Search results

  1. rushanju

    Unajifunza nini ukiitizama picha hii?

    Iliitwa URAFIKI WA MASHAKA
  2. rushanju

    Mliopo Dar es Salaam kuna kitu kinapita maeneo yenu angani

    Kigamboni usawa wa Kimbiji kimepita hapahapa
  3. rushanju

    Dokta Greyson: Kutembea bila ya viatu (Peku) kunaongeza nguvu za kiume

    Tuambiwe udogo gani? Mfinyanzi.au mchanga. Kama siyo mfinyanzi naomba nipate taarifa ili niame nitoke Kigoma haraka
  4. rushanju

    Internet ya starlink inafanya kazi tanzania tatizo ISP Starlink ni vikwazo na sheria wala sio huduma

    Endelea kutiririka mkuu. Tunaweza kukipataje na angent atapatikanaje.
  5. rushanju

    Paul Makonda awajibu wanaosema anafanya majukumu yasiyo yake, asema fanya yako nami nafanya yangu

    Kibwagizo cha kuacha namba yako ya siku kila post yako kinaniacha hoi.. Halafu hao unaowasubiri wakupe shavu hawamo humu JF
  6. rushanju

    Kamati ya Bunge yapendekeza isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi

    Mbona unakimbilia kumsifia Mama wakati hayo yamependekezwa na kamati ya bunge. Nadhani kwasababu hiyo kamati haina uwezo wa kuteua
  7. rushanju

    Kamati ya Bunge yapendekeza isiwe lazima kwa Wakurugenzi wa Halmashauri, Miji na Majiji kusimamia Uchaguzi

    Kwako wewe sishangai, hata kama angetaka waendelee kusimamia uxhaguzi bado unhekuja hapa kusifia na kuacha namba zako hapa. Itachukuwa muda kujitambua.
  8. rushanju

    Bandari imemshinda rais akapewa mwarabu, je na umeme nao umemshinda?

    Uko sahihi kwa % kubwa sana. Wakitaka kuuza shirika huwa wanalifanyia figisu sana na baadae wanauza mazima
  9. rushanju

    Bandari imemshinda rais akapewa mwarabu, je na umeme nao umemshinda?

    Sababu waTanzania tunaweza kuambiwa lolote na kifanyiwa lolote bila ya kuhoji. Hili nalo litapita. Wabunge wote wanasubiri uteuzi hakuna wa kuhoji
  10. rushanju

    DOKEZO Gharama za kuegesha gari Hospitali ya Muhimbili ni kubwa na zinaumiza

    Na kadri siku zinavokwenda watanogewa zaidi na watapandisha zaidi maana hakuna wa kututetea kwa sasa
  11. rushanju

    Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Kuna dawa tayari aina mbili zimetengezwa na majaribio yanafanywa na nadhani ndani ya mwaka huu watakuwa na jawabu halisi
  12. rushanju

    Serikali iunganishe Dar na Pwani uwe mkoa mmoja uitwe Dar ili watu wazidi kusogea nje ya mji

    Tunalifanyia kazi. Isije ikawa wewe ukawa huku serikalini na umeliiba mezani hili wazo
  13. rushanju

    Mzazi kumpenda mtoto kupitiliza kunaharibu malezi ya mtoto

    Na hii ndo inaharibu taifa kwa ujumla
  14. rushanju

    Kwa bajeti Tsh. 250,000/- napata TV gani nzuri?

    Nadhani siyo jibu ambalo alitegemea. Kukaa kimya ingesaidia kuliko kuaniaka mapungufu yako
  15. rushanju

    Dar: Wananchi wamelalamikia kujengwa kwa Kituo cha kuuza mafuta cha Barrel Petrol Station karibu na makazi yao

    Juzi juzi mafuriko ya Hanang nasikia wahanga wote wanafidiwa. Ilipotokea maafa ya tetemeko Kagera tuliambiwa hajaletwa na CCM au Serikali. Sasa wakati mwingine setkali nayo inachangia kuididimiza Kagera kwa makusudi kabisa
  16. rushanju

    Watanzania wengi wana akili za Kitoto!

    Wa kwanza huyo ambae akili zake ni za kitoto. We subiri watukuja wengi tu. ....Next......
  17. rushanju

    Kama Hamas wanaamini katika Uislamu wanawezaje kumuua mtu wanayehisi ni Al-Shabaab (Muislamu)?

    Hamas wametukosea sana watanzania na walimwengu wapenda amani. Hawawezi kusafishika kwa propaganda yoyote..
Back
Top Bottom