Search results

  1. S

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    Kila muosha huoshwa wako wapi kina Gadafi? ......mungu wetu anaweza nchi hii si ya ccm tu bali ya wa TZ iko siku kitaeleweka .....simbali jamani, Dr ulimboka Mungu atakupigania tu nitafunga na kuomba kwa ajili hii.......
  2. S

    Hukumu ya KESI inayomkabili John Mnyika (jimbo la Ubungo, submission leo)

    NIMEFURAHISHWA SANA NA HII HATA WASEME MNYIKA HARUHUSIWI KUGOMBEA UBUNGO MAGAMBA HAWATA CHOMOKA , HAPA UBUNGO WENYEJI WAMEENDA SHULE 95% NA 100% YA WANAO HAMIA NI WASOMI JE NISOMI GAN ANAE PIGIA KURA MAGAMBA? (mkuu by the way M4C ndo nini Thanks)
  3. S

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    naunga mkono wazo lako hao wabunge wa cdm ambao hapo dodoma waitwe faster ikiwezekana helcopter iwafuate tukomboe nchi hii iwe fundisho kwa uozo wa serekali chama hakitatupeleka popote.
  4. S

    Wabunge kupiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu Pinda?

    Duh hakika wa TZ , Tuna weza tuunge mkono wabunge wanaopenda nchi yetu yote yanawezekana, tuewke pempeni uchama jamani ............
  5. S

    Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

    Wakuu ikiwezekana lowasa akichomoka asiguse chadema yetu atatuharibia MOVE zetu.
  6. S

    RC Arusha vs kituo cha redio kilichomhoji Lema

    "Jambo la msingi ni hicho kituo cha redio kitueleze wazi wazi mahojiano yao" Wakuu muelewe kwamba RC wapya walioteuliwa na JK wamepewa special deal ya kupambana na CHADEMA na kuvunja nguvu ya mzee wa Richmond kwa hiyo ni lazima huyo RC wa Arusha apambane vilivyo ili kulipa fadhila. Arusha kuweni...
  7. S

    KATIBA: Salim, Warioba wakutana na Dr. Slaa

    Kosa ni kurudia kosa, CCM walimpitisha JK kwa fitina zao wakamwacha Salim! Watanzania tusimamie katiba mpya kwa usahihi ili tulete mabadiliko ya ukweli. Ili hata mgombea binafsi ikiwezekana awepoo. Nguvu ya Umma oyee.................
  8. S

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    .........Tehetehe...teh.....mkuu hivi isue ya gamba bado ipo? ...usin vunje mbavu mie... Hakika patachimbika huyu jk mi sijui kama analala usingizi napata mashaka sana.................
  9. S

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    Jk Afaham kwamba nchi haitawalaki tena ashauriwe na washkaji kwamba wapo wanao mdanganya zaidi .... maandamano ZNZ,WANAHARAKATI,CHUO KIKUU ,WAMACHINGA SASA CHADEMA NA NCCR- MAGEUZI. ni wazi hatuna police wakutosha kama mimi ningekuwa jk ninge waita chadema nikawasikiliza hoja zao then tuepushe...
  10. S

    Kwa mwendo huu hata uchaguzi ukifanyika nyumbani kwa Dr Slaa bado CCM watashinda tu.

    .......... Uwezo wako kufikiri ni mdogo sana ndo maana watu wanatoa hoja wewe unatukana hata gadafi aliwaita wale jamaa panya na waziri membe akasema ........"nchi haitekwi kwa pick up ni wahuni hao" yakowapi leo ....?
  11. S

    Omari Nundu: Stand up and be counted!

    ......Ndugu zangu Hapa hakuna cha NUNDU wala Mkia tatizo Sekali haina uwajibikaji kuanzia juu watu hawafanyikazi NIkucheka cheka tu nanii umesikia anawajibisha mwingine? labda magufuli .....na hata huko rais na hata pinda wana mwonea wivu TZ imeoza sehem kibao ..Pale mtu anachukua passport yako...
  12. S

    Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    ..........Ndugu yangu umenena uwezo wa wananchi kuelewa ukochini sana tizama sisi tunaodhani twaelewa hatujui tofauti ya chama na serekali MEMBE BENARD hajatoa msimamo wa CCM ametoa msimamo wa serekali DAVID CAMERON ametoa msimamomo UK. haya ya chama ni USHAMBA wetu.
  13. S

    Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

    Jambo kubwa hapa ni kushikamana tumsifu Mh kikwete kama kweli kaukataa ushoga, lakini Busara itumike tena kwa makini kabisa ilii Ktk KATIBA MPYA ITAMKWE WAZI NO USHOGA hapa ndipo tutakapo piga bao Mh kikwete RUHUSU katiba ipitiwe na wadau wote ONDOA usa nii katika mambo mazito ili Tujenge...
  14. S

    Hatma ya Katiba Mpya: Kikwete na Karata ya Kisiasa Kuangamiza Taifa 2011

    Jambo la msingi hao chadema watuhamasishe wananch wote ili tupate katiba mpya mapema waandae mkutano wa chama watoe maadhimio yao ili wanchi wajue msimamo wa chama chao na wasisahau tunaotaka mabadiliko ni wote c chadema tu.....
  15. S

    Hatma ya Katiba Mpya: Kikwete na Karata ya Kisiasa Kuangamiza Taifa 2011

    Hakika wa TZ tunaitaka CHADEMA isimame imara kama wanavyoungwa mkono na wanchi walio na uelewa Tena chadema wasifikiri wao ndo bora sana nawakumbusha palikuwa na NCCR mageuzi ikaja CUF ya ukweli sasa ni CHADEMA tunataka Dr slaa na mbowe Msimame imara tupate katiba mpya sio mfikiri kwenda...
Back
Top Bottom