Well said comrade. Kwa Tanzania mahitaji ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi bado ni safari ndefu. Kwa kadri madai ya haki za demokrasi ktk nchi yetu bado yanategemea utashi na fadhila ya Rais ambaye ni kada wa chama tawala tukubali nchi yetu yahitaji maombi.
Ndugu yangu pamoja na maelezo ya kishujaa ya mbunge wa Arusha bungeni kuhusu janga la kikotoo cha pensheni za wastaafu, sasa subiri siku ya Mei Mosi wiki chache zijazo utaona vyama vya wafanyakazi wanavyosifu viongozi wa serikali.
Baadhi ya viongozi hawa wengine wakiwa mawaziri wa muda mrefu...
Na katika hali hii kima cha chini cha pensheni kwa wastaafu imebaki kuwa Tshs. 100,000/= kwa mwezi tangu utawala ya Kikwete 2015 - miaka 9 iliyopita. Tunaambiwa eti wataalam wanaangalia hesabu za mifuko ya pensheni kuona kama kuna uwezekano wa kufanya mabadiriko, ambayo kiutaratibu yanatakiwa...
Pamoja na dhulma zote hizi dhidi ya wastaafu ambao walikuwa wafanyakazi wa umma, TUCTA siku zote wako mstari wa mbele kwenye maandamano ya sherehe za Mei mosi. Only in Tanzania! Shame on you tucta and other trade unions in Tanzania.
Hivi ni lini nchi yetu itakuwa na utaratibu wa kazi za aina hii kutangazwa ili watu wenye sifa/competence watume maombi na kushindanishwa kupitia mahojiano?? Utaratibu wa uteuzi umepitwa na wakati na unadumaza ufanisi ktk taasisi na mashirika ya umma.
Uamuzi wa RC Chalamila kuagiza wanajeshi kufagia barabara ili kuwatisha Chadema wasiandamane unastahili kulaaniwa na kila mpenda utawala bora na demokrasia. Ni hatua ya woga/cowardice na aibu. Wanajeshi wetu wasitumiwe kulinda udikteta wa CCM hasa kwa jambo jepesi la kudai mfumo bora wa...
Kwa mshangao mkubwa sana mjadala kuhusu tume huru ya uchaguzi umeigharimu nchi yetu muda mrefu na mabilioni ya fedha tangu enzi za tume ya Jaji Warioba zaidi ya miaka mitano iliyopita.
Nchi zote za kidemokrasia duniani hata mataifa jirani zetu wanazo tume huru za uchaguzi. Wenzetu Kenya...
Ukahaba ndo nini?? Watanzania wa jinsia ya kike hawana uhuru ktk nchi yao?? Kwa matukio haya ni vipengere vipi vya kisheria viongozi wanatumia ktk kuhangaika na hao wanaoitwa makahaba?
Hivi mimi nauliza wanasheria wa Tanzania hawana uhuru wa kuzungumza (freedom of speech) kama wenzao wa Kenya? Ni vema sasa wanasheria wetu wakatafute msaada kutoka kwa wenzao kenya ili waweze kuwa huru zaidi kusimamia taaluma yao. Its not right kwa wamasheria wetu kuwa harassed kila wakati...
Ndg. Kagasheki kwa nchi za ulimwengu wa tatu kama Tanzania na ambapo upinzani na Wabunge hawana meno, jitihada na style ya Makonda vyahitajika sana.
Hebu wewe jiulize ni vipi mkoa mkongwe kama Kagera tena unaopakana na nchi 3 hakuna Kituo cha basi wala Soko la Kisasa kama mikoa mingine? Wachina...
Msimamo na agizo hili linadhihirisha umakini na uhodari wa Makonda ktk kubainisha haki dhidi ya uonevu na ubaguzi wa muda mrefu kwa mkoa wa Kagera. CCM watavuna kura nyingi iwapo maagizo haya yatatekelezwa kwa wakati. Mikoa yote hata wilaya nyingi tyr zina vituo na masoko ya kisasa isipokuwa...
Ingekuwa uislamu ndiyo kigezo cha ustawi na uadilifu ni wazi nchi kama somalia, sudan, chad, mali, libya zingekuwa mbali kimaendeleo. Kwa sasa nchi hizi ndo zilizosambaratika zaidi Afrika. Upo hapo? Tuache udini na tuzingatie utendaji usioegemea itikadi za kidini bali merit. Umerudia mno kuwaita...
Ukweli ni kwamba huo ugalatia umejikita katika elimu na maendeleo kote duniani. Ndo maana zaidi ya 80% ya nchi zilizoendelea ni asili ya ugalatia. Jiulize kwa nini mataifa ya wagalatia yanaongoza kwa maendeleo. Jibu swali na fanya uchambuzi badala ya kulalamikia mifumo ya kidini tu.
Hawa wote wamepata vyeo na kazi kwa applicantions za maombi ya kazi zilipotangazwa au promotion on merit. Period. Ni tofauti kbs na teuzi za bodi ambao upendeleo wa kidini au kabila waweza kubainika. Try to be logical and analytical in your arguments.
Ni kweli na Rais Nyerere aliwahi kusema katiba ya tanzania inampa Rais mamlaka za kifalme na kisultani. Mathalani mapema mwaka huu tumeona Jaji wa Mahakama ya Rufaa akiteuliwa kuwa mshauri wa Rais Ikulu. Hapa izingatiwe kwamba serikali ina Wizara nzima ya katiba na sheria na Mwanasheria Mkuu wa...
Maadili popote pale hayawezi kuwa mbadala wa haki na uhuru wa kutoa maoni. Wanasheria ktk nchi jirani ya Kenya na popote ktk nchi za kidemokrasia wanatoa maoni yao na kuhutubia mikutano na hafla mbalimbali bila kubughudhiwa na mtu wala chombo chochote.
Ni mahakama pekee zenye mamlaka ya kutoa...
Kauli ya Rostam Aziz ilikuwa ni "wake up call" kwa mahakama za tanzania kujitathmini ktk utoaji haki na utendaji kazi wake na siyo mahakama ya kisutu peke yake. Watanzania wengi tulio na kesi mahakamani tungetamani mahakama zetu ziwe truly independent, fair and adhere to the rule of law...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.