Hata ningekuwa Mimi ningesema hivyohivyo,
Chanjo zoote zilizowahi kugunduliwa, kabla ya Matumizi Kwa binadamu zilifanyiwa majaribio Kwa sokwe,nyani na wanyama wengine ndipo zinakuwa tayari Kwa Matumizi ya binadamu
Ni hii tu chanjo Kwa mara ya Kwanza inatumika kama majaribio na huku kama...
Kulikuwepo na Mchungaji mmoja kila alipokuwa akihudhuria kwenye misiba kauli yake Ni moja tu, Tunamshukuru Mungu Kwa tukio hili, na kama isingelikuwa hivi, pengine lingetokea kungetokea Jambo kubwa zaidi kuliko hili hiyo ndiyo ilikuwa moja ya faraja yake Kwa kila mahali ambapo kungetokea shida...
Nadhani kweli kunahitajika ubunifu yakinifu katika uwekezaji huu, la sivyo kuna hatari huko tuendako kukakosekana Maana ya kuwa na wanyama weeengi wasiokuwa na faida
Hivi mkuu, siasa ni jitu gani hili, mbona ni kama likorofi kiasi hiki??
Kuna wakati mtu anajikuta mkali tu, wakati mwingine mtu anakuwa mropokaji tu, wakati mwingine mtu anaamua kufokea tu wengine na mitusi juu,
Hili li siasa ni li nini??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.