe masomo kuanzia matatu ili kupunguza uhaba wa Walimu

    Ni simpo tu, kila kipindi ni dakika 10 na mada inalainishwa kama mlenda. Twende tukapige kazi mtani. Unaumiza akili ya nini wakati tupo uchumi wa kati?[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
  5. D

    Uchaguzi 2020 TLP na UDP zajiondoa kumpigia debe Magufuli

    Huku vunjo mabango makubwa ya mrema yamebandikwa picha za magufuli yaqni kushoto magufuli na mrema kuli. Tangu tumeanza kampeni hadi leo. Je tume ilishamwita au kumpa onyo mrema au sisem? Tuache double standard asei
  6. D

    Zanzibar 2020 Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Kofia zimeandikwa Dr Shein ila mgombea ni dr Hussein. Hii imekaaje ndg zangu? Au ni macho yangu![emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
  7. D

    Uhamiaji wanahoji Uraia wangu. Kwanini?

    Umegombea kwa chama gani? Tuanzie hapo
  8. D

    Uchaguzi 2020 Niliyoyagundua Siku 8 za kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

    [emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  9. D

    Uchaguzi 2020 Niliyoyagundua Siku 8 za kampeni za Uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

    Nimependa jinsi ulivyobalance maoni yako. This is political maturity[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  10. D

    Godbless Lema: Pesa aliyolipwa Bilionea Laizer ni pungufu sana, ungefanyika mnada angelipata karibia mara kumi ya alicholipwa

    Nauliza tu,kodi ya serikali imekatwa? Kama ndiyo,ilikatwa sh ngapi?
  11. D

    Naomba msaada wa kutatua tatizo hili la friji (freeza)

    Umeeleza vizuri, hope mhusika atazingatia ushauri wako. Pia aleta mrejesho wake.[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  12. D

    Natafuta mtu wa kufanya naye biashara

    Weka bei ya hapo ulipo kwa gunia la mahindi 100kg na maharage 100kg. Lengo ni kulinganisha bei ktoka maeneo mbalix2. Unakimbilia tu mtaji we vp? Usisahau kuweka na gharama za ukusanyaji na usafirishaji. In short,weka taarifa fupi na yenye takwimu
  13. D

    Mgogoro wa Machame na Kibosho

    Historia hii ingekuwa tamu zaidi kama ungeweka miaka na majina ya hao majemedari wa mashami! Pia uwaandikie Dr shoo Askofu wa kkkt DK na mwenzake Askofu Ludovick Minde wa Jimbo Katoliki Moshi na wengine ili waongoze upatanisho uliopendekeza?
  14. D

    Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

    37 years; Umeoa? Una mchumba? Umezaa mtoto na binti au mmama yeyote? We ni mzaliwa wa dar au mikoani? Tangu umepata degree imepita miaka mingapi? Nasubiri majibu then nitatoa ushauri wa msingi Sent using Jamii Forums mobile app
  15. D

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Safi sana,fursa hiyo Sent using Jamii Forums mobile app
  16. D

    Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Toka lini mtu mpita njia akachinjiwa kuku? Tutampa maji ya kunywa aendelee na safari yake ya kutangatanga Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom