Search results

  1. DavidHard

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Mtaji, wa kawaida unaweza anza na kiasi gani
  2. DavidHard

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi. Naombeni mawazo wadau
  3. DavidHard

    Hakuna wa kumzidi Lunya kwa sasa

    Sidhani kama upo serious, au umependa zile kelele zake.
  4. DavidHard

    Changamoto za mfumo wa maombi ya ajira za Elimu na Afya 2022

    Nimechagua elimu..ila kwa profile wanaleta categories za afya. Na sioni sehemu ya ku edit kurudi nyuma. Kama kuna mtu kakutana na challenge tafadhali.
  5. DavidHard

    Baada ya matukio haya (1962-2021) katika mkoa wa Ziwa Magharibi(Kagera) Serikali ilipaswa kuja na mpango maalumu wa maendeleo katika mkoa huu

    Kiongozi soma vizuri kabla ya kuchangia, ingawa mchango wako pia ni muhimu ila hauna uhusiano na hoja ya mdau. Yeye hazungumzii historia ya mkoa wa kagera. Bali anazungumzia matukio haribufu yaliyowahi ukumba mkoa wa kagera baada ya uhuru. Na mapendekezo kuwa serikali ingefanya jambo kutokana na...
  6. DavidHard

    BET wamposti Diamond Platnumz Instagram

    Wamepost wote wanahuska katika kipengele hicho..#burnaboy,diamond &wizkid. Sio dmond peke yake
  7. DavidHard

    Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

    Chuo gani huwezi hata kuandika. Bora ulivyojisemea mwenyewe akili yako ndogo kweli.
  8. DavidHard

    Msanii gani angalau amemkaribia Capt. John Komba mpaka Sasa?

    Captain John Comba . Alijua anafanya nini aliiitoa ile tone ya nyimbo za jeshini(Chenja) lakini za vitani akaileta uraiani . Ukisikiliza nyimbo zake unasikia msisimko mwilini (too emotional song) alikuwa ana sauti ya ajabu sana. Huwezi mlimganisha na hawa wasanii wetu wanaodhani kuimba ni kuimba...
  9. DavidHard

    Nandy anazidi kupotea

    Kwanza nikwambie kwamba uelewa wako kimziki ni wa kawaida sana. Kama layman wengine. Pili kama unachambua mziki ki zembe hivi haina haja ya thread nyingine uliyohaidi maana itakuwa na hoja dhaifu kama hii. Back to the point. Huwezi kupima ukubwa ama udogo wa msanii kwa kigezo You Tube Viewers...
  10. DavidHard

    Siku ya Kifo Changu

    Kaka mkubwa alifia mikononi mwangu nikiwa nashuhudia ..kuanza kuangaika mpaka kukuta roho. Toka siku hiyo hofu ya kifo iliisha kwangu kabisa. Yaani kifo nakichukulia kama zawadi baada ya mateso ya duniani.
  11. DavidHard

    Malalamiko ya Wananchi kuhusu mabadiliko na gharama za vifurushi yaliyofanywa na mtandao wa Tigo mwaka 2021

    Nimwhamia halotel, Yaani 100,00/= Tigo walikuwa wanatoa gb 7. Kwa mwezi . Wamebadilisha kutoka gb 7 mpaka 2.5 . Hela hiyo hiyo 100,00/=. Kweli hapa kuna uhalali upi. Napenda kasi ya mtandao wa Tigo but for now let me switch to another side .
  12. DavidHard

    Je, hao wasichana mnaowaingilia kinyume na maumbile, mtawaoa?

    dizastavina..mpe hata credit basi. cc dizastavina
  13. DavidHard

    Polisi watibua party ya ufuska iliyopangwa kufanyika Dar

    Ukiwa na uelewa mdogo uliofungwa ndani ya boksi. Kwa kigezo cha utamaduni wa mtanzania. Ndo unaweza kuona waandaaji wa party hiyo wana makosa na ni watenda dhambi. Lakini ukiwa Mfikiriaji huru husiye na mipaka utajua ya kwamba hiyo ni sehemu moja wapo ya uhuru wa binafsi . Je ni mambo mangapi...
  14. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Unapozungumzia kampuni yoyote kubwa ili ifanye kazi mara nyingi inawekwa katika mfumo wa hisa. Hili lipo wazi haliitaji maelezo . Hata Wasafi ina wadau wengi waliowekeza pale. Na sio Naseeb peke yake. Lakini mfumo wa hisa una taratibu zake .ukimpa mamlaka mtu mwenye hisa nyingi ama mkurugenzi...
  15. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Samahani kiongozi hilo nililiona mapema ..ila kufanya editing. Ikawa ngumu kidogo. Hata mimi sipendi kuandika kizembe namna hiyo
  16. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Shida ipo hapo anataka kufika walipofika jirani zake kwa haraka
  17. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Sijaandika kwa mapenzi binafsi..nimeandika kwa maana ya kujenga na kurekebishana ili tufike mbali.
  18. DavidHard

    Hongera sana Diamond lakini kwa hili hapana...

    Diamond haina haja ya kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja na yote yakakosa ubora na ubunifu. Hiyo ni kutengeneza vitu vitakavyo ishi muda mfupi sana. Na ukweli unaujua kuwa watu wanapenda na ku support hivyo vitu vingi unavyovitengeza na kuvianzisha hata kama havina ubora. Si kwa sababu...
  19. DavidHard

    Hatua kwa hatua jinsi Rais wa Marekani anavyopatikana

    Asante sana umeichanganua vizuri kwa lugha ya kiswahili. Na imeeleweka vizuri
Back
Top Bottom