Search results

  1. C

    Information technology

    Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie Nipo na skills...
  2. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate...
  3. C

    Information technology (kazi/intern)

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate...
  4. C

    Natafuta intern au kazi katika kada ya information technology

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwakaa huu. Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika...
  5. C

    Ajira information system

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza Bachelor of science in information systems mwaka huu. Nimekuja kwenu kwa ombi la kuomba kwa yoyote anaefahamu kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate mafunzo katika tasisi...
  6. C

    Mfumo unao husisha malipo

    Habarini wana familia........nimekuja kwenu ili muweze kunisaidia mawili matatu kuhusu mifumo amabayo inakua na sehem ya malipo mfano system za chuo ukishafanya malipo system inaonyesha kua tayar ushafanya malipo ya ada pia kwa system kama za vicoba malipo kwa njia ya simu au ya bank system...
  7. C

    Kujitolea field ya Information communication technology

    Habariii wana familia.......mimi ni kijana nilie maliza masomo ya chuo kikuu cha dodoma Bachelor of information systems mwaka huu mwezi wa 8 wakati huu nikiwa nasubiria matokeo ya muhula wa mwisho nilikua natafuta sehem ya kujitolea kuimariasha taaluma yangu kupata experience na kujifunza zaidi...
  8. C

    Watalamu wa mobile App

    Habarini ndugu nilikuwa nataka kutengeneza mobile app kama project ya chuo mwaka wa mwisho ila walimu wameniongezea requirements wameniambia kwenye io app hata mtu mwenye simu ya button kama nokia hizi feature phone aweze ku-access app kwa kutumia voice gate yaani aweze kutuma ujumbe kwenye app...
  9. C

    Naomba Msaada, laptop inajizima

    Laptop yangu ilikua inafanya kazi vizuri lakini siku za karibuni imekua inajizima ikifikia charge 80%. Tatizo linakuwa nini wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom