Search results

  1. Hamissi Hamza Jr

    Nimetafuta kazi nimechoka, naweza kufanya biashara gani na laki tatu?

    Kwanza Hongera kwakuchukua Hatua kwaajili ya kesho yako", Pili Hakuna mtaji mdogo,Ila ulicholenga kufungua ndo kinaweza kikubwa kuliko mtaji ulionao", Cha kwanza kubariana na hali halisi,usilenge vitu vikubwa kwasasa anza kidogo kidogo. pili na nakushauri usiwaze frame tafuta saiti ya kukodi...
  2. Hamissi Hamza Jr

    SoC02 Utajiri uliojificha katikati ya wanawake na watoto

    Inawezekana Kwa mwanaume kubaki na Muonekano ule ule Kwa miezi sita au zaidi ila hilo ni ngumu Kwa mwanamke", Mwanamke anajali muonekano wake kwanza kuliko kingine chochote". Inawezekana Kwa Mwanaume akawa Bahili ila hilo haliwezekani Kwa wanawake na watoto". Mwanaume akipata pesa Hufikilia...
  3. Hamissi Hamza Jr

    SoC02 Wazazi wakumbusheni watoto wenu kuwa...

    Cha Mzazi si cha Mtoto ila cha Mtoto ni cha mzazi hivyo jukumu na juhudi za kubadili maisha yao ni zao wenyewe. Na Waambieni Wakumbuke kuwatendea wema Nyinyi Wazazi Wote wawili Maana Pepo zao zipo katikati Nyayo zenu na Duniani Mnaishi mala moja, Wasisitizeni kuwa Thamani yao ni kubwa kuliko...
  4. Hamissi Hamza Jr

    SoC02 Njia bora za kupunguza mauaji yahusishayo wivu wa kimapenzi

    Mauajia yahusishayo wivu wa kimapenzi limekuwa Janga kubwa kwa Jamii na Nchi kwa ujumla,Inasikitisha kuona wivu wa kimapenzi ukiteketeza nguvu kazi ya Taifa Kwa vijana kuwa Wahanga wa Janga hili". Kwa Pamoja tunaweza Punguza tatizo hili kwa kutumia njia zifuatazo, BAADHI YA DINI ZISIZORUHUSU...
  5. Hamissi Hamza Jr

    DTB yaanza kishindo NBC, Ntibazonkiza asaini miaka miwili

    Ni timu ya benki hiyo wakina mwigulu waliuza
  6. Hamissi Hamza Jr

    Naomba ushauri kuhusu dini

    Maisha ni Yako na mamaumuzi ya mwisho ni yako pia ila hilo halimaanishi usishaurike, Awali ya yote Nadhani ungeanza kujiuliza kwanini ukisikia Quarani Inasomwa Unalia,Na moja kwa moja majibu yako hayatapishana na kuwa ukiskiliza quaran au mawaidha mwanadamu hujiona si chochote na si lolote...
  7. Hamissi Hamza Jr

    Dunia ya Karne ya 21

    Ni kweli kabisa mkuu
  8. Hamissi Hamza Jr

    Dunia ya Karne ya 21

    Huku zinaa ndio Ujanja, ucha Mungu ni Ushamba, Huku Mtoto Kumtukana Mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida, Huku kuvaa Nusu uchi ndio Urembo na Usharobaro"Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona Watoto Ni usasa, Kusengenya,Kudanganya,kutapeli,Ulevi,Kutoa mimba na kutekeleza Familia ndio...
  9. Hamissi Hamza Jr

    Dunia Ya Karne Ya 21st

    Huku Zinaa ndio Ujanja,Uchamungu ndio Ushamba" Huku Mtoto Kumtukana Mzazi au Mtu aliyemzidi umri Ni Kawaida, Huku kuvaa Nusu uchi Ndio urembo Na Usharobaro Wazee kujiona Vijana na Vijana kujiona Watoto Ndio usasa, Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli,ulevi,Kutoa Mimba na kutelekeza Familia Ndio...
  10. Hamissi Hamza Jr

    Dunia ya Karne ya 21st

    Huku zinaa ndio ujanja,uchamungu ni Ushamba" Huku Mtoto Kumtukana mzazi au mtu aliyemzidi umri ni Kawaida, Huku kuvaa nusu uchi ndio urembo na Usharobaro,Wazee kujiona vijana na Vijana kujiona Watoto Ndio ujanja Kusengenya,Kudanganya,Kutapeli,Ulevi, Na kutoa Mimba Ndio kwenda na wakati, Si...
  11. Hamissi Hamza Jr

    Naomba ushauri, namna ya kutenganisha mapenzi na biashara

    Ningependa tubadilishane mawazo, ushauri na uzoefu kwa sisi wajasiriamali na wafanyabishara jinsi ya ku balance biashara na mapenzi ili kutoweza kutoka katika barabara ya kutafuta mafanikio. Hasa kutotoka katika njia ya biashara kwa kuharibiwa na mapenzi. Naomba kaka, dada, mama na baba zetu...
  12. Hamissi Hamza Jr

    Naomba kujuzwa namna ya kuandika anuani ya makazi

    Naam kaka tayari nimepata mwanga
  13. Hamissi Hamza Jr

    Naomba kujuzwa namna ya kuandika anuani ya makazi

    Habarini za asubuhi wa JF, Poleni na Msiba wa Taifa kwa kumpoteza aliyekuwa Rais wetu wa awamu ya Tano Hayatti Dr John Magufuli. Naomba Kufahamishwa jinsi ya kuandika anuani ya makazi kwa wanaofahamu na wenye uzoefu na hayo mambo. Naomba kuwasilisha.
  14. Hamissi Hamza Jr

    Where is Jr Junior wa East Africa Radio?

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  15. Hamissi Hamza Jr

    Nimechukua maamuzi magumu katika safari yangu ya kusaka utajiri

    Hakuna short cut ya mafanikio bro Pambana zamu yako itafika tu Pia mshukuru Mungu kwa yote maana anatujua kuliko tunavyojijua[emoji120][emoji120][emoji120]
Back
Top Bottom