Search results

  1. Cathode Rays

    Hongera Mama Kiwanga, Ahsante Magufuli

    Ndugu wana-forum, Nimeona hii video clip ya Mama Mkiwa Adam Kimwanga akiishauri Serikali ya awamu ya 4 katika bunge lililopita, kuzuia sherehe ambazo zinagharimu fedha nyingi za walipa kodi pasi na manufaa yoyote....hata hivyo hili halikueleweka Pongezi zikufikie mama, japo hukusikiwa...
  2. Cathode Rays

    Naomba Serikali iweze kutuondolea tozo ya Paye

    Kwa kiroho safi kabisa, ama kwa hakika sikukutilia shaka lakini sikuona namna gani utalimudu genge la majambazi ya mali za Umma yaliyokuwa yakihifadhiwa na chama chako cha CCM Kwa speed uliyoikamata sasa sina mashaka tena, Majambazi haya yalinifanya nikiangalia yale malaki mengi ninayolipa...
  3. Cathode Rays

    Hii ndiyo tafsiri ya Maisha baada ya Uchaguzi??

    Inawezekana sijaelewa vizuri
  4. Cathode Rays

    Mawakala na Hatma ya Uchaguzi

    Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi Section 70 kila Mgombea (siyo chama/au vyama vilivyosimamisha mgombea bali mgombea mwenyewe - stand to be corrected - mf kama UKAWA wana Mgombea mmoja siyo vyama vyote vinavyounda UKAWA vitatoa mwakilishi bali ni Mgombea ataweka mwakilishi) ana wajibu wa...
  5. Cathode Rays

    Misingi ya Siasa Safi: Tunairudiaje Kama Taifa?

    Natamani kuona kama nchi tunarudi kwenye misingi ya demokrasia inayojengwa chini ya Siasa Safi... Mwalimu alisema ili nchi iendelee inahitaji; pamoja ma mambo mengine; Siasa Safi...siyo tu Siasa bali SIASA SAFI Misingi ambayo anaepewa ridhaa ya kuliongoza taifa hili anatokana na ushindi/ridhaa...
  6. Cathode Rays

    YA NARC NA MWAI KIBAKI...Je UKAWA/LOWASA wana la Kujifunza??

    Siasa za Kenya za Mwaka 2002 ni miongoni mwa siasa zilizokuwa na msisimko wa aina yake katika Ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mwaka ambao KANU iliondolewa madarakani Rasmi na Wakenya na hatimaye kufifia katika ulimwengu wa siasa. Hata hivyo uchaguzi huu, pamoja na kuwa Wakenya wengi walishachoka...
  7. Cathode Rays

    Kituo cha Kujifunza Kupiga Vyombo vya Music Morogoro

    Habarini wandugu, Hivi karibuni familia yangu imepata zawadi ya Keyboard kutoka rafiki yetu anayeishi nje, hivyo ningependa kufahamu kama kuna kituo cha kujifunza niweze kutumia muda wangu wa jioni baada ya kazi kwenda kujifunza kwa matumizi ya familia Nitashukuru kwa anayefahamu kama kipo...
  8. Cathode Rays

    Picha ya Msimu

    Ni ukweli uliodhahiri
  9. Cathode Rays

    Tukubali tukatae, CCM hofu imewatanda...ushindani kisiasa umekuwa mkubwa

    Kwanza nianze kwa lakini nimebahatika kushuhudia siasa za Tanzania toka enzi za chama kimoja nikiwa Monduli nikishuhudia siasa za Mzee Moloimeti na hata Mtifuano wake na Mzee Lowassa mwaka 1995 Nimeshuhudia pia chaguzi nyingi za ngazi za chini (serikali za mitaa) kama vile wenyeviti wa Mitaa na...
  10. Cathode Rays

    Sera ya Taifa ya Senene....Bila hivyo 2015 hapatoshi

    Tunataka sera ya taifa ya Nsenene... Kwa nini serikali hawaoni hili...... Infwact, Hivi serikali hawajui wakiwekeza kwenye viumbe hawa tukaanza kusafirisha nje ya nchi kama kule Kentucky kwa Rwechungura, Massachusetts kwa Rugemalila, Oxford ambako mwanangu Kokuberwa "anachukua" ile Masters...
  11. Cathode Rays

    Maandalizi ya Kupokea Kijacho....Maoni, Mitazamo na Ushauri

    Wapendwa wangu MMU, Jukwaa hili lilikuwa manufaa sana kwangu wakati wa kujiandaa kuingia kwenye ndoa mpaka sasa nikiwa kwenye ndoa na furaha zote....those practical experiences you shared are of great value Leo nakuja kivingine....Ni "matokeo" ya ndoa yangu Mungu amenijaalia na mke wangu ni...
  12. Cathode Rays

    Kwa Wanandoa Wote...With Love and Care

    Huu ni ujumbe wangu wa furaha na Upendo kwa Wanachama wote wa TAMU (Tanzania Married Union) - JF Wing Karibuni sana tupate ujumbe huu kutoka kwa Ambwene Mwasongwe...kuna ujumbe mzuri kwa wote Furahieni kipindi cha ndoa maana ni kifupi na huwezi jua lini waweza pumzika.. Kwa wale wanachama wa...
  13. Cathode Rays

    Back from Honeymoon

    Wapendwa wana MMU, Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifanikisha na kunivusha katika hatua ya muhimu kwenye maisha yangu mnamo siku ya tarehe 24/11 ambapo nilijipatia mwenza wa maisha huko mkoani Tanga. Kama ndoto lakini imekuwa kweli na sasa siko peke yangu tena bali tu "wawili...
  14. Cathode Rays

    God is faithful; At last, kwa heri Ubachela

    Wapendwa wana familia wa JF, Napenda kuchukua nafasi hii kwanza kumshukuru Mwenye enzi yote kwa maisha yangu yote nilipokuwa kwenye kambi ya mabachela kwa miongo mitatu iliyopita Hatimaye sasa imetosha na zimebaki siku 5 tu kuagana rasmi na kambi hii ya mabechela pale ambapo tarehe 24/11...
  15. Cathode Rays

    Wewe zitto wewe!!!! Ohooooooo!!!

    Wewe bwana mudogo najua iko humu JF wewe, Haya mambo yako ya uchokonozi haya wewe mtoto sio mazuri, Unajua kabisa kuwa sasa hivi watu tuko kwenye puresha ndani ya kyama yetu ya Mabinuzi lakini bado unaleta masikhara na chokochoko....Eeeehh, kwani ungesubiri tumalize Dodoma ukaja bunge lijalo...
  16. Cathode Rays

    Kwa Auditors walioko Arusha na viunga vyake

    Habari za majukumu ndugu zangu.. Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali (NGO) mkoani Arusha inayojishughulisha na kutoa huduma kwa watoto wa mazingira hatarishi ambao wanatafuta firm inayotambulika ili kuwapatia huduma ya Auditing. Please, kama kuna anayeweza kunisaidia katika hili ani-PM then...
  17. Cathode Rays

    Indians to burn Walmart

    Plans for #Walmart in India fuel divisive #FDI debate - storyful Many of those opposed to #FDI are linking to this 2003 article by Richard Freeman: Global retail chains pushed for years to enter one of the world's fastest-growing retail markets and finally secured the breakthrough last...
  18. Cathode Rays

    Who are your parents to you?

    Habari zenu ndugu zangu, Ukweli usiopinga ni kuwa mzazi (bila kujalisha alivyo) ana sehemu kubwa na ya muhimu kwenye maisha yako katika ujumla wake. Nimelia sana leo baada ya kumuona mama mmoja leo nikitoka kanisani akilia msaada kwa kuwa anaumwa na watoto wake walipo hawana habari nae...
  19. Cathode Rays

    How Long, Not Long; Martin Luther Jr

    Wadau nimeona niwamegee vipande vya hotuba ya Martin Luther King Jr wakati huu tunapoutafuta UTU na UTAIFA wetu tena (A Call to Conscience) . Ni hotuba yake ya Tarehe 25 March 1965, Montgomery, Alabama iitwayo "Our God is Marching On" au maarufu zaidi kama "How Long, Not Long" . Unaweza...
  20. Cathode Rays

    Invitation to tender

    Ndugu habari za shughuli, Kwenye taasisi ninayofanya kazi tuna mpango wa kufanya ujenzi wa majengo kadha wa kadha ikiwamo majengo ya utawala kwa fedha yenye thamani kama ya 160M na nilipenda kama mngenisaidia kupata document simple to kwa ajili ya tendering. Naamini kupata msaada wenu kwa...
Back
Top Bottom