Wakuu hili ni wazo langu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu itafaa bei za vyakula na mazao mengine zipande ili kumsaidia mkulima..
Haya ni baadhi ya mabadiliko ya gharama za kilimo msimu huu ukilinganisha na msimu uliopita kwa hapa nilipo na hapa nazungumzia zao la mpunga
-Kukodi...
Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro)
ZAO MPUNGA
Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita
Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita
Bei ya kupanda ni laki...
Shikamoni/marahabaa
Kuna mtoto wa kishua nimempenda na tayari ameingia kwenye 18 zangu na yupo tayari kunipa zawadi ya tunda ambalo ameniaminisha kuwa halijawahi kuguswa tangu Mungu aliumbe (BIKIRA) ila sasa nashindwa kulifikia hilo tunda la mti wa katikati kutokana na mazingira ya kwao kuwa...
SHIKAMONI/MARAHABAA
STORY YAHUSU: NILIVYOIBIWA BOBABODA MAGOMENI JIJINI DSM
Nipo zangu kijiweni nikisubiri abiria mara paap wanakuja wanaume wawili mmja mtu wa makamo miaka 40/55 amevaa miwani meusi akionekana ni mtu mwenye ulemavu wa macho (kipofu) na mwingine ambae ni kijana Kati ya miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.