Search results

  1. Lyaka Mlima Jr

    CHADEMA na CCM wameungana kupinga suala la bandari kubinafsishwa?

    Wizi mtupu, mtamkumbuka magufuli
  2. Lyaka Mlima Jr

    Usiku utakapokwisha Ndugai ataibuka shujaa wa nchi hii.

    Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na uhuni wa wakoloni enzi hizo. Miaka ya 1940s vuguvugu la kudai uhuru lilipamba moto ambapo...
  3. Lyaka Mlima Jr

    Spika kujibiwa kiholela mitandaoni na watu wanaojiita makada ni dalili ya kuwepo uhuni mwingi katika chama

    Kutokana na mamlaka aliyonayo spika na bunge dhidi ya serikali nilitarajia serikali ije haraka na ufafanuzi wa yale aliyosema spika. Badala yake tumeshuhudia mtu kutoka kwenye chama akimshukia spika kama mtu asiye na mamlaka yoyote. Hii inaashiria ulegevu wa katiba tuliyo nayo na hivyo kuchagiza...
  4. Lyaka Mlima Jr

    Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Ulinzi wa mama si wa kawaida kwa sasa chopa tatu angani zikisindikiza msafara wa magari wa mama, gari isiyopitisha risasi, msafara mrefu wa magari 102 . jammer vehicles pia ipo ktk msafara..
  5. Lyaka Mlima Jr

    Nakusudia kufungua kesi dhidi ya mhe. Samia (alitenda kosa kabla hajawa rais)

    She is worthless, Watz wasahalifu sana washasahau leo wanaimba na kuabudu. Mama mitano tena
  6. Lyaka Mlima Jr

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Wapo wahadimu, wamakunduchi n.k aache kupotosha watu
  7. Lyaka Mlima Jr

    Rais Samia: Mimi ni Mzanzibari

    Kujuana kwa maeneo ndio regionalism yenyewe kujuana kwa makabila ndio tribalism yenyewe , so hakuna tofauti kati anayejitapa kwa kabila na yule anayejitapa kwa kanda..... Viongozi wa Afrika bhana
  8. Lyaka Mlima Jr

    Rais Samia bado anapotoshwa, hajapata washauri wenye weledi

    Soma vzr economics baba , mabeberu hawabahatishi wanapotaka lao, umembana kweli kweli amebaki kuongea ongea mambo mepesi
  9. Lyaka Mlima Jr

    #COVID19 Covid-19 hawaihusu walio chini ya umri wa miaka 18?

    Kwa hiyo ipo ktk majaribio ????
  10. Lyaka Mlima Jr

    #COVID19 Covid-19 hawaihusu walio chini ya umri wa miaka 18?

    Sijaelewa utaratibu wa chanjo hii ya uviko kuwabagua walio chini ya miaka 18 tumejiridhisha vipi kuwa wao hawawezi kuambukiza na kuambukiza??¿ Taifa lisipokuwa na sera zake litafanyia kazi sera za mataifa mengine.. Tufikiri pamoja kama taifa
  11. Lyaka Mlima Jr

    Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya

    Mayalla kwa kisukuma ni njaa, so anatafuta mkate akate njaa
Back
Top Bottom