Search results

  1. K

    Ushahidi Gwajima ananunua kadi za wapiga kura Kawe

    Tawi la Salasala jimbo la Kawe NCCR MAGEUZI limebaini na linaushahidi wa kutosha. Watu wanaomtaka mgombea wa CHAMA hicho wa ubunge bi Martha Chiomba.
  2. K

    Uchaguzi 2020 Uteuzi wa Charles Kimei ni dhahiri CCM wanataka Jimbo la Mbatia. Na iwe kifo cha dhana ya CCM B

    Watu wengi hasa Wafuasi wa CHADEMA tangu Rais Magufuli amsifie Mhe Mbatia hadharani walianza kudhani ni msaliti wa Magruzi, na kuita chama cha NCCR Mageuzi kuwa ni CCM B. Wakimaanisha NCCR Mageuzi ni mpango wa CCM. Wengi wakaongeza porojo eti NCCR Mageuzi wameahidiwa majimbo 20 mara 50 ambayo...
  3. K

    Uchaguzi 2020 Mbowe anavyomfitini Tundu Lissu, Nyalandu ashinda kura za maoni

    Ndugu wana bodi. Kupitia vyanzo vyangu makini vya kimtandao nimepokea taarifa kuwa kamati kuu ya CHADEMA imefanya uamuzi kwa kupiga kura. Uamuzi wa kupendekeza nani awe mpeperusha bendera mkuu wa CHADEMA katika uchaguzi wa mwaka huu 2020. Yaani mgombea Urais. Ukweli ni kwamba kati ya watu 8...
  4. K

    Wapiganaji wa Redbrigade wadaiwa kupasua vioo vya Gari ya NCCR Mageuzi Tarime

    Sasa hivi. Hapa jirani na Hotel ya Blue Sky mjini Tarime ambako kulikua kinaendelea press ya Madiwani wa Chadema Tarime kujiunga na NCCR Mageuzi ghafla kikundi cha Wapiganaji wa Redbrigade wa Chadema kimevamia gari na kupasua kioo cha nyuma. Bahati nzuri picha yote imerekodiwa. Majina na...
  5. K

    Mbowe akataliwa Kilimanjaro, wamo wafanyabiashara

    Tangu jana jumapili tarehe 29.03.2020. Mwanamageuzi mkongwe zaidi alikuwepo CHADEMA Bw Komu (Mb) Moshi Vijijini. Kutangaza kuwa mwaka 2020 atakihama chama chake cha cha sasa CHADEMA na kuhamia NCCR Mageuzi chama chake cha zamani Mara tu baada ya kipindi chake cha ubunge kukamilika mwezi July...
Back
Top Bottom