Search results

  1. Mzee wa Mbinu

    Kesi dhidi ya Mbowe: Ushahidi wa Luteni Denis Urio ni muhimu sana

    Kuna wasiwasi na hicho unachosema kwa kuwa tamimu alifariki mapema sana kabla yake kesi haijaanza kusilikilizwa wakati wa kukamatwaa alipigwa risasi ile ilikuwa ukweli mtupu, wanajeshi watatu wanaojulikana wafanye ugaidi, kesi hii huku ugaidi kule utakatishaji fedha
  2. Mzee wa Mbinu

    Spika Ndugai: Rais ni mmoja tu, Wakuu wa Mikoa na Wilaya acheni kujitutumua

    Kwa mara ya kwanza ameongea jambo la msingi sana mkuu wa mkoa anatembea barabara nzima na kuhatarisha maisha ya watu wakati Naibu Spika anatembea vizuri tuu.
  3. Mzee wa Mbinu

    Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

    hili lingekuwa la haki kweli kama hata kwenye majimbo ya mawaziri na viongozi wa juu nayo yangefanyika hivi hivi kwa kuwa nao wametoa rushwa sana tena kubwa kubwa lakini hawajakatwa bali wale wanyonge ndio wameonekana wametoa rushwa hii itakuwa tabu katika chama chetu
  4. Mzee wa Mbinu

    Uchaguzi 2020 Wagombea waliohamia CCM wapitishwa na chama kugombea Ubunge

    Mm naona kutakuwa na machafuko makubwa sana katika uchaguzi huu kwa kuwa mtu atangazwa tu bila kushinda ili kuonekana walimshauri vizuri mzee baba, Nikipiga narudi nyumbani
  5. Mzee wa Mbinu

    Ubalozi wa Marekani waituhumu Tanzania kuficha takwimu za COVID 19, wasema kwa hali hii hauwezi kutoa hatima ya raia wake

    Corona ipo hata sisi hapo kwetu Mbeya jirani yetu kafariki kwa corona akiwa anamuuguza mkewe ambaye alikuwa anaumwa corona akamwambukiza mumewe na ndugu wawili, shida sasa hupokewi hospitalini au unapewa huduma hafifu sana na wanakupa ushauri kuwa ukajitibie nyumbani kama huko kuna wataalamu wa...
  6. Mzee wa Mbinu

    Tunamdanganya nani kwamba Corona imeisha? Angalia huyu mwanamke aliyetoka nchini kukutwa na Corona huko Namibia

    shida kama hatuta kuwa wakweli watalii waje harufu wakutanenayo tutajenga kitu kibaya sana kwenye hii industrial
  7. Mzee wa Mbinu

    Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

    Nashuruku kwa kuongezeka kwa mrahaba kwa kuwa hizi kampuni zinatoa taarifaa ya hasara kila mwaka hiyo 16% tutaipata labda mwaka wa mwisho wa kufunga mgodi
  8. Mzee wa Mbinu

    Tundu Lissu alivyokuwa anatudanganya kuwa mchanga wa makinikia sio mali yetu ni mali ya wazungu

    Zito alitoa makubaliano hayo akisema sasa tunapata kidogo kuliko mwanzo kwa kuwa umiliki ni 50 kwa 50 lakini agawanyo wa faida ni sisi ni 9%
  9. Mzee wa Mbinu

    Je, tumeamua kuifanya Tanzania kuwa ‘a pariah state’?

    Au Brazil ambao nao Rais alikuwa jeuri kuwa hakuna shida sasa watu wote hawataki kumwona hata wa chama chake ila kwa kuwa huku ukisema tu njia sahihi ya kitaalamu unatumbuliwa
  10. Mzee wa Mbinu

    Uchaguzi 2020 Vita ya Ubunge CCM Arusha, vigogo waanza kutembeza rushwa

    Kweli CCM itashinda kwa mchezo huu walioanzisha wa kulazimisha wao kupita bila kupingwa na watu wanapodai haki wanauwawa, Lazima mshinde, vita iko kwenu uwaneni sisi tunasubiri muda muafaka wa kugombea kwa kuwa hata mwaka huu tunaweza tukaacha kama Maalimu alivyofanya Zanzibar.
  11. Mzee wa Mbinu

    Rais Magufuli amedanganywa kuhusu kupima papai, fenesi, mbuzi nk

    Kama kweli wale zile sample ziliongezewa vitu fulani ili kidharilisha taaluma hii ni hatari sana
  12. Mzee wa Mbinu

    Siri nzito iliyofichika kwa Prof. Assad (CAG aliyepita)

    yaani prof. akagezee hoja huu ni upumbavu ambao kila mtu anakushangaa au ni kujimwambafai
  13. Mzee wa Mbinu

    Suala la Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na Vipengele kadhaa vya Kisheria

    ile hoja ya trillion 1,5 itafungwa ikiwa inavielelezo vyote na hata ile ya yule mtu aliyehamisha ofisi India ikitumia fedha za umma wakati watu hawana huduma muhimu
  14. Mzee wa Mbinu

    The SGR, War, MAGUFUGAME Kidedea, MUSEVENYATTA Mikono Juu Kukubali Matokeo!, Magufuli Shujaa, Apiga Bao Kupiga Tanchi!. Hongera JPM Kwa Kuona Mbali!.

    October 16, 2019 03:22 PM NAIROBI / NAIVASHA - Kenya's President Uhuru Kenyatta officially opened on Wednesday the second phase of his flagship infrastructure project: a Chinese-funded and built railway that will eventually link the port of Mombasa to Uganda The new track is 120 kilometers...
  15. Mzee wa Mbinu

    Dilemma ya January, na watu wa Tanga

    Kwa maneno haya angekuwa anaseme mtu mwingine anasemwa katika nchi hii angekuwa amepewe kesi ya utakasishaji wa fedha, shida hapa ni kuwa fedha zilipigwa na zinapigwa hadi sasa lakini wanaotafutwa ni watu wa kikundi kimoja tu wengine wanaachwa naomba mungu 2025 apatikane raisi kama mandela...
  16. Mzee wa Mbinu

    DENI LA TAIFA: Benki ya dunia yaitahadharisha Tanzania

    SGR tunajenga kwa fedha zetu za ndani deni linatoka wapi tena, mabeberu yanataka kutuuwa haya
  17. Mzee wa Mbinu

    Rais Magufuli akihutubia wananchi wilayani Kyela mkoani Mbeya

    Mhe. Hasunga Waziri kuna shida katika Halmashauri zimeanzisha kodi zao ili kukwepa haya unayoongea Mfano mtu umelima na umepata gunia kama arobaini (40) na unarudisha nyumbani ndani ya wilaya hiyohiyo unaambiwa kuwa ulipe kodi sitoi nje ya wilaya wala bado kuuza wao wanataka kodi Ajabu...
  18. Mzee wa Mbinu

    Mnaokwenda CCM jifunzeni kwa hawa waliowatangulia!

    Maccm mengi yaliyoteuliwa yalikuwa kama miungu watu badala ya kutetea wananchi sasa hili liwe fundisho ukipewa mchongo piga kazi ili uwasaidie wenzako kwa kuwa ukifuka tu jamaa anajua vijana wa humu ndani ni vimeo Ukiteuliwa saidia wananchi watoke kwenye umasikini sio kuwaongezea umasikini Mkuu...
  19. Mzee wa Mbinu

    CCM asili walia inakuwaje mtu kaslim/kabatizwa siku hiyohiyo anapewa upadri/ushekh/uzee wa kanisa na wanaachwa waumini waliopigania imani toka 2015

    Nafasi bado zipo watapewa bado kuna ukurugenzi lazima waondolewe wale ambao hawasaidii wananchi ila wamekuja kuwaongeza matatizo kwa hili mimi magu kwa mara ya kwanza nimemkubali Kama unapewa nafasi harafu unaboronga sasa kwa nini asitumie hawa wengine kuleta maendeleo ya wanannchi sisi...
Back
Top Bottom