Search results

  1. opala

    Mimba nje ya kizazi

    Ectopic pregnancy inasababishwa na vitu vingi mkuu hazihusiani na mbegu za mwanamme
  2. opala

    Vijana ambao hamjaoa, kama wewe sio kijana wa Kijita usije kujichanganya ukaoa binti wa Kijita

    Mama yangu aliniambia nikimleta mwanamke Wa kijita kwako...nisimjue kama hata mama yake mpaka akaniapia.. Yote yote kwa yote aliyoyaongea mtoa mada ni ukweli asilimia mia moja... Baba yangu mdogo alioa mjita tayari tushamzika kaachiwa nyumba kubwa tu na hata mtoto hawakufika kuzaa...
  3. opala

    Je hii ni adabu? Naoa kesho.

    Chai zilianza muda sana
  4. opala

    FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Mkuu una haraka ya kupost
  5. opala

    Mechi ya kwanza Arsenal kupoteza itakua dhidi ya Man united

    braza seleman nakusalimia...salamaleko
  6. opala

    Nauliza hili linawezekana kweli

    Mpaka amekutongoza ujue kaona mnafanana, wanaume huwa tunatongoza wanawake tunaowamudu ... Kwa hiyo hio ni type yako kabisa
  7. opala

    Naombeni ushauri kaka na dada zangu

    Anasema wanamshobokea wenyewe
  8. opala

    Naombeni ushauri kaka na dada zangu

    dogo mwenyewe hata kazi hana yani hapa ndio naona wanawake akili hawana... dogo ni baro baro tu kamaliza mwaka Jana form four.. Just imagine mpk mwanamke wa miaka 30 kadanganywa vzr tu kweli mwanaume ni mwanaume[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. opala

    Naombeni ushauri kaka na dada zangu

    Kuna kijana wa 2005 huku mtaani kawapa mimba wasichana watatu kwa mpigo.. Msichana wa kwanza mimba miezi 8 Msichana wa pili mimba miezi 6 Mwanamke wa tatu anamiaka 30 mimba yake ina miezi 3.. Kuna madogo wako vzr
  10. opala

    Umewahi kufika mikoa mingapi Tanzania na ipi uliipenda zaidi?

    Dar es salaam Simiyu Geita Shinyanga Mara Mwanza Dodoma Pwani Morogoro
  11. opala

    Wanandoa ni Lazima Wa-share Password za Akaunti Benki na Simu.

    Unaongeaga vitu vya maana leo umepuyanga kabisa.. Hii haijaenda
  12. opala

    Jifunze silaha kuu tano (5) za ulimwengu wa kiroho ili upate ushindi kwenye kila jambo

    Mkuu leo siku ya pili huendelei na somo??
  13. opala

    Ni mambo gani ambayo ukifanya kwa kutumia pesa yako nafsi yako hupatwa na furaha sana na amani?

    Nyie mnatoa support naomba mnipe na Mimi au mpaka tukae barabarani tuanze kuomba omba Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
  14. opala

    Kumwacha wife faragha na jirani jamaa anaomba ushauri

    huyo hata akihama lazima tu huyo jamaa ampelekee moto... Nipo pale ni auala la muda Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
  15. opala

    WANAUME WENZANGU: Umewahi kufanya jambo ukaja kujuta baadae kama mimi ninavyojuta mpaka sasa?

    Betting imenifanya nisome degree miaka 8 ...poor me nashukuru nimetoka huko sitaman hata kurud Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
  16. opala

    Nahitaji kusahau tukio zito alilonipiga X wangu

    ww jamaa una ugonjwa kichwani sio bure yani kwa siku unafungua uzi Kama tano hivi afu CHAI tupu hata kitafunwa hamna Sent from my Infinix X609 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom