Search results

  1. namriny

    Msaada kwa aliyesoma VETA Chang'ombe Dar es Salaam

    Habari zenu wakuu, nina mdogo wangu amemaliza chuo(degree),2019,ila kutokana kukosekana ajira, anahitaji akasomee kupamba maharusi, na mambo ya saluni ili afungue saluni ajipatie angalau hela. Sasa nauliza ile hapo VETA ya Chang'ombe wanafundisha hayo mambo? Msaada tafadhali.
  2. namriny

    Ninataka nirudie mtihani wa Form 4, naomba ushauri wenu

    Kama unajua ulikuwa na uwezo wa kufaulu ila imetokea mtihan wa taifa ukafel, basi usikate tamaa wew rudia, naamini utafankiwa, ila tafuta watu wazur wakusoma nao
  3. namriny

    Cuthbert Swai ndani ya mtego wa Lema na Mbowe

    Hadi raisi wa nchi kasema achunguzwe kwa tuhuma ina maana kuna kitu,maana rais n taasisi, acha kutetea ujinga
  4. namriny

    Mwanamke anaweza kumbaka mwanaume?

    Sisi hatubaki, tunatamanisha tuu, alafu unafungua zip mwenyew uwe hutak au unataka
  5. namriny

    Tanzania tuamue kubaki na fani ya Ualimu na Udaktari

    Habari, Yaani kitu ambacho nimekiona kwa nchi yetu ya Tanzania, ajira zikitangazwa, utasikia tunaongeza walimu na wataalamu wa afya, ni mara nyingi sana matamko yanakuwa hivi. Sasa ina maana hawajui kama Tanzania kuna watu waliosomea fani mbalimbali, na je, wao hawana haki ya kuajiriwa na...
  6. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Nmesomea PR(Public Relations?
  7. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Tena jaman ,sina chama mm
  8. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Ahsante sana, namna ya kupata sasa yaan acha tuu
  9. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Siyo kila mdada anatabia hizo, ninajiheshim sana, N kawaida kwa binadam kupenda kitu sana, hata wewe kuna unachokipenda sana
  10. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Jaman unaushaur mzuri ,Mungu akubariki sana
  11. namriny

    Kazi naipenda sana ila namna ya kuipata sasa,msaada

    Jaman mm n msichana na penda sana kufanya kazi ndani ya bunge yaan naipenda hiyo kazi sana, nimekuwa nikifatilia kama kuna kazi zimetangazwa tangu mwaka jana ila naambulia patupu, kwa anaejua basi namna ya kuomba kazi ndani ya bunge letu tukufu, na je, sifa zao ni zipi wanaziangalia,
  12. namriny

    Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

    Ivi huwa humu kna couple??
  13. namriny

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Usifanye iv n hatar zaid Puuza ushaur huu
  14. namriny

    Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

    Hufai katika kutoa ushaur ,ipo Sik na wew litakukta jambo hta kama halifanan na hili na wat watalipuuza iv Toa ushaur wa kujenga
Back
Top Bottom