Search results

  1. P

    Princess of Wales, Kate Middleton agundulika na ugonjwa wa Saratani

    Princess of Wales, Kate Middleton ametangaza kuwa anapatiwa matibabu wa ugonjwa wa Saratani baada ya kugundulika nao. Taarifa hii inakuja baada ya sintofahamu ya muda mrefu kidogo waliokuwa nayo Waingereza kuhusu kutokuonekana hadharani kwa Princess of Wales na hali yake ya kiafya ikoje Habari...
  2. P

    Mahojiano ya Godbless Lema na Clouds FM yamehairishwa

    Clouds FM imetangaza kuwa yale Mahojiano yao na Godbless Lema yamehairishwa. Clouds FM wamsema mahojiano hayo yamehairishwa baada ya Godbless Lema kupatwa na dharura hivyo kuomba mahojiano hayo yasogezwe mbele Pia Soma: Godbless Lema kutikisa Power Breakfast
  3. P

    Marekani na Uingereza wafanya mashambulizi dhidi ya Kikundi cha Houthi nchini Yemen

    Rais BIden wa Marekani amethibitisha kuwa Majeshi ya Marekani na Uingereza yamefanya mashambulizi dhidi ya kikundi cha Houthi nchini Yemen Rais Biden amesema mashambulizi hayo ni kulipa kisasi dhidi ya mashambulizi ya kikundi hicho cha Houthi ndani ya Red Sea ≈============== UK Prime Minister...
  4. P

    FT: CAFCL: Asas Djibouti FC 0-2 Young Africans SC | Azam Complex | 20/08/2023

    Updates 62' Mabadiliko Yanga: Wanatoka Mzize na Max wanaingia Moloko na Pacome 53: Asas FC 0-2 Yanga 52' Goaaaal: Musonda Kipindi cha pili kimeanza Halftime: Asas FC 0-1 Yanga 45' Asas FC 0-1 Yanga 25' Kadi ya njano: Mwamnyeto Asas FC 0-1 Yanga 22' Goaaaal: Aziz Ki 20' Asas FC 0-0...
  5. P

    FT: CAF Confederation Cup | Semi Finals | Young Africans SC 2-0 Marumo Gallants FC | Mkapa Stadium | 10/05/2023

    Updates Half Time Yanga 0-0 Marumo Goal 68" Aziz Ki 70" Yanga 1-0 Marumo Goal 92" Bernard Morison 94" Yanga 2-0 Marumo FT: Yanga 2-0 Marumo Mabingwa wa Tanzania, Dar es Salaam Young Africans maarufu kama Yanga, jioni ya leo watashuka dimbani uwanja wa Benjamini Mkapa kupambana na timu...
  6. P

    TANZIA Mtangazaji Jerry Springer afariki dunia

    Mtangazaji Jerry Springer amefariki dunia Kwa mujibu wa familia yake, Jerry Springer amefariki kutokana na ugonjwa wa Cancer Jerry Springer amefariki akiwa nyumbani kwake katika jiji la Chicago, amefariki akiwa na umri wa miaka 79 Jerry Springer alikuwa mtangazaji wa kipindi chake maarufu...
  7. P

    Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
  8. P

    Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa pesa haramu anazodaiwa kumlipa nyota wa filamu za ngono

    Donald Trump anakuwa rais mstaafu wa kwanza wa Marekani kushitakiwa, baada wazee wa mahakama ya Manhattan jijini New York kupiga kura ya kumshitaki Trump Trump anatuhumiwa kumlipa hela, Stormy Daniels mcheza sinema za kikubwa ili akae kimya juu ya tuhuma ya mahusiano yao. =============...
  9. P

    Uingereza: Waziri Mkuu Liz Truss ajiuzulu baada ya siku 45 madarakani

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022 Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na...
  10. P

    TANZIA Mikhail Gorbachev afariki Dunia

    Aliyekuwa rais wa Soviet Union (Russia) Mikhail Gorbachev amefariki Dunia akiwa na umri wa miaka 91 Gorbachev amefariki akiwa anapatiwa matibabu katika Central Clinical Hospital jijini Moscow Marehemu atakumbukwa kwa kufanikiwa kumaliza Cold War bila ya umwagaji wa damu, pia atakumbukwa kwa...
  11. P

    Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri auawa kwa shambulio la drone lililofanywa na Marekani

    Taarifa zilizopatikana mida hii zinasema kuwa Marekani imefanikiwa kumuua Kiongozi wa Al Qaeda, Ayman al Zawahiri katika shambulio lililofanyika huko Afghanistan Al Zawahiri alichaguliwa kuwa kiongozi wa Al Qaeda baada aliyekuwa kiongozi wa Al Qaeda, Osama Bin Laden kuuwawa na majeshi ya...
  12. P

    Senzo aomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga, Akubaliwa ombi lake

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Yanga, Bw Senzo Mazingiza ameomba kutokuongezewa mkataba wake na Yanga kwa sababu za kifamilia Kutokana na ombi hilo kamati ya utendaji ya Yanga ilikutana leo katika Hotel ya Serena na kukubali ombi hilo la Bw Senzo Mkataba wa Senzo na Yanga unamalizika tarehe 31/07/2022...
  13. P

    Yanick Bangala atwaa tuzo ya mchezaji Bora wa NBC Premier League 2021/2022

    Yanick Bangala kiungo fundi wa Yanga usiku huu ametangazwa kuwa mchezaji bora wa ligi kuu ya Tanzania Bara 2021/2022 Kwa kutwaa tuzo hiyo Bangala amewashinda mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele na beki wa Simba Henock Inonga, waliokuwa pia wanagombea tuzo hiyo Bangala pia alikomba tuzo ya...
  14. P

    Uingereza: Waziri Mkuu Boris Johnson amfukuza kazi Waziri wa Nyumba

    Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amemfukuza kazi Waziri wa Nyumba Michael Gove Michael Gove alikuwa ni mtu wa mwanzo kumwambia Boris Johnson ajiuzulu kutokana na Serikali yake kuandamwa na kashfa Wakati huo huo Bwana Johnson amegoma kujiuzulu pamoja na kuambiwa ajiuzulu na Mawaziri wake...
  15. P

    Yanga yatangaza kumrudisha Benard Morrison

    Haya ngoja tuone Mabingwa wa Tanzania Bara Dar Young Africans maarufu kama Yanga usiku huu wametangaza kumsajili tena mchezaji wao wa zamani Benard Morrison Morrison alikuwa ni mchezaji wa Yanga kabla ya kuhamia kwa watani wao Simba SC
  16. P

    Mwanamuziki Robert Kelly (R. Kelly) afungwa kifungo cha miaka 30 jela

    Mwanamuziki wa Marekani, R. Kelly leo amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la Sex Trafficking --- Mwanamuziki wa Marekani wa miondoko ya R&B Robert Kelly amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa unyanyasaji wa kingono kwa wanawake na mabinti wadogo. R. Kelly amepatikana na hatia za...
  17. P

    FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

    Leo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka kati ya Mabingwa wapya wa Tanzania Bara, Dar es Salaam Young Africans almaarufu kama Yanga dhidi ya timu ya Mbeya City kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya Mechi hii ya leo itatumika pia kwa kuikabidhi Yanga kombe la ubingwa wa ligi hiyo, kombe la 28...
  18. P

    Klabu ya Yanga imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole

    Mabingwa wapya wa Tanzania, Dar Young Africans maaarufu kama Yanga usiku huu imetangaza kumsajili mshambuliaji hatari Lazarus Kambole Kambole ambaye ni raia wa Zambia amejiunga na Yanga kama mchezaji huru baada ya kuachwa na miamba ya Afrika Kusini Kaizer Chiefs Ujio wa Kambole ni faida kwa...
  19. P

    Yanga SC 2-1 Namungo FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium

    Leo tarehe 23/04/2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, vinara wa ligi Dar Young Africans almaarufu kama Yanga watashuka dimbani kuikaribisha timu ya Namungo FC kwenye mechi la NBC Premier League Nitakuwa nawe kukuletea yatakayojiri kwenye uwanja huo, mpira utaanza saa moja kamili usiku kwa saa...
  20. P

    Syria: Kiongozi wa Islamic state (IS) ajilipua na familia yake

    Rais wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuuwawa kwa Kiongozi wa kikundi cha ISIL, Abu Ibrahim Al Qurayshi baada ya wanajeshi wa Special Force wa Marekani kushambulia eneo alilokuwepo. Al Qurayshi alipatwa na mauti hayo eneo la Idlib magharibi ya Syria. Al Qurayshi alitangazwa kuwa kiongozi wa...
Back
Top Bottom