Search results

  1. Loading.....

    Babu Loliondo kufilisiwa???

    Wajinga ndio waliwao
  2. Loading.....

    Adoption

    naomba nisaidiwe kwa hili, ni process zipi unatakiwa kuzifuata ukitaka ku adopt mtoto Tanzania? nipo nje, nataka nirudi home ni adopt mtoto.(mtoto wa ndugu yangu) nahitaji kujua process za mtu ambaye ana uraia wa bongo na mtu ambaye hana uraia wa kibongo, ni tofauti au ni sawa? kuna ugumu wowote?
  3. Loading.....

    ney wa mitego

    kabla ya hii topic nilikuwa simjui ney wa mitego, nimeenda youtube na kusikiliza wimbo wa itafahamika, ni balaa, imetulia, nausikiliza kila dakika, acha nijaribu na hizo nyimbo zake nyengine nione amevurugaje.
  4. Loading.....

    Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

    you r right, nilipoona jamaa bado ameng'ang'ania ikabidi nimkatie mawasiliano na kumwambia asije nyumbani. He still in love with me till today,its about 10 yrs ago. I think Im gonna marry him.
  5. Loading.....

    Sifa kumi za mwanamke asiyekupenda

    Ipo mkuu, mimi nilishawahi kuifanya, nilikuwa na jamaa, mapenzi yakaisha, ikawa tukienda beach, nikiona mwanamke mzuri namlazimisha akaongee nae, au nikiona mwanamke kajazia namwambia amuangalie na kuanza kumsifia huyo mwanamke, alikuwa sio mtu wa ma disco, kwahiyo nilikuwa namlazimisha aende disco.
  6. Loading.....

    Make a status in facebook and it to say via Jamiiforums

    nikitaka kuweka maneno yangu mwenyewe, na sio hayo ya kwako nifanyeje?
  7. Loading.....

    Open letter to all the men I loved before

    Divaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  8. Loading.....

    My Wedding Anniversary

    What a MAN on Earth. Big kiss
  9. Loading.....

    Blackberry Curve

    nahitaji blackberry curve yeyote ile hata 8310 poa tu, nipe bei, isiwe ya kichina, new or used, napatikana Dar Mikocheni, nitakufuata popote ulipo,isiwe nje ya dar, ila kibaha, bagamoyo naweza kuifuata kama bei ikiwa nzuri.
  10. Loading.....

    Natafuta Graduate wa kike wa kuoa. Sifa hizo hapo.

    I wish I wish I wish I wish, kwanini nilikimbia accounting? and kwanini bado nasoma? bad luck. But all the best.
  11. Loading.....

    Migodi ya barrick yazidi unyanyasaji kwa wa tz.

    Huyo waziri wa kazi au pinda ndio watafanya nini? kwani yameanza leo?
  12. Loading.....

    Cameron akalia kaa la moto kuhusu Ushoga

    ndio tatizo la kukosa majukumu, kwenye nchi yake umeme upo, barabara nzuri, kazi zipo, hospitali za maana, usipokuwa na kazi unapata benefit. kwahiyo hana kazi ya kufanya zaidi ya kutangaza ushoga.
  13. Loading.....

    Hajui kuhesabu siku zake

    at the age of 24 I was very professional, nadhani kwasasa nimeshakuwa professor, I wish ningemjua nimpe darasa la uhakika.
  14. Loading.....

    Kwa hali hii tutaponaje

    Itabidi midume kwa midume mkubali kugeuzana/ kuhemeana kwa nyuma ati, ili mkono uende kinywani
Back
Top Bottom