Search results

  1. Ferruccio Lamborghini

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema Urusi inatumia silaha dhaifu katika vita

    Hahaha upo sahihi mzee, hata mimi niliwaza hivyohivyo.
  2. Ferruccio Lamborghini

    Picha: Watoto wetu wanazoeshwa ushoga kupitia cartoon

    Upinde mzee, tangu wakati wa Nuhu huko:D
  3. Ferruccio Lamborghini

    Kichekesho, Retaarh

    🤣🤣🤣
  4. Ferruccio Lamborghini

    Rais Samia amechagua njia sahihi kushusha bei mafuta

    RAIS Samia Suluhu Hassan, ameamua kulikabili sakata la mgogoro wa mafuta kwa kutoa maelekezo ya kujibana katika matumizi ya ndani ya Serikali. Kwa nini hii ndio njia sahihi? Nitaeleza; Wapo waliopendekeza kuondoa tozo mbalimbali kwenye mafuta ili bei ipungue. Ni mawazo lakini msaada wake upo...
  5. Ferruccio Lamborghini

    Kwa hili Rais anastahili pongezi

    NILIPATA kuandika miaka ya nyuma kuwa Tanzania inateswa na mambo makuu mawili; Ujuaji na ukosefu wa uadilifu. Mosi; watu wanajua sana. Sehemu yenye kuhitaji utaalamu, yule ambaye fani haimhusu anaweza kuzungumza na kuonekana anajua zaidi. Mwaka jana, Jumuiya ya Wanasheria Tanganyika (TLS)...
  6. Ferruccio Lamborghini

    Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

    Jamaa hajamkimbia makusudi, pengine jamaa alipata taarifa nyeti kutoka kwa CIA na FBI kuhusu A to Z za huyo demu Nakazia Bwana Wile ana ajenda ya siri
  7. Ferruccio Lamborghini

    Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

    Jamaa hajamkimbia makusudi, pengine jamaa alipata taarifa nyeti kutoka kwa CIA na FBI kuhusu A to Z za huyo demu
  8. Ferruccio Lamborghini

    Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

    Nakazia, William kaupiga mwingi sana mbaya zaidi kafanya come back ya kibabe. Ndugu Liverpool VPN una maoni gani kuhusu baharia mwenzetu bwana Wile?
  9. Ferruccio Lamborghini

    Mtoto wangu anataka kuniibia nimeona Dalili

    Mpeleke shule za private akasome hiyo PCM au PCB
  10. Ferruccio Lamborghini

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Kwenye swala la internet yenu ya fiber kwa mwezi unalipa kabla , mbadilike sana muwe kibiashara wenzenu wanakubali credit siku 30 ndio unalipa bill nyinyi hamna kabisa alafu wenzenu wanatuma reminder ya bill nyinyi hamtumi wala kumkumbusha mteja kama umenuunua 14 dec 2021 nyinyi ikifika 14 jan...
  11. Ferruccio Lamborghini

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL badilikeni kwakweli ,mnakuwa kero sana Huduma zenu hamtoi bure mjue hilo , watu wanalipia Yani mtu anaomba mje muunganishie fiber Internet na terminal yenu ipo mita 10 na alipo alafu office zenu zipo umbali wa vituo vya basi 4 na mteja alipo Mnachukua wiki zaidi ya mbili kuja kila siku...
  12. Ferruccio Lamborghini

    TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    Worst experience on internet & customer service in Arusha region, been 2 weeks my internet connection has been disconnected. Even after renewing my subscription no changes. And now no one is picking up calls.
Back
Top Bottom