Search results

  1. DavidHard

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi. Naombeni mawazo wadau
  2. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku support hivyo vitu vingi unavyovitengeza na kuvianzisha hata kama havina ubora. Si kwa sababu...
  3. DavidHard

    Diamond vs Harmonize: What goes around...

    Kila mmoja ana mtizamo wake kuhusu harmonize kuondoka WCB baada ya kuvuna fadhila nyingi alizopewa na Diamond kama rais wa WCB pamoja na timu nzima.Kila mmoja yupo busy kumlaumu Harmonize kuhusu kuondoka wcb.wengine wakienda mbali na kusema atashuka kimziki.mara ndo mwisho wake..Nimeandika haya...
  4. DavidHard

    Vitambulisho vya ujasiriamali

    Poleni na mihangaiko ya kila siku Kwanza kabisa niwieni radhi kwa kurudia mada ambayo kwa kiasi fulani imeelezewa mara nyingi. Lengo langu kwenu wanajamii ni; Kuomba kueleweshwa kuhusu agizo la Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli.Kuhusu vitambulisho vya ujasiriamali.Kwa ninavyofahamu mimi...
  5. DavidHard

    Vocha ya TCU

    wakubwa anayehitaji vocha ya kuapply tcu.anicheki.jamaa yangu alinunua lakini.kapata tatizo hatoapply mwaka huu.
  6. DavidHard

    MSAADA HAPA

    Jamani kama mtu yeyote aliyeomba diploma ya ualimu.(higher diploma )je unaomba kama university yaani mpaka uchague vyuo zaidi ya viwili.ama unachagua kimoja tu.nisaidie kwa anayejua.nataka nimwombee ndugu yangu hapa.
  7. DavidHard

    mwenye kujua hili

    jamani wana jamvi mwenye ufahamu juu ya namna utaratitbu unavyofanyika.pale mtu anapokuuzia line ya sim bank.ie airtel money,tigo or mpesa..aliyosajili kwa jina lake.anatakiwa abadili vitu gani.samahani mwenye uelewa naomba ufafanuzi
  8. DavidHard

    Msaada hapa anayejua tatizo

    natumia simu ya Samsung note 2 32gb.ila wiki sasa imepita.simu haifungui google store. hata browsers nyingine.isipokuwa opera mini.na samsung store. nimeangalia tatizo sijalipata.mwenye ufahamu anisaidie.ila mtandao upo vizuri.ila hiyo store haifunguki na browser nyingine kama uc na Mozilla.
  9. DavidHard

    NOTE II

    Samsung note II . 32gb. Ipo vizuri haina .udalali unakagua mwenyew.350000(laki tatu na nusu) 0658739974.
  10. DavidHard

    Simu mini pad TENCO p9

    tecno p9 naiuza bei 150000(laki na hamsini)anayeitaka anipm!kuiangalia ni bure.haina tatizo lolote.
  11. DavidHard

    Nokia XL ina tatizo la whatsapp

    Simu yangu ni nokia xl ila inakataa kuinstall whatsapp app.nikiidownload inakubali nikiifungua inataa kufunguka inaniandikia kuwa niunstall whatsapp nidownload tena ila nikifanya hivo tatizo linakuwa ni lile lile!tafadhali mwenye msaada anisaidie tatizo ni nini.space ipo ya kutosha nimefuta...
  12. DavidHard

    Nyimbo za kaswida

    Wadau anaye jua wapi naweza download nyimbo za kaswida anisaidie link tafadhali.au kama anaweza kuniwekea hapa jamvini ntashukuru!.msaada wenu muhimu wadau
  13. DavidHard

    Msaada hapa wadau

    Anayefahamu wapi wanauza vifaa vya simu za NOKIA.Hasa screen za simu.hapa dar naomba anijuze.simu yangu ni NOKIA XL imedondoka chini na kupasua kioo chake.
  14. DavidHard

    Majina ya appeals yamebandikwa UDSM

    Kwa wale waliokuwa wanaulizia majina ya appeals yamebandikwa kwa UDSM. Ila kama jina lako halipo ujue wamereject ombi lako.
  15. DavidHard

    Naweza kutengenezewa cheti kimoja baada ya ku-reseat?

    Uki re seat mtihani.ukafaulu unaweza kutengenezewa cheti kimoja badala ya viwili cha kwanza na cha reseating au haiwezekani. Natanguliza shukrani kwa mwenye ufahamu
  16. DavidHard

    Tatizo la ku-install Applications kwenye mini pad p9

    Natumia mini pad p9 inaonesha ina 12gb jumla na zimetumika kama 700 mb ambazo nimeweka baadhi ya apps lakini nikitaka kudownload apps nyingine zinakaaa kuingia simu inaandika insufficient space. kuhusu upande wa external sdcard sijaweka.naweza kurekebisha vip hili tatizo.
  17. DavidHard

    Wapi nitapata fundi mzuri wa simu Dar ?

    Naomba anayejua fundi mzuri wa simu hapa dar anielekeze. Simu yangu imearibika spika kusikiklizana mpaka niweke loud. b'se bila hivyo siwez kusikia .. Shukran.
  18. DavidHard

    msaada

    naomba kufahamishwa ni vitu gani vinahitajika wakati wa kusajiliwa kwenye chuo ulichopangiwa
  19. DavidHard

    Naomba link ya kuangalia majina ya waliochaguliwa kwenda vyuo vikuu

    Jamani anayejua link sahihi ya kuangalia majina ya waliochaguliwa kwenda vyuo vikuu anisaidie.maana link nilizopewa zinagoma kufunguka.
  20. DavidHard

    Nisaidieni wakuu

    naomba msaada jinsi ya kufanya screen shot kwenye instagram.na je mpaka simu zenye uwezo mkubwa au la.na njia mbadala ya kusave picha kutoka instagram.asanteni
Back
Top Bottom