Search results

  1. M

    Leo TRA wamepita mitaa ya Manzese na kuwataka wenye maduka bila kujali ukubwa wa duka kuweka EFD machine

    Leo TRA wamepita mitaa ya Manzese na kuwataka wenye maduka bila kujali ukubwa wa duka kuweka EFD machine na kuwalazimisha wafanya biashara kusaini form za kukubali kuweka hizo EFD katika kipindi kisichozidi siku tatu. Miongoni wa waliolazimishwa kusaini form hizo ni pamoja na saluni...
  2. M

    TANESCO, kwa nini mnakata umeme kila siku Ali Maua B, Kijitonyama?

    Sisi wakazi wa Ali Maua B, Kijitonyama tumekuwa tukisumbuliwa na tatizo la kukatika kwa umeme mara kwa mara na hasa nyakati za jioni giza linapoingia. Cha kushangaza wakati mwingine umeme hukatika zaidi ya mara kumi katika kipindi cha saa moja na wakati mwingine kila baada ya dakika mbili. Hii...
  3. M

    Ruvu Shooting ni Barcelona ya Bongo

    Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya number na matokeo ndio yakawa hivyo. Asanteni kwa kumbikiri Diara na sasa asubiri tu mimba za mapacha. I...
  4. M

    BYE BYE GOMEZ:

    Sikukubaliana na wewe katika mambo haya. 1. Kuwagawa wachezaji katika makundi mawili yaani hawa ni wa benchi la kudumu na wengine wanacheza mechi zote bila mapumziko na hovyo kuwafanya wachezaji hao kuwa ma-God father hapo kwenye club. 2. Kutaka kuanza kuingiza chembe chembe za u-franco fone...
  5. M

    Mpira ni biashara, biashara sio mpira

    Mpira huchezwa hadharani na pengo la ile biashara kichaa lilianza kudhihiri muda sasa achililia mbali pengo la Sven. All I can say Is, BYE BYE GOMEZ. Huna credentials za kuwa kocha wa Simba. That business was a monkey business. We miss you Konde Boy and CCC. Tottenham walikomaa na Harry Kane...
  6. M

    Wanasimba naomba mpite hapa niwaambie kitu (vitu)

    Tatizo lililopo hapa ni mfumo. Wachezaji walioondoka waliacha mfumo wa uchezaji ambao waliobaki wameshindwa kuufuata. Na hao walikuwa wanatengeneza rhythm ya timu na jinsi itakavyo flow na kushambulia. Kinachotakuwa kufanyika ni kurudi kwenye flow iliyozoeleka ya pira biriani la pasi nyingi...
  7. M

    MUGALU: Persona non grata

    Tafadhalini sana tuondoleeni huyu mcheza striker mkabaji na mcheza off side kila wakati kwenye club yetu kwani kazi ya kufunga magoli iliisha mshinda siku nyingi. Kiwango hana na hastahili kuchezea timu kama Simba.
  8. M

    Manara's Press: A pure conflict Of Interest:

    Maelezo yake yote yamejikita kwenye maslahi binafsi na imedhihirika kuwa yeye alikuwa anajihisi kama ni mkubwa kuliko Simba. Majigambo ya kila aina. What an ego centric individual. Tunashabikia Simba na sio Manara. Manara did not make Simba but the reverse is true. Apeleke huo u tia mchuzi pangu...
  9. M

    Messi - Iniesta as Chama-Miquisson: The duals

    Kuna habari zinasambaa mitandaoni kwa kasi sana kwamba ma-star wa Simba wanahitajika na timu kubwa barani Afrika kwa udi na uvumba. Na wengine wamethubutu kusema mpira ni biashara. Ni kweli mpira ni biashara but not at the expense of our club. Kumuondoa Chama na Konde Boy utakuwa ndio mwisho...
  10. M

    Mugalu Found Himself Finally

    Mimi ni miongoni mwa washabiki wa Simba ambao tulikuwa tunakerwa sana na jinsi Mugalu alivyokuwa anakosa magoli ya wazi awapo mchezoni. Lakini kwa yale magoli aliyofunga dhidi ya KMC jana ambayo ni classic, naona sasa amejielewa na angefanya hivyo tangu alipowasili, fainali ingekuwa yetu kama...
  11. M

    Tunamuhitaji Mkude huko Kigoma

    Yes ni mtovu wa nidhamu lakini tunamuhitaji kwenye mechi ya fainali ya FA tarehe 25/7/2021 huko Kigoma. Mkude anajua kucheza hizi mechi za Derby ya Kariakoo ukilinganisha na hawa wachezaji wa kigeni ambao hawajuwi maudhi ya kufungwa kwenye Derby na huuchukulia mchezo huo ni kama mechi tu ya...
  12. M

    Perfect Chikwende: What a waste!

    Hivi unakwenda kumnunua mchezaji wa kigeni kwa gharama kubwa na matokeo yake ni kumtupa bench kali bila hata kumpa game time! Kitendo hichi kinatoa image mbaya sana kwa club yetu na baadae tutakosa wachezaji kutokana na mtindo huu usiofaa na unaoua vipaji vya wachezaji. Sven alikuwa anajaribu...
  13. M

    Ndemla, we miss your long-range shoots

    Imekuwa ni muda mrefu sasa hatujakuona ukicheza katika timu yetu pendwa na tatizo sijui nini. Myself nai-miss sana ile mikwaju yako ya mbali ambayo katika timu yetu hiyo ni speciality yako tu na simuoni mchezaji mwingine kufanya hivyo. Wasiwasi wangu ni kuona kipaji hiki kinaweza kupotea na...
  14. M

    All My Teams Are Champions

    Natoa pongezi Kwa timu zangu tatu kwa kuwa mabingwa msimu huu 20/21. Timu hizo ni: Man. City------EPL. Atletico---------La Liga. Simba------------VPL.( UTO hawapindui meza). SIMBA SPORTS CLUB....UBINGWA UENDELEE.
  15. M

    MUGALU: Persona Non Grata

    Mchezaji huyu ameonyesha kiwango cha chini kabisa cha uchezaji ambacho hakilingani kabisa na hadhi ya Simba na hasa pale anapokosa magoli ya wazi mechi baada ya mechi. Waliofanya scouting walifanya makosa makubwa kumleta Simba na badala yake amekuwa akituletea machungu makubwa na pale anapo...
  16. M

    Miracle At "Lupaso"

    Dhana ya kwamba Simba watapindua matokeo ya mchezo wa marudiano pale Kwa Mkapa is very unlikely or simply hyperbolic. Lakini wenzetu husema, never say never, nothing is impossible under the sun. Iliisha wahi kutokea huko nyuma kati ya Simba na Mufulira Wanderers, why not now. Simba wajipange tu...
  17. M

    Trade Off: Simba Na Azam

    Wakati umefika sasa Simba na Azam wafanye makubaliano ili Simba wamchukue Dube na Azam wawachukue Kagere, Mugalu na Ajibu katika deal hilo. Kwangu nitaona ni sawa tu. Wewe je? Nawasilisha.
  18. M

    Yanga: A case Study

    Maamuzi waliyochukua Yanga yatakuja kuwagharimu siku za usoni ya kuwataka TFF kufuata kanuni kwa asilimia mia moja. Ipo siku Yanga watakuwa na dharura ya kweli kwa mfano kupata puncture au flat tire wakati wanakwenda uwanjani na hivyo kuwapigia simu TFF kusogeza mchezo mbele kutokana na dharura...
  19. M

    Sababu Ya Simba Kukosa Goli

    Kwa mtazamo wangu Chama alifanya makosa ya kumsubiri Miquissone asogee wakati Kagere alikuwa kwenye position nzuri tayari huku akiomba mpira kutoka kwa Chama. Matokeo yake shambulizi hilo lilikuja kuzaa offside dakika za lala salama.
  20. M

    Morrison na Miquison: Mchezaji aliyefanyiwa faulo nyingi kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara

    Wakati umefika sasa club ya Simba ichukue hatua za tahadhari kuwalinda wachezaji wake maana faulo wanazofanyiwa ni za hatari na zinaweza kupelekea kwa wachezaji hawa kupata madhara makubwa. Kwa Miqueson yeye hufanyiwa faulo hizo na kuinuka hapo hapo na hivyo kuwafanya marefa wetu wa Bongo...
Back
Top Bottom