Search results

  1. N

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Bora ingekuwa aibu Kwa CCM Ila ni aibu Kwa Taifa letu Mtumishi WA umma kuthamini cheo kuliko uhai wa Mtanzania mwenzake ambaye si Jambazi wala mnyang'anyi
  2. N

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Ushuhuda wa kilichotokea hadi kifo chake

    Inasikitisha sana, Viongozi kuwa na hofu ya kupoteza nafasi zao, wanaona Bora binadamu mwenzake afe yeye abaki na cheo chake
  3. N

    Jaji Warioba: Miaka yote watu wanaelewa kujaza fomu, lakini 2020 ghafla hawajui. Siasa inataka kuingia kwenye Dini

    Ni ujumbe mzuri sana, Mzee jaji Warioba Mungu aendelee kukujalia Afya njema, nasi tuendelee kufaidi busara zako
  4. N

    Wanasheria, TLS na Wanaharakati ingilieni kesi ya Mbowe na wenzake ili haki itendeke

    Kila Mtanzania anatakiwa kutendewa Kadri Sheria inavyotaka. Watanzania wapenda haki huwa wanaumia sana pale mtu yeyote anavyotendewa kinyume na Sheria. Watanzania wengi wanateseka sana Kwa kuonewa na ndo maana ukifuatilia hizi kesi utaona tuhuma zisizo za Msingi Wala maslahi Kwa Watanzania Ila...
  5. N

    Godbless Lema amuonya Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai

    Siyo kila neno la kudharauliwa
  6. N

    The Lucifer effect "Watawala bora wanapogeuka kuwa Mashetani

    Sheria ipi na kifungu gani itakuwa imevunjwa mkuu?
  7. N

    Ni aibu na fedhea mtoto wa CHADEMA kuishi kwenye hosteli za Magufuli

    Kwani hawakulipa Kodi wakati huo Mkuu? Sisi wote ni Watanzania hatutakiwi kubaguana. Tunapaswa kuijenga Nchi yetu Kwa pamoja
  8. N

    Naibu Waziri Mabula: Katiba Mpya sio kipaumbele cha wananchi, Wananchi wanahitaji maendeleo

    Ikiwa kweli ni maoni ya wananchi ni Sawa, Lakini swali ni Huyu mheshimiwa kajuaje kwamba katiba mpya siyo kipaumbele cha wananchi? Yeye hizi taarifa kaipata wapi, kawahoji wananchi wangapi? Isije ikawa ni hisia zake na siyo maoni ya wananchi.
  9. N

    Kwanini CHADEMA wanataka Rais Samia amwachie Mbowe badala ya kumtaka DPP? Je, hawaijui katiba ya JMT?

    Katiba yetu inamruhusu Rais kuingilia maamuzi ya mahakama bila kuhojiwa na yeyote (Ibara 45:1(a-d). Pengine ndo maana wanamtaka Rais afanye hivyo
  10. N

    Hayati Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini kama sasa

    Naona hii inaweza kutupeleka kwenye RICHMOND nyingine. Sielewi kwanini Watanzania tunafanya kazi Kwa kusoma upepo wa watawala na si uzalendo dhidi Taifa letu.
  11. N

    Serikali inavyowakomoa walimu

    Kuna watu Wana Diploma na wengine Bachelor ndiyo wamepata uteuzi katika Ofisi za serikali. Kwa Nchi yetu kinachoangaliwa ni unafahamiana na nani? He Una ndugu yako au rafiki yako anayeweza kukusemea? Vinginevyo turidhike kufanya kazi popote Kwa ajili ya Watanzania wenzetu. Ni vema vyombo...
  12. N

    Spika Ndugai: Bunge lisilaumiwe kwa kupitisha sheria ambazo baada ya muda mfupi zinarudishwa bungeni kufanyiwa marekebisho

    Mkuu umenena. Ni vema wawakilishi wetu wawe makini, wasipitishe hizi kanuni na Sheria kishabiki na Kwa Lengo la kuwaumiza wengine, kwani ipo siku itawaumiza na wao. Ni vema wakaangalia maslahi ya Taifa letu
  13. N

    Gari la mbunge wa Songwe lachomwa moto na watu wasiojulikana

    Mheshimiwa Mbunge Hana mlinzi WA nyumbani?
  14. N

    BAWACHA kuwapeleka Mahakamani wabunge 19 waliofutwa uanachama CHADEMA

    Kuwalipa Wawakilishi wasio na dhamana ya Chama chochote cha siasa Kwa kutumia Fedha za umma sidhani kama ni Sawa, labda Tu Kwa Matumizi mabaya ya madaraka inawezekana
  15. N

    BAWACHA kuwapeleka Mahakamani wabunge 19 waliofutwa uanachama CHADEMA

    Mi Mimi nadhani pia Ofisi ya Bunge ina kesi ya kuijibu Kwa Matumizi mabaya ya Fedha za umma
  16. N

    CHADEMA mnachukua ruzuku ya nini wakati Wabunge 19 mmewafukuza?

    Jambo la Msingi ni kwanini Katiba ikiukwe Kwa ajili ya kuinufaisha chama au kikundi fulani cha watu? Katiba na kanuni zetu zimesema mwakilishi WA wananchi lazima adhaminiwe na Chama cha siasa, sasa Hawa hawana dhamana ya Chama chochote cha siasa lakini wanalipwa stahiki za kibunge na Spika na...
  17. N

    Serikali mmetunyima haki ya kumuombea Magufuli, kwa kutunyima taarifa za kuumwa kwake

    Watanzania wangefunga Kwa Maombi pengine Mwenyezi Mungu angechelewesha hili kutokea. Sina hakika kama Watanzania wote hatumpendi JPM. Wasaidizi wa Rais ni vema hili lisitokee wakati mwingine. Hamkututendea hali Watanzania
  18. N

    Shule zote za serikali za msingi zibadilishwe kuwa English Medium

    Lakini lengo la kuwapatia watoto wetu maarifa ni nini? Hayo maarifa wakayatumie wapi nje au ndani ya nchi yetu. Lugha yetu ya Taifa ni ipi? Tusiige kila kitu, kwanini tunapenda kukuza utamaduni wa wenzetu, tunapuuza WA kwetu?
  19. N

    Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Subiri miradi mikubwa ya kimkakati ikamilike. Vinginevyo tuone uwezekano baada ya 2025
  20. N

    Dkt. Dorothy Gwajima: Kama unataka nitumbuliwe ili uchukue nafasi yangu, fanya kazi zaidi yangu sio ufitini

    Mwache afanye anavyotaka, yenye si ndo boss au? Wewe umemwona huyo tu? Mbona Mambo mengi yanaenda ndivyo sivyo, tutulie, tuifanye kazi kila mmoja atimize wajibu wake
Back
Top Bottom