Search results

  1. mtimawachi

    Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

    Habari wanajamvi! Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani). Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi. Inawezekana kabisa ukiwa madarakani ukafanya/ukasimamia jambo kwa mujibu wa taratibu lakini kwa kufanya...
  2. mtimawachi

    Humphrey Polepole na USEMI wa 'Mfalme mzee mjinga'

    Habari wanajamvi! Nimemsikiliza kijana mwenzetu ndugu POLEPOLE katika hoja zake nyingi sana na mwisho hapa juzi akihojiwa. IKANIBIDI nirudishe nyuma kumbukumbu hadi kipindi cha mchakato katiba mpya ulioongozwa na mzee wetu WARIOBA. Katika ile tume,POLEPOLE alipewa ''airtime'' sana...
  3. mtimawachi

    Viongozi wanaofaa na wasiofaa kuwa Marais mbeleni

    1. Humphrey Polepole: Kijana huyu ameonyesha uzalendo, misimamo na kutonunulika na hayumbishwi (ANAFAA) 2. Kassim Majaliwa: Licha ya utendaji mzuri alionao katika nafasi yake, lakini ameonesha udhaifu mkubwa wa kimisimamo hasa baada ya ujio wa Samia kama Rais (HAFAI) 3. Philipo Mpango: Ingawa...
  4. mtimawachi

    Hivi ndivyo mume wa mtu alivyoumbuka!

    Jamaa alikuwa na tabia akitoka kazini jioni anapitia bar anaopoa malaya anakula mzigo upesi anarudi nyumbani. Kutokana na kuwahi kwake nyumbani mke akajenga imani nae. Siku ya tukio, jamaa kama kawaida katoka kazini kapitia bar kakuta kuna malaya mpya, hakumkawiza akapeleka LUGHA, haooo kwenye...
  5. mtimawachi

    Vipi kama hawa watu walipandikizwa?

    Katika watu wanaouharibu ulimwengu ni wanasiasa, Unaweza mkajikuta mpo watu kumi Chadema, mkidhani mna nia moja kumbe nane kati yenu ni makada wa CCM. Baadae unasikia tu wameunga juhudi halafu mnaanza kuwalaumu eti wamenunuliwa hao wamerudi kwao. Unadhani serikali ni jinga mpaka imteue...
  6. mtimawachi

    Mtazamo wangu: Mbowe asistaafu 2023

    Mwenyekiti wa chama cha chadema mheshimiwa Freemani Mbowe ametangaza kutogombea tena uenyekiti pindi tu awamu hii itakapokwisha(2023). OMBI:Mbowe agombee tena 2023 na baada ya hapo awamu inayofuata ndo asigombee. SABABU: Chadema imepitia kipindi kigumu sana hasa awamu ya 5 lakini kutokana na...
  7. mtimawachi

    Kuna wanawake wana temperature jamani!

    Hii mada haipo hapa kwa ajili ya kumdhalilisha mtu au jinsia fulani.Ila samahani kwa watakaokwazika. Nakumbuka mwaka fulani(kabla sijaoa) nilitoka mkoani kuja dar kikazi.Nilipomaliza nikaona niende buza kwa lulenge kumtembelea kaka(mtoto wa baba yangu mdogo).Nilipofika kwa kaka tukawa katika...
  8. mtimawachi

    Utekelezaji wa mambo haya uliishia wapi?

    Hivi nani aliibua mchakato wa vazi la taifa? Uliishia wapi? AU yule aliyeshauri vitambulisho vya NIDA, vina tija gani kwa sasa? KUNA waziri alisema tiketi zipatikane kwa njia ya mtandao sijui aliishia wapi USAFI kila mwezi je? Mchungaji Mtikila aliwahi sema nchi hii haiwezi kuendelea sababu...
  9. mtimawachi

    Wanasiasa bora watano kwangu mimi kwa sasa

    1> Philip Mangula Huyu kama ni umeme tungeita 'under ground cable' yaani unaona taa tu zinawaka lakini nyaya huzioni. 2> Abdulhman Kinana Huyu yupo makini sana na ndio huyu alizunguka nchi nzima kuisafisha CCM 3> Freeman Mbowe Huyu ndiye ameifanya CHADEMA itambulike kitaifa na kimataifa 4>...
  10. mtimawachi

    Adhabu ya mtu muongo ni nini?

    Wajuvi wa sheria wa humu ndani,naomba mnijuze Katiba/sheria inauzungumziaje uongo? Au nao ni TUNU ya taifa
  11. mtimawachi

    Naomba kutajiwa faida za dini

    Mpaka sasa nafikisha miaka 43,nimeijua moja tu,nayo ni kusaidia kwenye elimu, nje ya hapo sijaona. Hapa nazungumzia UKRISTO NA UISLAMU.
  12. mtimawachi

    Hakika chama changu CCM sasa kimezeeka

    Bila kupepesa macho hapa nainyooshea kidole CCM,ambacho mimi ni mshabiki wake. Tatizo ni nini hasa? mmekosa washauri? hamna tena watu wa kuona mbali japo hatua hata mia moja!? Hivi kwanini kushiba/kushibishana nyinyi tu? NAKIRI hatuna upinzani madhubuti lakini kisiwe kigezo cha kuwanyanyasa...
  13. mtimawachi

    Ni vema Chadema iache kuchukua watu kutoka CCM kwani wanawagharimu

    Kwanza nieleze kiitikadi mimi CCM (mshabiki), ila u-CCM wangu haunizuii kuona mabaya/mazuri au 'mazurimabaya' ya chama changu au chama kingine. Chadema ni chama cha upinzani tena kikuu lakini mimi naomba nikiite chama mbadala au chama shindani kwani kwa kipindi kifupi Chadema kimeweza kubadili...
  14. mtimawachi

    Huwezi amini, nilibakia mimi tu

    Habari zenu wanasiasa? Nakumbuka tarehe 08/04/2021 nilikuwa nasafiri kuelekea kisiwa cha PATMO usiku kwa ndege Mle ndani mlikuwa na abiria wengi kutoka mataifa mbalimbali ya wazungu na wengi wao wakiwa makomandoo na viongozi maarufu wa dini. Kutoka nchi yetu tulikuwa wawili tu.Abiria wote...
  15. mtimawachi

    Shemeji zangu wakurya sasa dunia imebadilika

    Sina nia ya kukashfu wa kutukana kabila la mtu, ila hapa natoa mtazamo wangu mimi kama mtimawachi. Tukija kwenye baadhi ya vitabu vya dini vinakiri kabisa kuwa mwanamke ni kiumbe dhaifu. Tumeaswa kuwapenda wake zetu, mtume Mohammad ameonya kuhusu kupiga mke akaongeza kama ikibidi mpe pigo...
  16. mtimawachi

    Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari,

    Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa. Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
  17. mtimawachi

    Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari

    Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa. Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
  18. mtimawachi

    Hawa ndio vijana wamenivutia katika miongo miwili hii tuliyonayo

    Habari wanajukwaa! Leo nimeona niwalete kwenu vijana wenzetu ambao kwa namna moja ama nyingine wametoa mchango katika taifa letu. Kwanza niwe wazi katika siasa mimi ni mshabiki wa CCM,na kisoka nipo Msimbazi(simba) Katika kipindi hiki cha miongo miwili ninakiri kuna vijana wengi tumejitahidi...
  19. mtimawachi

    Hivi nyinyi mnaofanyia mapenzi gizani mnapata raha gani?

    Habari zenu wakubwa! Kuna hili suala ambalo linanishangaza. Utakuta mtu yuko na mwanamke mzuri faragha lakini wamezima taa!.!? Binafsi napokuwa faragha naburudika sana ninapoona jumbile la mwenzi wangu vizuri. Nafurahi kuona vile anabadilika wakati namwandaa mara arembue macho, mara...
  20. mtimawachi

    Kwa mwanaume, ukiona umejaribu kila namna kuleta amani ndani mwako imeshindikana chunguza na hili

    Ndoa nyingi zimekuwa zikikumbana na misukosuko mingi ambayo wakati mwingine huwa ni mateso makubwa,wakati mwingine hupelekea kuvunjika au kudhalilika katika jamii. LEO nitamzungumzia mwanaume.Kumbuka siku zote katika ndoa mwanaume ni kichwa (kiongozi). Sifa za kiongozi bora ni pamoja kuwa na...
Back
Top Bottom