Search results

  1. wazanaki

    Kwanini Tanzania hatuna Filamu za kuhusu mambo ya siasa au mapinduzi?

    Ningependa sana watanzania tuwe na movie zinazohusu harakati. Kwa mfano sijawahi ona kuna movie inayohusu chief mkwawa, maisha yake alivyoishi mpaka alivyokufa. Itakua bonge la movie, watu watapiga hela balaa. Ila kitu kimoja nawakumbusha watayarishaki wa movie, hakikisheni kuanzia waandishi...
  2. wazanaki

    Mfano: Hivi ukiwa na nchi x yenye watu wapumbavu/wajinga asilimia 90, lakini wasomi wenye vipaji na wenye uzalendo ni asilimia 10

    Kuna kitu unatakiwa ukione hapo. Kuna wazalendo na wenye vipaji wachache walio kua outnumbered n a wajinga, matokeo yake hawaonekani na wanafifia bila hata kujulikana huku taifa x likiangamia
  3. wazanaki

    Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Kasome uzi wangu unaitwa "mfano" Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  4. wazanaki

    Wazungu wanasema Tanzania rushwa imepungua Sana wakati wa Rais Samia kuliko ule wa Magufuli. Watanzania wanasema rushwa inaongezeka. Je, ipi ni ipi?

    Soma uzi wangu unaitwa "mfano" nenda search utakutana nao. Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  5. wazanaki

    JamiiForums Usiku wa manane

    Mkuu kasome uzi wangu unaitwa "mfano" Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  6. wazanaki

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kasome uzi wangu unaitwa "mfano" Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  7. wazanaki

    JamiiForums Usiku wa manane

    Oi niko macho. Kasome uzi wangu unaitwa "mfano". Nenda search andika mfano itakuja. Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  8. wazanaki

    Mfano: Hivi ukiwa na nchi x yenye watu wapumbavu/wajinga asilimia 90, lakini wasomi wenye vipaji na wenye uzalendo ni asilimia 10

    Hivi ukiwa na nchi x yenye watu wapumbavu/wajinga asilimia 90. lakini wasomi, wenye vipaji na wenye uzalendo ni asilimia 10. Lakini kwa bahati mbaya wasomi asilimia 8 ndo wako kwenye nafasi za uongozi na wakatumia usomi wao kujinufaisha, na asilimia 2 kati ya kumi tu ndo wakawa wanapigania nchi...
  9. wazanaki

    Hatimaye picha kutoka James Web telescope zimetolewa rasmi kwa umma

    Zinakusaidia nini picha za anga wewe kama wewe. Kumbuka hiyo project ni mabilioni ya dollar, ambapo wewe pia una contribute dollar bila kujua Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  10. wazanaki

    Mabeberu na Uongozi wa Awamu ya Tano

    Mbona mabeberu watu wazuri tu. Waafrika bila kunyonywa hawaendi. Inahitajika colonization nyingine aisee. Maana kipindi cha ukoloni barabara, mashule na madaraja yalijengwa kwa kiwango cha juu sana. Kwa maoni yangu, beberu sio mtu mbaya, ila ni jinsi unavyomtumia Sent from my SM-A025F using...
  11. wazanaki

    Hasara kwenye mfumo wa elimu

    Tubadili sylubus mashuleni Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  12. wazanaki

    Waoga wanavyoharibu nchi

    Kwa hiyo bora wakoloni wangeendelea kubaki, unaona ni bora kutawaliwa na mzungu kuliko mwafrika mwenzako. Mmh hatari Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  13. wazanaki

    The Woman King - Official Trailer

    So we expect after this movie wanawake watazidi kua na viburi sana kitendo ambacho kitasababisha disputes nyingi. Na katika kila dispute mwanaume ndo yupo kwenye risk, example, marekani kuna sheria kali sana za "woman abuse" so kuna expectation ya niggas kuingia jela sana. The number of...
  14. wazanaki

    The Woman King - Official Trailer

    Hata ukiicheki trailer unaona kabisa characters za waigizaji ziko more "romanic" ( kama una kumbuka the roman empire the way wanavyo fight au the way wanavyoishi). So tumepigwa mazee. Ni hatari Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  15. wazanaki

    The Woman King - Official Trailer

    Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na...
  16. wazanaki

  17. wazanaki

  18. wazanaki

    UN yaipongeza Serikali ya Tanzania kwa Kusimamia Haki za Binadamu

    Mwafrika hajawahi kua binadamu[emoji23]. Umemiss kitu kidogo hapo. Ni kwamba tanzania tunasifiwa kwa kulinda haki za binadamu/mabeberu. Wanaposema binadamu, sio kila mtu anavigezo vya kua binadamu. Wanaongea kwa ishara hao Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  19. wazanaki

    Wahubiri kwenye daladala za Tegeta - Kariakoo wamekuwa kero

    Kumbuka watu wana imani tofauti mkuu Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
  20. wazanaki

    Uovu wa Marekani umekithiri! Bila aibu inadhani inaweza kuishawishi India na China kudhulumu mafuta ya Urusi

    Point yako ni nini. Toa statement, yani unataka kutuambia kwa sababu watu wengi wanakimbilia marekani ndo una justify kua marekani ni taifa zuri? Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom