1. Serikali corrupt. Wahusika hujali matumbo yao tu. Hapo huwezi kuzikamata, kama si gari ya afande hiyo,basi mlungula unahusika
2. Kodi. Serikali inajali kodi tu. Mradi inalipwa poa. Hawana time na abiria. Aidha, ili kupata faida, mjasiriamali haoni haja ya kuingiza gari mpya maana hiyo...
Huu ni ushahidi kuwa masuala ya imani huchangia sana kuua fikra tunduizi. Na kukosa fikra tunduizi kuna gharama kubwa. Paul na Elder(2009) waliwahi kusema "Shoddy thinking is costly,both in money and in quality of life." Inasikitisha sana.
Hizo mita ni bure bilashaka. Maana mambo yanayowaingizia nyie pesa huo mpo fasta kuyafanyia kazi, yale nyeti ya wateja sasa,mh!, unanyooka kuanzia kuingiza umeme, bili kubwa na katakata.
Hii ni ishara kuwa bado hakuna mabadiliko katika sekta ta elimu. Miaka 40 iliyopita baadhi yetu tulilelewa hivi shuleni na nyumbani. Leo bado mbinu ni zilezile.
Uwepo wa uholela hakufanyi tusizungumze. Na wananchi tukiwa na ujasiri wa kukemea ndiyo tutaweza walau kuwastua hao watekelezaji. Kusema hakuna utawala wa sheria na kuruhusu hata kile kidogo mnachoweza kukiondoa ni upumbavu. Kero nyingi mitaani tunaweza kuziondoa wenyewe. Kuna vijiji mpaka leo...
Hii si kweli. Sanasana ungemshauri asingekuja kulalamika hapa. Kwa umoja wao wangemaliza hiyo kesi hapohapo. Wanawapiga ngumi hao wahudumu na hao ndugu zao.
Shida yetu watz ni maboya. Unakuta wengi wao wanaumia chinichini. Hawawezi kuondoa uovu kwa mkono wao.
Hii hoja ya kuita hilo ni jambo...
Hao ndiyo maprof sasa. Hivi wale masalia waliotaka kwenda Israel bila nauli waliishia wapi? Walifika? Na wapo wapi kwa sasa?
Kuna watu majiniazi sana hapa duniani aisee.
Ukiacha wale ambao hudhuru watu kwa masharti ya kipumbavu kama kuua au kukata viungo vya mwili, mimi ninapenda wale ambao hutumia ujinga wetu tu kutuibia. Hao wadumu ili kusaidia watu kupata ajira. Kwa upumbavu wangu mwenyewe ninampa mtu pesa anifanye kuwa tajiri. Wala hajanikaba, ni mimi...
Sisi bado sana kujisimamia. Huduma za ndege ,ATCL , hazijatulia. Haya mabasi yanachechemea. Internet bingwa wa kumbukumbu, ninaandika hapa hata SGR ni stress tupu. Ngoja ianze tutaona.
Kuna haja ya kutawaliwa tena na mzungu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.