Search results

  1. under_score

    Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Habari zenyu Waungwana sana Jamvini hapa...., Ebana, hii code ya *21*0754125125# mi nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sana kwa takribani miaka 5 au 6 mpaka hivi sasa, na nimekuwa nikiifurahia sana...., ila sasa, of late, yan kwa hizi siku za karibuni imeanza kuwa inan'disappoint kidogo, kwa...
  2. under_score

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Vipi ukijaribu by email/ or WhatsApp mkuu? Please..., <shardcole@gmail.com> 0754286878
  3. under_score

    Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu dragon, na Waheshimiwa wengine wote hapa ndani, Salaam! Tafadhali sana, naombeni msaada wa haraka wa kuipata nakala (Authority) ya Hukumu ya Kesi hii ambayo nadhani ni ya muhimu sana: Ni Kesi inayoitwa; "Salehe Komba na Mwenzake, dhidi ya Tanzania Posts Corporation, Revision Na. 12 ya...
  4. under_score

    Snura aomba radhi kwa wimbo wa chura, aruhusiwa kufanya matamasha na atatoa video nyingine safi

    Hiyo ilikuwa ni mbinu tu ya kibiashara katika ku'push mauzo wakuu, mbona ni stratergies za kawaida kabisa tu??
  5. under_score

    Jinsi ya kudownlod playstore apps bila kulipia

    Thank u very much indeed mkuu, it really worked out ...
  6. under_score

    Msaada: Wanaojua mambo ya LUKU

    Umejibiwa vema sana na wadau waliotangulia hapo juu mkuu SHIEKA, isipokuwa kwa jambo moja tu ambalo hata mimi sijakupata vema bado kutokana na maelezo yako ya utangulizi uliyoyatoa hapo juu, kwamba ulipofanya manunuzi yako ya kwanza ulianza kwa kutoa shs. 5,000= na ukaweza kununua units za umeme...
  7. under_score

    Application ya kutokupatikana hewani while simu iko on

    Kwa Vodacom dial **21*0754125125# kwa kufunga incoming voice calls zote and you 'll be notified by sms (in real time) of all phone numbers that tried to call you ..., Kwa kuifungua simu ili kuruhusu voice calls kuingia just dial ##002# .. Hope you guys 'll find this piece of information...
  8. under_score

    Jf walio macho weka neno hapa

    Kachala niko zng Pinpoint Club "The place to be..."
  9. under_score

    Mdada uliyemnyoa mwenzio kwa kisu nakutafuta

    Help yourself out ....
  10. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Bado sijafanikiwa wakuu ..., googled all suggested solutions but in vain yet
  11. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Wakuu, nimejaribu kufuata maelekezo lakini tatizo la Play Store naona iko pale pale bado wakuu wangu ...,
  12. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Wacha nijaribu wakuu, i'll get back to you shortly for feedback. Thanks in advance for your time wakuu.
  13. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    APN inatengezwa kwa namna gan boss?
  14. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    So, mnanishauri nifanye settings kwa namna gani wakuu? Naombeni miongozo tafadhali
  15. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Ki ukweli nimeshakuwa nikiitumia sana tu hiyo Play Store kwenye simu yangu, na haikuwahi kunletea shida yoyote yani, ghafla tu siku moja nikaanza kuona huo ujumbe kila nikijaribu kuifungua, na ndio mpaka leo nikaona nijaribu ku'share nanyi humu hii kitu ili kwamba nipate msaada kama kuna...
  16. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Ni Samsung Galaxy Note GT- N7000 boss ....
  17. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Nikijaribu hivyo main screen inayokuja ndo hiyo "NO CONNECTION, TRY LATER" Chief ....
  18. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    Yeah, possibly. So, how do i do those internet configurations mkuu? Please.
  19. under_score

    Google Play Store - REEDEM YOUR CODE

    ... On additional note, nikijaribu kui'swipe back (left) ile screenshot ya kwanza kwa maana ya kuificha, ujumbe unaobaki/ na ama unaobakia kwenye screen yangu ya simu ni "NO CONNECTION, TRY LATER"
Back
Top Bottom