Leo nimesoma kwenye website ya Kampuni ya simu ya Safaricom Kenya ambao tayari kwa kupitia Mwenyekiti Adil na MD Ndegwa wametoa matokeo ya utendaji kifedha kwa mwaka unaoishia 31st March, 2023.
Muhimu zaidi Safaricom wametangaza pia pendekezo la gawio la kes 0.62 kwa hisa.
Kwa upande wa...
Katika uongozi wake wa muda mfupi akiwa Msajiri wa Hazina Ndg. B. Mgonya alifanikiwa kutatua kero na malalamiko ya muda mrefu yaliyowakumba wastaafu wa mashirika ya umma yaliyobinafsishwa.
Kiongozi huyu ni mfano wa kuigwa kwa usikivu, busara na weledi kwa jinsi alivyotatua madai ya pensheni za...
Kwa kuteuliwa upya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera baada ya kukaa benchi zaidi ya mwaka, Chalamila hana budi kumshukuru mungu na kuitumia fursa hii ya kipekee.
Akiboronga amekwisha lakini akichapa kazi vizuri ataibuka kuwa mmoha wa viongozi bora siku za usoni. Kagera kwa sasa ni mkoa dormant...
Kwa ujumla hali za wafanyakazi na wastaafu kwa kipindi cha miaka 7 iliyopita ziliathirika sana kutokana na ukosefu wa nyongeza ya malipo hayo.
Baada ya tangazo la Rais Samia kuongeza mishahara kcc kwa asilimia 23.3% ni matarajio ya wastaafu kwamba serikali nao pia itawakumbuka na kutekeleza...
Kwa mara ya mwisho nyongeza ya kima cha chini kwa pensheni za wastaafu ilitekelezwa july mwaka 2015 kwa agizo la Waziri Wa Fedha Mh. Saada Mkuya kutoka ths.50,000/= hadi tsh.100,000/=.
Kwa kipindi chote cha awamu ya 5 marekebisho haya muhimu kwa maelfu ya wazee wa kitanzania waliotumikia taifa...
Wadau leo asubuhi kwenye luninga moja nimeona tangazo/hotuba la mgombea urais akijinadi huku ukitumika wimbo wa taifa (background soundtrack) kwa ala. Nimeona kitambo mbombea akitumia "mwenge" kwenye mabango, vipeperushi n.k. Kwa maoni yangu hizi ni alama za utambulisho wa taifa na umoja wetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.