Search results

  1. I

    Mtu kamtumia wife sms akijiita mchumba wangu!

    anaitwa RUKIA ZOMBOKO. FUATA USHAURI ALIOKUPA WA KWANZA
  2. I

    Mnyika, Lema, Mbowe mnasaini laki mbili mnakuja mtaani kudanganya wananchi?

    Tatizo lako unafikiria kila mtu anachungulia kwenye benki kila wakati kuangalia balance! CDM walishaweka msimamo lakini mkawaona wapuuzi. Posho si kwa wbunge tu! kuna mashirika ya Ummma yanajilipa posho si mchezo. Ndio maana CDM walitaka posho zote zifutwe watumishi wote waongezewe mshahara...
  3. I

  4. I

    Sababu za JK kumnyima Samuel Sitta na kumpa Anne Makinda nishani hizi hapa!

    mimi naona angempa na Dr. Slaa kwa kumkimbiza mchakamchaka kipindi cha uchaguzi na CDM kwa ujumla kwa kuibua mambo ya kizalendo
  5. I

    Big up Lowassa kazana uchukue nchi

    kusema kweli EL japokuwa wanasema ni fisadi ila ana say na an uwezo wa kusimamia jambo! sio wengine wanolia, unalia nini unataka uhurumiwe?
Back
Top Bottom