Search results

  1. Melubo Letema

    Magdalena Shauri Ashinda Medali ya Dhahabu, Shanghai, China

    Mwanariadha wa Kimataifa Magdalena Crispin Shauri Ashinda Mbio za SPD BANK Half Marathon kwa kilomita 21 kwa Muda wa saa moja na dakika Tisa na sekunde hamsini na saba (1:09:57) zilizofanyika tarehe 21/04/2024 Huko Shanghai, China. Na Kujinyakulia zaidi ya Dollar Elfu Mbili na Dili mbalimbali za...
  2. Melubo Letema

    Bilioni 19.7 kukarabati uwanja wa Uhuru

    Tutabanana hadi lini? nafasi zipo nyingi, za kutengeneza viwanja vikubwa vya maana kwenye majiji yote.
  3. Melubo Letema

    Mwanariadha Gabriel Gerald Geay kukiwasha kesho Boston Marathon, Marekani

    Mwanariadha wa Kimatataifa wa Tanzania Gabriel Gerald Geay anatarajiwa kukimbia kesho mashindano Makubwa ya Boston Marathon nchini Marekani, tukukumbuke Mwaka Jana alikimbia na kuwa mshindi wa pili 2:06:04 huku Evans Chebet kutoka Kenya akimshinda kwa 2:05:54. Kesho, Tena wanaingia dimbani...
  4. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Medali ya Shaba, Daegu Marathon Korea Kusini

    Tuendelee kujifunza, na kuwabadilisha watu Fikra zao, zihamie Kwenye Riadha. Kwa mfano; mshindi wa dhahabu Olimpiki anachukua milioni 125
  5. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Simbu awasili nchini na Medali ya Shaba kutoka Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania toka (JWTZ) Sgt. Alphonce Felix Simbu awasili Tanzania Kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi wa Michezo na Makocha kutoka Jeshi la ulinzi la wananchi la Tanzania (JWTZ) baada ya kushinda kwa kushika Nafasi ya Tatu...
  6. Melubo Letema

    Mwanariadha Alphonce Felix Simbu Ashinda Medali ya Shaba, Daegu Marathon Korea Kusini

    Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu ashinda medali ya Shaba kwa kushika nafasi ya Tatu , kwa muda wa (2:07:55) kwenye Mashindano ya DAEGU MARATHON yaliyofanyika usiku wa leo 7/04/2024 huko Korea Kusini. Mshindi alikuwa Stephen Kiprop ; 2:07:04 na pili alikuwa Kennedy...
  7. Melubo Letema

    Timu ya Taifa ya Mbio za Nyika yakwama Airport, wakati wa Kuelekea Belgrade Serbia, Uganda Yashinda Dhahabu

    Shirikisho la Riadha Tz (RT) tunapenda kuwajulisha wanachama, waalimu, na wadau mbalimbali kuwa wanariadha wetu wawakilishi wa mashindano ya Dunia ya Mbio za nyika wameshindwa kusafiri kutokana na Changamoto ya kupatikana kwa Visa. Wanariadha hao ambao walitarajiwa kuondoka jana tarehe...
  8. Melubo Letema

    Wanariadha 9 Kuliwakilisha Taifa kwenye Mashindano ya Dunia ya Nyika, Belgrade Nchini Serbia

    Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania, Silas Lucas Isangi akikabidhi vifaa vya Michezo kwa nahodha wa timu Dectaforce Boniface na Msaidizi wake Hamida Nassoro Mussa Kwa niaba ya Wanariadha 9 na Kocha mmoja wanaokwenda kwenye Mbio za Dunia za Nyika Huko Belgrade, Nchini Serbia. Rais amekabidhi...
  9. Melubo Letema

    Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

    Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha...
  10. Melubo Letema

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Kuishi na Mwanamke kwa Akili…huwezi kubishana na vitabu vya dini.
  11. Melubo Letema

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Mwanamke alimuacha mume kisa kafukuzwa kazi, hadi wanataka kuuza nyumba, Mungu sio JPM, Jamaa kapata Pesa…mke anatamani arudishe sehemu za siri..akakutana na Talaka.
  12. Melubo Letema

    Mwanamke anachokifuata kwenye mahusiano ni pesa (uchumi) na si mapenzi

    Kusimamisha bila pesa , ni upepo mtupu🤣😂
Back
Top Bottom