Habari,
Nina ndugu yangu wa kike (DUCE) kapangiwa chumba Mabibo Hostel (kqona jina lake leo alivoripoti) na tayari keshalipia chumba nje ya hapo hivyo hatokitumia chumba alichopewa na chuo. Kwa mwenye uhitaji wa kukitumia anichek leo au kesho nimuunganishe nae apate unafuu wa maisha.
Asante
Habarini wakuu,
Ni muda sasa nguo zao zimekua zikipotea katika mazingira ya kutatanisha ama kuchanwa na vipande kutokuonekana. Kipindi cha mwanzo nilihisi panya, lakini ninejiridhisha haiko hivyo. Ni hawa wataalamu jadi "wachawi" wakichukua.
Siku za hivi karibuni nimekua nikikuta hata viatu...
Ingia
www.utumishi.go.tz
Kushoto tafuta watumishi portal, kisha jisajili. Ili kujisajili utahitaji
1. Email yako
2. Check no (hii ndo itakua na taarifa zako)
3. Password
Ukishajisajili sasa utaweza ku Log in katika hiyo portal.
Kiufupi portal yao wamejitahidi kwa level yetu, iko simple na rahisi...
Habarini,
Leo katika shughuli zangu za kawaida nimekutana na hili jambo kwa askari wetu.
Walikua wawili katika pikipiki moja, lililonishangaza ni idadi ya silaha walizokua nazo, walikua na bunduki 3 wao wakiwa wawili.
Huyu wa nyuma alikua kabeba mbili, moja mbele moja nyuma, na wa mbele...
Habarini,
Camera yangu Powershot A2500 inasumbua lens haifunguki. Ukiiwasha inawaka na kujizima, nimejaribu kufuata yser manual ku-troubleshoot lakini nimeshindwa kabisa kuirekebisha.
Powershot ELPH 100 hii imezima ghafla, nimejaribu kubadili betri na njia nyingne za ku-troubleshoot...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.