Search results

  1. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Tunatofautiana uelewa
  2. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Hatuongelei Ubadhirifu na Ufisadi wala Kujua Thamani ya Rasirimali tulizonazo. Kuna Hela Za MCC tuliomba Tukanyimwa. Huo ndo mjadala. Kujitegemea tunakokuongelea Ndio huku, Kuendelea kufanya mambo ya Ajabu kwenye Demokrasia yetu mpaka Dunia inatushangaa.
  3. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Talk is Cheap, wataona impact yake hii Hela soon... saiv wanatafuta Cheap Popularity [emoji19]
  4. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Ona Huu unafiki. Tuainishe hapa Maeneo ambayo tunasaidiwa na Hawa Wazungu kama Mtaendelea kukumbuka Shuka Asubuhi? Mngekua hamtaki Hii misaada mngeacha kuomba na Mngesimama kuikosoa Serikali, Sio mpaka tunyimwe Baada Ya Kuomba Ndio Mjifanye Hamtaki Utegemezi.
  5. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Wait Until other Countries follow suit then utajua tofauti kati ya Marekani na Neno Jumuiya ya Kimataifa
  6. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    MCC is a good Idea, kama mchakato wake huko Senate na kwa Mama Hillary wali Lobby kwa faida yao Japo ikaangukia Tz FBI ikimaliza Kazi yake tutajua,Again toa Obsession zako na Lowasaa weka Politics Aside. Unabariki kilichotokea Zanzibar!? Hauoni Uonevu wa Cybercrime Law!? haya ni masuala madogo...
  7. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Misaada Bila Masharti! Misaada Bila Motive... hv hawa Wazungu tunawachukuliaje!? kwamba wanahela nyiiingi hazinaga Kazi wala hawazioneagi Uchungu. Nyie wenyewe ni mashahidi na fedha zenu hata kwa watoto na ndugu zenu. Mfano rahisi JPM Juzi kasema Mtoto anaesomeshwa Bure mpaka Form4 akapata...
  8. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    Hakuna Nchi Huru inayoamuliwa Mambo yake LKN Makubaliano ya Kimataifa kama wewe ni Nchi Shirika ukienda Kinyume Basi wenzako hawana Budi bali kukuonyesha kwa Vitendo ili Ikusaidie kubadilika. Kwa Nchi maskini kama Yetu tegemea Vikwazo vya Kiuchumi... Hii yote ni Catalyst Uamuzi ni wetu Mkuu!!
  9. Joshua Haji

    Tamko la TYP juu ya MCC

    TAMKO LA TYP JUU YA HATUA ILIYOFIKIWA NA BODI YA MCC KUSITISHA MISAADA YOTE NCHINI Tanzania Youth Patriots (TYP) Imepokea kwa Masikitiko Makubwa Taarifa ya Maamuzi ambayo Bodi ya MCC Imeyafikia hivi karibuni, ni dhahiri shairi kuwa hata kama tunaweza kupata fedha za kujihudumia kwenye maeneo...
  10. Joshua Haji

    Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Nani anaweza kusaidia kupata Takwimu sahihi ZA IDADI ya wananchi waliojiandikisha BVR Kwenye Mikoa ambayo Tayari zoezi limeshafanyika
  11. Joshua Haji

    Edward Lowassa: Mwanasiasa, mchapakazi, mfanyabiashara anayetabasamu!

    Hiyo sio wikileaks ya Julian Assange acheni kufanya watu wajinga ,tuwachomoleeni cables za Kweli za viongozi wenu na utumbo wanaoufanya ziwafurahishe macho ?kwa reference za uongo hutia shaka makala nzima ...
  12. Joshua Haji

    Urais 2015: Utapeli mkubwa waibuka.Vijana wa Lowassa wavamia sekta binafsi

    Duhh...hivi kuna Sababu gani ya mlipa kodi kuogopa vitisho kama hivyo ? JE Lowassa ni tishio kiasi hicho kuliko Dola iliyopo?nakosa majibu
  13. Joshua Haji

    Tathmini Ya Hali ya Kisiasa Toleo la kwanza

    Nani anaelekea kuvuka daraja ?
  14. Joshua Haji

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    sasa Okello utan'goa kucha Tanzania nzima ??maajabu hayo..Ni Uvivu wa kufikiri na uchache wa sifa za kunadi...wangetuona na sisi tuwasaidie mbinu mbadala
  15. Joshua Haji

    Kambi ya Lowassa yachanganyikiwa

    sijawahi ona ujinga kama huu ..team Lowassa wanaenda sehem magazeti hayafiki nyie mmekazania siasa za mjini..tujipange jamani Naskia hawa jamaa mjini washamaliza sasahv wapo Bush ,Bashe na Hemed wabaya sana !!
  16. Joshua Haji

    Kwanini Lowassa anakwepa kuzungumzia ufisadi?

    Hahahahaha....nimeipenda hio!!
Back
Top Bottom