Search results

  1. namriny

    Msaada kwa aliyesoma VETA Chang'ombe Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela. Sasa nauliza ile hapo VETA ya Chang'ombe wanafundisha hayo mambo? Msaada tafadhali.
  2. namriny

    Tanzania tuamue kubaki na fani ya Ualimu na Udaktari

    Habari, Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi. Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
  3. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Jaman mm n msichana na penda sana kufanya kazi ndani ya bunge yaan naipenda hiyo kazi sana, nimekuwa nikifatilia kama kuna kazi zimetangazwa tangu mwaka jana ila naambulia patupu, kwa anaejua basi namna ya kuomba kazi ndani ya bunge letu tukufu, na je, sifa zao ni zipi wanaziangalia,
  4. namriny

    Nimesoma International Relations, naomba mbinu za kupata kazi

    Nina bachelor degree ya IR (International Relations) Nmeomba kazi kuanzia January hadi hivi ninavyoongea yaani kila siku nikiona tangazo la kazi nliyosomea na apply Ila sijapata chochote, wale wenzangu waliomaliza wakapata kazi mnatumia mbinu gani?
  5. namriny

    Watu wote wa JamiiForums pitia hapa

    Jamani nawapenda saana, yaani nikiwaga nimechoka akili ikihitaj kuburudika napitia JamiiForums kuna kila kitu Hiyo nawapenda saana.
  6. namriny

    Vifurushi Bomba vya internet

    Habar wanajamii, naomba kwa anaejua vifurushi vya bei nzuri anijuze, maana nilikuwa natumia voda vifurush vya chuo ila dah wamepandisha, tigo nayo ndio kabisa, wenzangu mnajiunga vifurushi gani bomba.
  7. namriny

    Mwanamke hawezi kukusaliti kama unatimiza haya

    Yaani kwa kifupi sisi wanawake tumejaliwa kupenda kwa dhati, wanaume ndio wanasababisha mwanamke awe msaliti, Wewe kama una mpenzi/ mke/ mchumba/f anya yafuatayo, kwanza kabisa - Mpende mwanamke wako, - Msifie kila wakati, - Mpe maneno matamu mda wote, - Hata kama uko bize kias gani hakikisha...
  8. namriny

    Tafakari ya leo, msamaha unafaida kuliko jeuri

    Wanajamii wenzengu hakuna kitu kizuri kama kuomba msamha pale unapokuwa umekosea,hata kama uliyemkosea atakuwa hajakusamehe ila wewe utakuwa na amani moyoni,usipuuze neno msamaha maana lina faida kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. namriny

    Tujuzane mahusiano gani mazuri kati ya haya?

    Je, ni yale ambayo unampenda sana kuliko yeye anavyokupenda, yaani hata ukikuta anakucht unamsamehe tuu au ni yale ambayo yeye anakupenda sana ila wewe upo naye kwakuwa tu yeye anakupenda na anakujali unaona acha uende nae hivyo hivyo?
  10. namriny

    Kwanini wanaume wanachepuka sana?

    Yaani wanaume sijui kwanini mnakuwa hamridhiki? Yaani utakuta una msichana mzuri kwa umbo, sura, hata tabia ila kwanini bado unakuta ukiona mwingine unatamani? Mpewe nini? Hebu leo mtujuze.
  11. namriny

    Kwanini wanaume wengi wanaogopa sindano?

    Hivi ni kwanini wanaume wengi wanaogopa sindano kuliko wanawake?
  12. namriny

    Nawezaje kupata nafasi za kazi kwa Internship UN

    Naomba kwa mwenye kujua ZAIDI namna ya kupata internship UN Msaada Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom