Search results

  1. Ricardo Damiano

    Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

    Upo sahihi..mimi gari yangu ya kwanza nilikuwa hata nikipark naenda kupata lunch ama dinner nataka niione..meza nayokaa nione mkoko wangu..[emoji16]
  2. Ricardo Damiano

    JamiiForums Usiku wa manane

    simpendi yupi tena
  3. Ricardo Damiano

    Je, TV Hisense Brand zikoje?

    Nilikuja huku JF nikauliza katika ya LG na Hisense nichukue nini..nikashauriwa LG.Ushauri huo ulikuwa swadakta..Hisense hafikii level za LG
  4. Ricardo Damiano

    Haya yote yakitekelezwa, hakutakuwa na migogoro katika ndoa/mahusiano yetu

    Ndoa iheshimiwe na watu wote..ogopa sana unapewa cheti kabla ya kufanya mtihani
  5. Ricardo Damiano

    Msaada: Kuhamisha nyimbo toka PC kwenda iPhone 7

    download setup ya anytrans for ios the install..umemaliza
  6. Ricardo Damiano

    Nini Chanzo cha iphone nyingi kufail fingerprint?

    Habari wakubwa..naomba kuuliza je ni vitu gani hupelekea fingerprint za iphone especially matoleo ya 6,6s,7,7plus n.k kufeli? wakati hilo halitokei au ni nadra kwa simu za android.. Naomba kuwasilisha. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Ricardo Damiano

    LG LED Tv vs Hisense LED Tv ipi kali?

    very helpful..asante sana mkuu
  8. Ricardo Damiano

    LG LED Tv vs Hisense LED Tv ipi kali?

    Habari wataalamu, Naomba kuuliza kati ya hizi flat Tv mbili ikiwa ukubwa wake ni inch 32 zote ipi ni bora zaidi kuanzia durability, picture quality muonekano na value for money? Asante, naomba kuwasilisha.
  9. Ricardo Damiano

    Mlio wa Vibration mtu wa Tecno akipokea simu

    dude its a tech forum not compasion and life advices..above all its a free world yo..
  10. Ricardo Damiano

    Mlio wa Vibration mtu wa Tecno akipokea simu

    na hata akisikia haukeri kama wa tecno
  11. Ricardo Damiano

    Mlio wa Vibration mtu wa Tecno akipokea simu

    hujaelewa mtaalam..huo mlio kwenye simu nyingine mpigaji hawezi sikia..tecno wamefeli hapo
  12. Ricardo Damiano

    Mlio wa Vibration mtu wa Tecno akipokea simu

    Hellows..asee ukiachana na kuchukia tecno. hakuna kitu sikipendi kama nikimpigia mtu mwenye tecno akipokea tuu utasikia kale ka vibration "bruuum" je wew ni kitu gani hukipendi kwenye simu za tecno.? kudos to other company i.e Samsung,HTC,LG,Iphone,Sony,oneplus,google pixel,blackberry na Huawei.
  13. Ricardo Damiano

    Special thread; Tamthilia ya Siri za Familia Inayorushwa EATV

    Habari za jioni Wana MMU.. Naomba niwapongeze waandaji wa series kwa ubunifu mzuri na story..nimejikuta natekwa zaid na maumbo ya wadada wa mule kiukweli ni hatari..yaan hujikuta nikiwahi kutoka office lazima nikae kideoni niangalie...hususani juzi wamemleta mtoto wa kinyarwanda ndo kabiiisa...
  14. Ricardo Damiano

    Kwanini funguo za gari zipo mkononi muda wote?

    mtaalam unaweka funguo pamoja na simu yako mfuko moja? na hata kama ungeweka kama unatumia simu yenye kioo kizuri/imara kwa maana ya kwanzia gorrila glass 3 na kuendelea hilo haliwezi kuwa tatizo.
Back
Top Bottom