Search results

  1. James Hadley Chase

    Usinipite mwokozi

    "Usinipite mwokozi, Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite. "Yesu, Yesu! Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite.." ______________________________________ Ni wimbo ulioandikwa mwaka 1868 na mwanamama Fanny Crosby, aliyezaliwa katika kijiji cha Brewster huko New York, Marekani. Wimbo...
  2. James Hadley Chase

    Usinipite mwokozi, Unisikie

    "Usinipite mwokozi, Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite. "Yesu, Yesu! Unisikie, Unapozuru wengine, usinipite.." ______________________________________ Ni wimbo ulioandikwa mwaka 1868 na mwanamama Fanny Crosby, aliyezaliwa katika kijiji cha Brewster huko New York, Marekani. Wimbo...
  3. James Hadley Chase

    TTCL yatajwa ya mwisho ubora wa huduma

    Dar es Salaam. Takwimu mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), zimeutaja mtandao wa simu wa TTCL katika nafasi ya mwisho kwenye kipengele cha ubora wa huduma, huku mtandao wa Tigo ukiongoza. Katika ripoti ya robo ya nne ya mwaka 2023 iliyotolewa mwanzoni mwa wiki, kampuni ya TTCL...
  4. James Hadley Chase

    Wale wenye ulemavu jifunzeni kujikubali

    USIKIVU HAFIFU (HARD OF HEARING) Kwa wale wenye kusumbuliwa na masikio,uziwi na hata usikivu hafifu. Baadhi hamna ujasiri wa kujiweka wazi kwa wengine kuhusu changamoto mliyonayo. Yaani mnashindwa kusema kuwa nina changamoto ya masikio. Mimi sisikii vizuri. Mimi nina tatizo la kutosikia...
  5. James Hadley Chase

    Mawakili na Wanasheria wafika gerezani kuzungumza na aliyehukumiwa miaka 22 jela kwa kukutwa na nyama ya swala

    Chama Cha Mapinduzi wa Iringa kwa kushirikiana na Mawakili wa TLS pamoja na Wanasheria toka Jumuiya ya Wanawake Taifa kufuatia Tamko la Mwenyekiti Merry Chatanda kuhusu kesi ya mama Maria Ngonda aliyehukumiwa miaka 22 kisa nyama ya swala jopo hilo lilifika gerezani na kuzungumza na mama huyo ili...
  6. James Hadley Chase

    TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

    CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria. Hukumu hiyo ilitolewa...
  7. James Hadley Chase

    Tetesi: Van Dabroek kutua Simba SC

    Aliyewahi kuwa kocha wa Simba SC Sven Van Dabroek ambaye alifundisha FAR Rabat na Wydad Casablanca zote za nchini Morocco kisha akafundisha CR Belouzdad ya nchini Algeria anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Robertinho. Kocha huyo kutoka Ubelgiji anatajwa kuwa chaguo la kwanza la uongozi...
  8. James Hadley Chase

    TUONGEE KIUME: Mwanaume fanya yote ila usisahau kuupa mwili pole

    Kondakta wa daladala Dar es Salaam huamka saa kumi alfajiri na kukutana na dereva wake sehemu wanapolaza gari lao. Mpaka wakitoka hapo kuingia barabarani kuanza kazi huwa saa kumi na moja imeshafika. Wanaanza kupiga mzigo, kufanya kazi mwanzo mwisho, kama unavyofahamu, majukumu ya konda wa...
  9. James Hadley Chase

    Wandelwe ni kabila la wapi?

    Habarini zenu Leo katika pitapita zangu huko mkoa wa Morogoro maeneo ya Ifakara ndanindani nikamuuliza mwenyeji wangu yeye ni kabila gani? Akajibu ni Mndelwe, nikashangaa ndio kwanza nalisikia leo hili kabila sijui wametokea wapi hawa sijui ni wahamiaji haramu? Mwenye kulifahamu ili kabila...
  10. James Hadley Chase

    TANZIA Mwana JamiiForums mwenzetu Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi nachukua nafasi hii kumpa pole sana sana, Mwenyezi MUNGU akawape subra na wepesi katika kipindi...
  11. James Hadley Chase

    Nafasi ya kazi hiyoooo, ushindwe mwenyewe

    Hii PDF niliyoweka hapo chini kila mmoja ha akikishe ameifungua n ame apply kazi anayoiweza maana Pana fursaa za kilaa aina, hizo ni kazi katika taasis za umma Tanzania, kazi zilizopo hapo n zifuatazoo - Afisa maendeleo ya jamii(community development officers nafasi 800 -Wasaidizi wa jikon 4...
  12. James Hadley Chase

    KIKAO CHA MABAHARIA: Wanawake ni watoto wenye umri mkubwa

    KMtu mmoja alikwaruzana na mkewe kwa sababu alikuwa anahitajika akitoka ofisini kwake ampitie mkewe ofisini pia, kisha waondoke kwenda nyumbani, na hii ndiyo ratiba yao ya kila siku. Sasa siku hiyo, kama kawaida, muda ulivyofika jamaa alitoka ofisini, akawasha gari, safari ya kuelekea ofisini...
  13. James Hadley Chase

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  14. James Hadley Chase

    Serikali kutangaza bei mpya ya vifurushi

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mwisho wa mwezi huu Serikali inatarajia kutangaza bei mpya za vifurushi vya simu, ili kila Mtanzania amudu kuvitumia. Kauli hiyo aliitoa juzi, wakati wa uzinduzi wa mnara uliojengwa na mfuko wa mawasiliano kwa wote kwa...
  15. James Hadley Chase

    Kwa kasi hii TikTok inaenda kumpoteza Instagram

    Acheni kabisa kuhusu huu mtandao. Aliyeutengeneza huu mtandao alikaa chini na kuumiza sana akili. Yaani ndani ya TikTok kuna vitu amazing. 1. Movie kama zote, yaani ukiuliza hii movie inaitwaje unapata jibu chap. Movie nyingi nimezijulia kule. 2. Nyimbo nyingi sana zipo kule, yaani nikiangalia...
  16. James Hadley Chase

    Maoni yangu kuhusu utenguzi wa Athuman Diwani Msuya

    JANA nilipokuwa UTV (Azam TV), nikifanya mahojiano kipindi cha Morning Trumpet, niliulizwa maoni yangu kuhusu mabadiliko ambayo Rais Samia aliyafanya juzi (Mei 3), Ikulu na Idara ya Usalama wa Taifa (Tiss). Nilijibu kuwa sikuona msingi wowote wa kumwondoa Diwani Athuman Tiss, alipokuwa...
  17. James Hadley Chase

    Majanga wanayokutana nayo wauguzi Hospitali ya Mirembe

    Wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe wameeleza namna wanavyopigwa na wagonjwa wa akili wakati wakiwahudumia, ikiwemo kujeruhiwa na kutemewa mate. Takwimu za matukio ya namna hiyo zilizotolewa na hospitali hiyo zinaonyesha kuwa wauguzi watano walipigwa, mmoja alivunjwa mkono...
  18. James Hadley Chase

    INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

    SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+ 1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=. Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure. 2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La...
  19. James Hadley Chase

    Mabadiliko ya vifurushi: TTCL MB 1 kuuzwa kwa Tsh 2.50

    Mambo ni byuti byuti huko kwenye maasiliano. Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
  20. James Hadley Chase

    Tetesi: TTCL mbioni kupandisha gharama ya vifurushi

    lile shirika linaloshika namba 1 kwa kupendwa na watu wengi😝😝😝 katika masuala ya mawasilano hapa nchini, TTCL Corporation lipo njiani kufanya mabadiliko ya vifurushi vyao. Mabadiliko hayo yanategemewa kufanyika mabadiliko ya vifurushi vyao ndani ya siku 3 zijazo kuanzia sasa😅😅 NB; Ukipita...
Back
Top Bottom