Search results

  1. maserinojr

    Natafuta kazi. Nina Bachelor Degree ya Accountancy

    Habari zenu wana JamiiForums. Mimi ni Kijana mwenye umri wa miaka 26; makazi yangu ni Dar es salaam. Kama kichwa kinavyojieleza nmehitimu masomo mwaka jana na utaalam katika computer yaan Tally Accounting na Microsoft Excel nina uzoefu wa miezi 3 katika fani ya Uhasibu. Napatikana kwa 0738764754
Back
Top Bottom