Search results

  1. onjwayo

    Kadogosa: Tumetumia umeme wa 336,000 kwenda na kurudi Dar - Morogoro

    Mmmmmm kumbe haijafika bilioni
  2. onjwayo

    Msafara mrefu wa magari ziara za Mbowe ni kufuru, Chama kifanye mapitio

    Vipi ni magari ya serikali ???? Nenda usimame barabarani uyapunguze
  3. onjwayo

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Kabisa huyu ni mjumbe wa nchi ya dili
  4. onjwayo

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Dili Sasa ameenda Vatican Ili kumuunga mama na mjumbe wa Mungu
  5. onjwayo

    Nitajiunga CCM Makonda akiwaita wanajeshi kama anavyowaita Mawaziri

    Nani anakudanganya......saa zingine.....
  6. onjwayo

    Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA), Felista Njau aeleza namna alivyotumia pesa kupata Ubunge na kwenda kuapa Dodoma kwa siri

    Hii clip inatosha kabisa muda huu kuwa awe ameshahojiwa Takukuru na baadaye kupandishwa kizimbani kwa kutoa rushwa. Nasubiri watu wa haki za binadamu kumuwajibisha kama Takukuru watazembea
  7. onjwayo

    Tanganyika ni nchi inayotumikishwa kwa kivuli cha Tanzania?

    Ukitaka kuhakiki maneno yako nenda Sasa hivi Zanzibar uone kwa macho yako maendeleo yaliyofanyika mara baada ya kifo cha Magufuli. Hapo ndipo utaona utamu wa muungano kwa Zanzibar
  8. onjwayo

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashitushwa na utitiri wa watu katika ziara za Paul Makonda wakilalamikia kudhulumiwa haki zao na kutekwa kwa ndugu zao

    Watanzania wanasubiri kitu kimoja tu hadi Sasa nacho ni kukibwaga chini Chama Cha mapinduzi na kuanza moja. Wamekata tamaa kwenda polisi na mahakamani.
  9. onjwayo

    Rais Samia hapaswi kugombea 2025 akigombea tumkatae

    Walimu na bodaboda wanachangishana fedha kumchukulia fomu mbona hajakataa.
  10. onjwayo

    Anachokifanya Makonda ni ushahidi tosha serikali Iko usingizini

    Pita pita na mikiki mikiki ya Makonda Kila kukicha ni kuivua uchi serikali ya Chama chake. Ni kama huko ndani ya serikali ni uonevu na dharau dhidi ya kada ya chini. Malalamiko ya wananchi ni mengi mnoooooo. Zaidi ni madai ya kudhulumiwa na kunyanyaswa either na vyombo vya Dola au watendaji...
  11. onjwayo

    Chama cha Mapinduzi chaanza kukabidhi Ilani Mpya Kwenye Matawi Nchi Nzima

    Wizi tu bila majeshi hawawezi kushindana na watu kwa hoja
  12. onjwayo

    Rais Samia aache kukwepa majukumu

    Yap watuambie ni kina nani hawo wahamiaji haramu na nafasi zao ni zipi watimuliwe na kuwajibishwa
  13. onjwayo

    Waziri wa michezo aachane na kuingilia maandalizi mechi stars

    Watia Hamasa mmmm!!!! Hapo ndipo nilijua Hamasa kwenye mpira ni tofauti na kupanua mdomo kampeni za ccm
  14. onjwayo

    Ushahidi wa Vyama mamluki kuhongwa ili kuishambulia Chadema Kuwekwa hadharani

    Hata midomo Yao ilioonyesha kuhongwa
  15. onjwayo

    Tanzania bingwa AFCON 2024

    Mmmmm hadi nasonya
  16. onjwayo

    Waziri wa michezo aachane na kuingilia maandalizi mechi stars

    Mlioko jirani au huko Ivory Coast mwambieni waziri aachane na tabia ya kuingilia maandalizi mechi ya Taifa Stars. Mara ampigie simu rais ni kuwavuruga wachezaji. Yeye kama ana Nia njema aweke mazingira Vijana wakuzwe vipaji kwa kuandaa mazingira salama na motivation kadhaa. Sioni kama Nia...
Back
Top Bottom