Search results

  1. Bia yetu

    Vyombo vya ulinzi na usalama vya Tanzania katika mazoezi ya kawaida

    Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa amani duniani
  2. Bia yetu

    Ona mambo ya Magufuli nyanda za juu

    Rais Magufuli ameshindikana kwa kutuletea maendeleo Watanzania. Magufuli tano tena
  3. Bia yetu

    Uwanja wa Benjamin Mkapa anavyoonekana jioni ya leo

    Uwanja umependeza kwa ajili ya mechi ya kesho dhidi ya Burundi na Rwanda
  4. Bia yetu

    Wamarekani wamekalia kooni Pompeo kuhusu kauli yake ya chaguzi za Afrika

    Wananchi wa kawaida wa USA na viongozi wa kisiasa wamshukia kama mwewe Waziri wa kigeni mambo ya kigeni wa USA bwana mike pompeo. Pompeo ambaye anaonekana hajui chochote kuhusu Africa, wamarekani wamemwambia. Africa sio Nchi, shughulikia kwanza Uchaguzi wa USA. Wamemwambia inakuaje...
  5. Bia yetu

    Mshua katua, Dar es salam kusimama kesho

    Tukutane kwa Mkapa Tukamsikilize Mzalendo namba moja mchapakazi, kipenzi cha Watanzania
  6. Bia yetu

    Sugu afunika Mbeya

    Usiku wa deni haukawii Sugu uliwatenda nini watu wa mbeya mbona wamekukimbia
  7. Bia yetu

    Mgombea mwenza wa CHADEMA afunika kusini

    Chadema inakubalika sana [emoji16] Hizi picha zenye watu hamsini makamanda hatupendi kuziona[emoji16]
  8. Bia yetu

    Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

    Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu CHADEMA imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya CHADEMA Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama...
  9. Bia yetu

    Picha: Halima Mdee na mwenzake wafunika kwenye kampeni leo

    Hawa wawili ni wagombea ubunge majimbo mbali mbali hapa Tanzania Ukiwakuta Twitter wanakuambia tunashinda Urais
  10. Bia yetu

    Watanzania wengi hujiunga na CCM wakifikisha umri wa miaka 40 na kuendelea

    Ukiondoa chipukizi na UVCCM ambalo huandaliwa toka wakiwa wadogo kuja kuwa viongozi. Kuna kundi kubwa sana la Watanzania wakifikisha miaka 40 huamua kuwa Wanachama wa CCM kabla ya hapa hili kundi huwa halijishughulishi sana na siasa zaidi ya ushabiki wa mdogo mdogo tu. Makatibu wengi wa CCM...
  11. Bia yetu

    Uchaguzi 2020 Mbowe umekumbwa na nini?

    Toka kampeni zianze umekuwa mpole sana, hauna furaha, unafanya kampeni ili kukamilisha ratiba tu body language yako inaongea tatizo nini kaka? Nimekuzoea ukitema cheche cha kuchangamsha kampeni safari hii mbona umekuwa wa baridi kuliko 2015. Jana mtu mmoja aliniambia Mbowe alikuwa na furaha...
  12. Bia yetu

    Mahakama isimuite Lissu mahakamani hadi Uchaguzi uishe

    Huyu Lissu asiitwe mahakamani kipindi hichi cha kampeni, Uchaguzi ukiisha ataleta visingizio hakupata muda wa kampeni ndio maana ameshindwa Uchaguzi. Wamwache aende kila jimbo aropoke yote ili moyo wake upate amani. Baada ya kipigo Oktoba ndio arudi kwenye vimeo vyake.
  13. Bia yetu

    Uchaguzi 2020 Tuliwaonya CHADEMA mkimsimamisha Lissu ndio mtafutika rasmi Tanzania

    Watanzania Poleni kwa msiba mkubwa wa Baba yetu Ben Mkapa Chama na Taifa tumepata pigo kubwa hakika ni mwaka mgumu kwetu Watanzania Mwenyezi Mungu atupe subra pole nyingi ziende kwa Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania machozi yako pale uwanja wa uhuru yalituumiza Watanzania wengi ... Back to...
  14. Bia yetu

    Dodoma: Rais Magufuli akutana na Sekretarieti ya CCM, Mzee Mangula ndani

    Mwenyekiti wa CCM akiongea na baadhi ya wajumbe wa Sekretariet ya CCM Mambo safi, CCM imara chini ya Magufuli October ni kuteleza tu.
  15. Bia yetu

    CHADEMA yazidi kuteketea Kanda ya Ziwa, kada maarufu abwaga manyanga

    Pichani ni mwenyekiti wa Chadema mkoa wa simiyu aliyebwaga manyanga anaitwa Singibala akipokelewa na viongozi wa CCM Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa simiyu amekitosa rasmi chama hicho na kujiunga na chama cha kizalendo CCM Moja ya sababu kubwa aliyoianisha ni kuwa amechoshwa na tabia mbaya za...
  16. Bia yetu

    Pigo lingine kwa Tundu Lissu: Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Singida ajiunga na CCM

    Aliyekuwa Mwnyekiti wa Chadema mkoani Singida, Bwana Shabani Limu pamoja na viongozi wengine wawili wa chama hicho wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM Bwana Limu ambaye ameshika nafasi mbalimbali katika chama cha Chadema kwa kipichi cha takribani miaka 28 sasa amehamua kukihama chama...
  17. Bia yetu

    Msaada haraka kwa mwanachadema mwenzetu anapitia mateso makubwa

    Huyu dada alipata ajali katika harakati za kumtafuta kamanda mdude alivyopotea kipindi cha nyuma Ila bahati mbaya toka apate ajali hakuna kiongozi yeyote wa Chadema mkoani Mbeya aliyeenda hata kumpelekea sabuni ya kufulia nguo Ana muda mrefu hajatoka ndani Kwani miguu yake yote imekatika...
  18. Bia yetu

    Rais Magufuli ashiriki ujenzi wa Ikulu unaoendelea Chamwino

    Mchapakazi, Mzalendo Ashirikiana na vijana kujenga ikulu Vijana walipuka kwa furaha
  19. Bia yetu

    Rais Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri leo Ikulu ya Chamwino

    Social distance imezingatiwa Baraza la mawaziri
  20. Bia yetu

    Hii picha ya Mbowe inafikirisha sana! Usimuamini mtu

    Ni Mbowe yupo na wanandoa wawili yaani Suzanne Maselle na mume wake
Back
Top Bottom