Search results

  1. Engineer MchipilA

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Kama umepitia JKT au mgambo nenda Suma JKT Guard.
  2. Engineer MchipilA

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Ulinzi nenda Suma JKT Guard wanaajili kipindi hiki makao makuu yake yapo Mlalakuwa makao makuu ya zamani ya JKT kama unaenda kawe.
  3. Engineer MchipilA

    Mishahara wizarani

    Mkuu naweza kupata Kazi ya ulinzi hapo nmehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato Cha sita PGM maana kwenye makampuni haya wanalipa hela ndogo mno yani mpaka aibu ila hakuna namna tunafanya tu.
  4. Engineer MchipilA

    Mishahara wizarani

    Naomba kazi za ulinzi hapo nimehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi JKT Elimu kidato cha sita PGM pia nafanya Kazi za CCTV Installation.
  5. Engineer MchipilA

    Miaka mitano baada ya kumaliza chuo, hatimaye naenda kwenye mshahara wa Milioni 6, bado siamini, nawaza sana

    Kaka ukianza kazi naomba unifanyie mpango wa nafasi ya ulinzi nina mafunzo ya JKT maana kwenye makampuni ya madini kidogo yanalipa vizuri kidogo kwa kada za ulinzi na hata professional tofauti na hizi kampuni zingine za ulinzi.
  6. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Inauma ila ndio ukweli wenyewe
  7. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ngoja tuendelee kuomba M/Mungu kaka
  8. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Pamoja mkuu ngoja tupambane tu
  9. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mm naomba nielekezwe kiwanda cha nondo temeke kipo sehemu gani nataka kwenda kesho maana huku kwenye majeshi naona nuksi tupu OP Kikwete lakini mpka leo hakuna ajira nimeomba sana hizi nafasi mpka sasa hvi nimekata tamaa kabisa yani bora niende huko kwenye kiwanda cha nondo nikatafute mtaji hata...
  10. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Samahani mkuu naomba maelezo vizuri wa hiki kiwanda kipo temeke sehemu gan,watu wanaingia saa ngap na kutoka muda gani na je ukiingia mzigoni kuna nguo zao za safety wanakupa unavaa au unavaa nguo zako?Nisaidie kwa hayo kaka
  11. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mliofanya leo usaili mtupe mrejesho wa huko
  12. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Vp usaili ulishafanya tayari mkuu
  13. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kama Kweli itakuwa vizuri
  14. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Mmmhh ya kweli hayooo
  15. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwamba uwe na connection au
  16. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Duuh maana sio kwa kmya hiki
  17. Engineer MchipilA

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Kimya hiki mmmhh isiwe ndio juu kwa juu hiyo imetokaaaaa
Back
Top Bottom