Search results

  1. C

    Information technology

    Shukrani mkuu kwa ushauriii
  2. C

    Information technology

    Kuna baadhi kama 5 ndio sikuandika README hasa izi recent repository ila nyingine zote zinamaelekezo
  3. C

    Information technology

    ilo pia nalifanyia kazi wakati huo huo nahangaika na intern pia mpaka sasa sijajua riziki ntaipata waapi
  4. C

    Information technology

    Shukrani sana mkuu ngoja nilifanyie kazi hili pia
  5. C

    Information technology

    Habarii mi ni muhitimu wa mwaka jana bachelor of science information system kwa sasa nimeamua kutafuta sehemu ya kufanya intern ili nipate work experience iweze nisaidia.....hivo nimekuja mbele yenu kwa yoyote mwenye nafasi au kuna sehemu anafahamu naweza pata nafasi anisaidie Nipo na skills...
  6. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Wakuu kijana bado nipo sijpata pa kujishikiza
  7. C

    Information technology (kazi/intern)

    Wakuu kijana bado nipo sijpata kwa kujishikiza
  8. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Sawaa mkuu shukranii ngoja nijaribu
  9. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Naweza fanya software development sana sana maswala ya programming ndio nimejikita sana huko nikipata kazi ya web, software nafanya ila tu changamoto kubwa kwa sasa hizo kazi hata sipati nifikili kutengeneza connection na watu ndo inaongeza network ndomana nika focus kuingia kweny tasisi pengine...
  10. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Kijan wenu wado nipo jamani
  11. C

    Information technology (kazi/intern)

    Shukranii sana kwa ushauri mkuu
  12. C

    Information Technology (kazi/intern)

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate...
  13. C

    Information technology (kazi/intern)

    Habarii wana familia mimi ni kijana niliemaliza chuo course ya Bachelor of science in information systems mwakaa jana. Nimekuja kwenu kutela ombi langu kwa yoyote anaefahamu kama kuna sehem wanahitaji mtu wa I.T aweze kunisaidia nitashukuru sana pia nipo tayari kufanya sehem kama intern nipate...
  14. C

    Natafuta Kazi nina Shahada ya Uzamili Katika Hisabati (MSc. in Mathematics)

    Mi najua mtu anavyoenda soma masters anakua tayari alishawahi fanya kazi company flan au katoka fresh from chuo kaunga master ila wakatii anafanya Master alikua nafanya kitu maana master sio kama undergraduate wanaosoma master wengi tayari wana michongo wanaenda ongeza elimu wapae zaid so wakati...
  15. C

    Natafuta intern au kazi katika kada ya information technology

    Wanafamilia msinisahau kijana wenu bado sijafanikiwa kupata intern ila bado naendelea kujifua zaid nyumbani nyumbani
  16. C

    Natafuta intern au kazi katika kada ya information technology

    Sawaa nashukuruu sanaa mkuu kwa ushauri ngoja niufanyie kaziii....ni kweli sina repository yoyote GitHub....kupitia ushauri wenu kuna kitu najifunza kama hili la GitHub mini project nying nimehifazi kweny computer.....umenifungua akili shukranii sana
Back
Top Bottom