Search results

  1. paul sylvester

    Majira yamebadilika sana, badala ya kusubiri watalii waje, tubebe wanyama wetu tukawatembeze hukohuko na pengine kuwauzia kabisa

    Wanajamvi Amani kwenu Hivi leo dunia imebadilika, majra nayo na nyakati zinazidi kubadilika Huko tuendako, kwa sababu ya milipuko ya magonjwa na masharti yanayotokana na milipuko hiyo ya magonjwa inatufanya walimwengu tuishi kidizaini kama tulikuwa na utalii. Mtu kusafiri kwenda mahali...
  2. paul sylvester

    Tusaidie Serikali kubuni na kutoa mapendekezo mapya ya Kodi ili kuimarisha mpango wa kujitegemea

    Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha. Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee. Ni Jambo...
  3. paul sylvester

    Kuna nini kwenye madeni haya ya nchi za Kiafrika? Badala ya kupungua ndio Kwaanza yanaongezeka

    Kuna nini kwenye mikopo hii ambayo nchi zetu hizi za Afrika huwa zinakopa/ kopeshwa? Zinajitahidi karibu Kila mwezi kurejesha mikopo hiyo, miaka na miaka, lakini badala ya kupungua, ndio Kwanza yanaongezeka!! Lakini Je, shida iko wapi? Uwekezaji unaotokana na mikopo hiyo ndiyo hupelekea...
  4. paul sylvester

    Huu ni muda mwafaka sasa kwa Serikali kuwaajiri Watumishi wote wa umma kwa mkataba maalumu!

    Kutokana na uzembe maofisini, Ni vyema sasa Mfumo wa ajira ukabadilika haraka iwezekanavyo. Mfumo ambao upo, umewafanya watu kuzoea kazi ili hali huko nje kuna watu wachapa kazi na hawajapata chansi ya wapi wakatumikie taifa lao. Mfumo uliopo, ndio ulioleta uzembe maofsini, Kwa sababu mtu...
  5. paul sylvester

    Tukubali tukatae, CHADEMA haikuzichanga vema karata zake wakati wa kushughulikia usaliti wa Wabunge 19

    Tukubali ama tukatae, ukweli ni kwamba, CHADEMA haikuliangalia suala hili la kina Mdee na wenzake Kwa umakini kama chama Hoja ya kina Mdee ni kwamba! waliapa kulitumikia Taifa kama wabunge wa kuteuliwa kwa sababu ipo barua iliyotoka Kwao CHADEMA yenye Baraka zote ya wao kufanya hivyo! Ndugu...
  6. paul sylvester

    Ole wenu CHADEMA mkajidanganya

    Ole wenu CHADEMA!! Mtihani huu uliopo CHADEMA ndio utakaoamua msitakabali wa Chama hicho, ama Chama kiendelee kuwepo kikiwa na nguvu ileile ama kuzikwa rasmi ikiwa hekima haitatumika kuamua mgogoro huo Wengi wenu mnamuona Mdee,Bulaya, Matiku na wenzao walioapa bungeni juzi, Lakini aminini...
  7. paul sylvester

    Siasa za Ulaya mtu kusema uongo tu hiyo ni sababu tosha ya kuachishwa nafasi yake, wakati huku kwetu hicho ndicho kinachompaisha mwanasiasa

    Wakati kina Zitto, Sarungi, kina Lissu n.k wakiendelea kusambaza uongo juu ya nchi yao na hali ya kisiasa nchini, kule kwa wenzetu Ulaya, Amerika na sehemu zingine zilizostarabika na kuheshimiana, kusema uongo tu ni sababu tosha ya kuwajibishwa kisiasa na hata kutolewa katika nafasi mtu...
  8. paul sylvester

    Wapo wa kuijadili nchi yetu, ila wa kuichukulia hatua zozote zile, hawajazaliwa bado

    Kama kichwa cha habari kilivyo! Tanzania ni nchi yenye historia ya pekee barani Afrika na duniani kote. Ni taifa lililopigania Uhuru wa nchi nyingi Afrika na ni Taifa la kuigwa si barani Afrika pekee bali duniani kote Ni taifa lililojipatia Uhuru wake pasi na kumwaga damu, na hii si kwa...
  9. paul sylvester

    Badala ya Vyama, Wapiga kura ndio tupewe pesa ya posho

    Tulikotoka ni mbaali saana, tuendako ndio mbaali zaidi. Tumekuwa na uchaguzi wa kila Baada ya miaka mitano tunachagua viongozi wetu Kwa mjibu wa katiba yetu na ni haki ya kila Mtanzania mwenye kutimiza vigezo vya kupiga na kupigiwa Kura hufanya hivyo. Tuliko toka tumekuwa na chaguzi zenye...
  10. paul sylvester

    Ni kweli CCM huwa mnaumizana ninyi Kwa ninyi, Mnatoa faida Kwa...

    Nianze Kwa kusema hivi!! Mimi si mwana CCM Ila ni mshabiki wa kutupwa Kwa JPM na Baadhi ya viongozi katika Chama Siasa zangu si za kuwa mwanachama wa Chama Fulani, Ila ni mshabiki wa mtu yeyote makini kutoka Chama chochote cha siasa, sifungwi na Chama chochote kile. Sasa basi, kuna mambo huwa...
  11. paul sylvester

    Kapige Kura na kisha nenda nyumbani......

    Kumekuwepo na na Baadhi ya watu kusema, hawatotii Sheria za uchaguzi zilizobainishwa kuhusu utaratibu wa kupiga Kura, ambapo baada ya mtu kupiga Kura yake anapaswa aondoke Eneo la kupigia Kura SASA, tusije tukalaumiana, Mimi ninatoa tu tarifa Kwa upendo mkubwa ingawa haikunipasa kufanya hivi...
  12. paul sylvester

    Licha ya tofauti zao, kwa uwingi wetu Watanzania, watu hawa tuwalazimishe wafanye kwa niaba yetu

    Hii hoja haijawalenga Sana wale wenzangu na mimi ambao Wao wamechanjwa chale za vyama vyao Sasa karibu katika mjadara! Najua kuna wale ambao liwe jua ama mvua Wao ni CCM Tu, lakini kuna wengine ambao hata ukimwamsha usiku wa manane Kutokea usingizini umuulize, wewe ni Chama gani, atakujibu...
  13. paul sylvester

    Uchaguzi 2020 Kamwe Watanzania hatutakubali ya Jecha, Lakini....!!

    NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi...
  14. paul sylvester

    Uchaguzi 2020 Embu tuambizane ukweli, CHADEMA inatumia kigezo gani kusema itashinda?

    Moja kwa moja hojani, Kwa mjibu wa website ya CCM, na Kwa mjibu wa kauli ya mwenezi wa CCM ndugu Hamphuley Polepole, CCM inawanachama wa kudumu M.14+ Na kikawaida, ili uwe mwanachama wa Chama chochote, maana yake uwe umefikia umri wa miaka 18+ Na kwa idaadi ya waliojiandikisha kupiga Kura nchi...
  15. paul sylvester

    Mapendekezo, ungependa nini cha kufanyiwa kazi ambacho kitaleta mabadiliko ya kiuchumi kwa haraka katika Serikali ijayo 2020 - 2025?

    Tumeona mengi na makubwa na Pengine Yale ambayo hatukuamini kwamba yatafanyika katika Taifa letu Kwa kipindi kifupi Tu cha miaka mitano, Yamefanyika, Nami sitaki kuyarejelea yaliyofanyika, kwani kila mtu ni shuhuda wa yaliyofanywa na serikali inayomaliza muda wake, na mwenye macho haambiwi...
Back
Top Bottom