Search results

  1. Numero Uno

    Makarani wa sensa kuigiza ni sahihi?

    Wakuu imekaaje hii ya makarani wa sensa kuchukuliwa clip ya maigizo wakati wa kuhesabu. Yaani karani anaenda kwa mtu maarufu then akimaliza kazi yake wanaanza kuchukua video ya kuchekesha, huo sio upotevu wa muda kweli?
  2. Numero Uno

    Wacha mbuzi mnahoji kuhusu jezi

    Wachambuzi wanahoji kuhusu jezi mpya za Simba kuchelewa kutoka mpaka Simba day ikikaribia na jezi bado hazijatoka. Wakati Yanga wanaanza msimu na kucheza mechi ya ligi msimu mpya na jezi ya zamani mbona mlikuwa kimya?
  3. Numero Uno

    Haijawi tokea pair bora ya viungo kama hawa

    Xavi,Iniesta,Busquets
  4. Numero Uno

    Bernard Morrisson ni mchezaji mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa akili

    Kama wewe ni mionhoni mwa watu wanaodhani kuwa BM3 ni mchezaji wa ovyo asiye na akili, basi tambua wewe ndio wa ovyo na usiye na akili mwenye IQ ndogo
  5. Numero Uno

    Member maarufu

    Kwema wakuu, Kwa wale memba maarufu humu wa mda mrefu mnaoheshimika kwenye michango yenu, Kama huna ufahamu wa jambo fulani usiwe unacomeent negative kwenye mabandiko ya watu, Baadhi ya watu wengine sijui ni uwezo mdogo wao wakiona mtu maarufu kacomment kitu wanamini ni kweli tu nao...
  6. Numero Uno

    Magari ya kifahari ya Wasanii wa Bongo

    Marioo toto bad, G wagon Young Lunya mbuzi, Range Rover
  7. Numero Uno

    Haji Manara umefuta post na comment screenshot zipo

    Kujipendekeza kote lakini wapi? Umefuta post na comment screenshot zipo
  8. Numero Uno

    Fair play

    Hii sasa ni chuki sio utani wa jadi Sababu ulikuwa simba ndio unatumia hiyo advantage ili watu waamini? Simba ilikuwa na team bora na imara sana wacha chuki zako sope
  9. Numero Uno

    Kero za wanaokuja kutazama mpira bar

    Nyie mnaokuja bar kutazama mpira kuweni wastaharabu na muziki wetu, Sio mnakuja kukaa masaa mawili na soda zenu za buku na mnataka mziki uzimwe. Nendeni vibanda umiza.
  10. Numero Uno

    Gari ambayo haijawai rudiwa rangi

    Msaada Nitaitambuaje gari amabyo haijawai rudiwa rangi?
  11. Numero Uno

    Kocha wa mpira

  12. Numero Uno

    Haji Manara ni mzima kweli?

    Haji manara vipi kuhusu goli la Joash Onyango dhidi ya gwambina? Vili kuhusu folul ya nnje ya box aliyocheza Joash Onyango dhidi ya Tusila Kisinda na mwamuzi akasema ni penati
  13. Numero Uno

    Makato ya kodi

    TANESCO makato ya kodi yanakatwaje Nimenunua umeme kwa kutumia namba za simu tofauti lakini namba zote zimekatwa Namba zote zimenunua umeme kwa meter moja kwanini nimekatwa kodi?
  14. Numero Uno

    Azam TV nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing. Andaeni na vipindi vya kuwaelimisha watu kuhusu mchezo huo

    Azam tv nawapongeza kwa kuandaa mapambano ya boxing na kusababisha mchezo huo kuwa na mashabiki wengi Ushauri wangu ni kuwa mnatakiwa muwe na kipindi ambacho kinatoa elimu ya boxing kwani watazamaji wenu wengi hawana uelewa na mchezo huu. Wanadhani ushindi ni mpaka mtu apigwe na kuanguka chini...
  15. Numero Uno

    Wakili msomi Bernard Morrison

    Tarehe 29 yanga mjiandae kwa kichapo kingine kutoka kwa Morrison Baada ya kesi mtawalalamikia TFF?
  16. Numero Uno

    Messi world cup winner 2022

    Kuelekea world cup 2022 nchini Qatar naona la pulga akitwaa medali ya dhahabu akiwa na umri wa miaka 35. Tuombe uzima tu
  17. Numero Uno

    Confederation cup final

    fanali ya kombe la shirikisho inapigwa leo Raja casablanka ya morocco vs Js kabliye ya algeria Mchezo upo unaendelea Raja anaongoza 2-0 kwa wale wazee wakubeti hii mechi itaisha hivi hivi wekeni mizigo
Back
Top Bottom